RASIMU YA RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA MASHIRIKA YA UMMA (POAC)
LENGO: KUCHAMBUA NA KUJADILI TAARIFA YA HESABU ZILIZOKAGULIWA ZA MASHIRIKA YA UMMA KWA MWAKA WA FEDHA UNAOISHIA JUNI 30, 2010
S/N |
TAREHE |
SHIRIKA |
MHUSIKA |
1 | Jumamosi na Jumapili 22 -23 Oktoba | Wajumbe kuwasili Dar es salaam |
|
2 | Jumatatu 24 Oktoba |
|
|
3 | Jumanne 25 Oktoba |
|
|
4 | Jumatano 26 Oktoba |
|
|
5 | Alhamisi 27 Oktoba |
|
|
6 | Ijumaa 28 Oktoba |
|
|
7 | Jumamosi na Jumapili 29 – 30 Oktoba | Mapumziko ya Mwisho mwa wiki
|
|
8 | Jumatatu 31 Oktoba | 1. Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu ( HESLB)
2. Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania ( TANESCO)
|
|
9 | Jumanne 01 Novemba |
|
|
10 | Jumatano Novemba 02 |
|
|
11 | Alhamisi Novemba 03 | 1.Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB)
2. Chuo cha Mipango na Maendeleo Vijijini ( IRDP)
|
|
12 | Ijumaa Novemba 04 |
|
|
13 | Jumamosi na Jumapili 05 – 06 Novemba | Kuelekea Dodoma | Katibu wa Bunge |
TANBIHI
- Saa 3:00 Asubuhi: kuanza Kwa kikao
- Saa 4:00 Asubuhi: chai
Kazi yenu kubwa iko TANESCO. Hawa watu wanatuumiza sana, wanatufanya tuchukie kuwa Watanzania, tunalala gizani bila sababu, viwanda na shughuli mbalimbali za kiuchumi zinasimama. Ebu wafikirie wale wajasiriamali wa pale Gerezani wanavyoteseka.
Kyaruzi
October 25, 2011 at 12:55 PM
Asante kwa ratiba hii ya kupitia mashirika mbalimbali. Munapoenda Board ya mikopo naomba muangalie sana kiwango kipya cha ulipaji mikopo. Sasa hivi nasikia kiwango kimepandA TOKA tH 50,000 KWA MWEZI HADI 0.08% Yaani asilimia nane. Inaweza kuonekana kidogo sana lakini hii si hela ndogo kwa mfanyakazi na ugumu huu wa maisha. Chukulia mtu anayelipwa laki tano(800,000), kama zamani huyu mtu alikuwa anaondoka na Tsh 607,000 baada ya makato, sasa anaondoka na Tsh 550,000, hii si hela ndogo kukatwa ni nyingi sana. Lakini pia mtu aliyekuwa analipwa Tsh 1,000,000 na akawa anaondoka na tsh 730,000 sasa kwa asilimia nane hii anaondoka na tsh 650,000. Aliyekuwa analipwa Tsh 2,000,000 sasa atakatwa Tsh 160,000 kwa mwezi.Haya ni makato makubwa sana kwa mtumishi na bado gharama za nauli, mafuta n.k Sasa ona kwa mtu ambaye analipwa Tsh 300,000 zamani aliondoka na Tsh 246,000 sasa anaondoka na 220,000. Hebu angalieni viwango hivi vipya na kulinganisha na sheria ya kwanza kabisa ambayo wanafunzi walisaini kuhusu urudishaji wa mikopo hii ambapo ilisema wangeruisha kwa miaka 10-15 na sasa inaonekana wanataka kuirudisha ndani ya miaka miwil hadi mitatu tu
Silas
October 26, 2011 at 9:36 AM
Mungu akupiganie na akupe nguvu. Daima za kuipigania Nchi, GET WELL SOON……………. Taifa baado linakuhitaji Kabwe.
Grace Joram
October 31, 2011 at 10:01 AM
Asante kwa ratiba hii ya kupitia mashirika mbalimbali. Munapoenda Board ya mikopo naomba muangalie sana kiwango kipya cha ulipaji mikopo. Sasa hivi nasikia kiwango kimepandA TOKA tH 50,000 KWA MWEZI HADI 0.08% Yaani asilimia nane. Inaweza kuonekana kidogo sana lakini hii si hela ndogo kwa mfanyakazi na ugumu huu wa maisha. Chukulia mtu anayelipwa laki tano(800,000), kama zamani huyu mtu alikuwa anaondoka na Tsh 607,000 baada ya makato, sasa anaondoka na Tsh 550,000, hii si hela ndogo kukatwa ni nyingi sana. Lakini pia mtu aliyekuwa analipwa Tsh 1,000,000 na akawa anaondoka na tsh 730,000 sasa kwa asilimia nane hii anaondoka na tsh 650,000. Aliyekuwa analipwa Tsh 2,000,000 sasa atakatwa Tsh 160,000 kwa mwezi.Haya ni makato makubwa sana kwa mtumishi na bado gharama za nauli, mafuta n.k Sasa ona kwa mtu ambaye analipwa Tsh 300,000 zamani aliondoka na Tsh 246,000 sasa anaondoka na 220,000. Hebu angalieni viwango hivi vipya na kulinganisha na sheria ya kwanza kabisa ambayo wanafunzi walisaini kuhusu urudishaji wa mikopo hii ambapo ilisema wangeruisha kwa miaka 10-15 na sasa inaonekana wanataka kuirudisha ndani ya miaka miwil hadi mitatu tu
+1
Dix Mcbridge
November 5, 2011 at 6:07 AM