Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

BARUA: POSHO ZA VIKAO

with 26 comments

View this document on Scribd

Written by zittokabwe

June 10, 2011 at 11:14 AM

26 Responses

Subscribe to comments with RSS.

  1. “Be the Change that you want to see”

    Bravo Kamanda.

    Sajjo L.M.

    June 10, 2011 at 11:20 AM

  2. hongera sana mheshimiwa Zitto Kabwe binafsi ninakubaliana nawe huu mtindo wa watu fulani kulipwalipwa wakati kuna watumishi wa kada fuklani hawalipwi na umeonesha kwa vitendo nakumbika nikiwa polisi uewahi kutututetea bungeni issue ya kupewa night buku kwa askari waliokuwa tarime operation kaka umeonesha njia viva zitto viva chadem

    njelekela

    June 10, 2011 at 11:38 AM

  3. sipati picha mh. miaka 10 ijayo utakuwa katika hali gani. sisi tunakutakia kila la kheri na mungu akupe maisha malefu huenda nchi yetu ikabadilika. all the best.

    sania sezzy

    June 10, 2011 at 12:21 PM

    • Mh.tunakushuku sana kwa jambo hili jema na ni mfano wa kuigwa kwa sisi sote wanakigoma kuukomboa mkoa wetu kwa nafasi tulizonazo!

      kudaba kudaba

      June 10, 2011 at 2:25 PM

  4. hongera sana kaka zito washauri na wabunge wengine vijana wa CHADEMA kufanya hivyo

    Expert Sadala

    June 10, 2011 at 1:15 PM

  5. mh. zitto umefanya la maana sana bro big up wasikuzingue hao najua wewe umeenda skul so utafanya mambo ya maana kama hayo mkuu

    JOE

    June 10, 2011 at 2:26 PM

  6. Good move brother, all them shall see and change will come one day, keep it up for the future Tanzania we love.

    Burning Ras

    June 10, 2011 at 4:08 PM

  7. Kaka Zito,

    Nimesoma habari hizi katika Mwananchi online nikiwa hapa Egypt, yani nimekumbuka uzalendo wako tangu tulivyokuwa wote Kigoma Sec. Yani wewe ni mtu kwa ajili ya watu maana kama ulivyojitolea kipindi kile kupoteza Masomo, na kufukuzwa na safari hii hukujijali wewe na tumbo lako bali maslahi ya nchi na watu wote kwa vitendo.

    Hongera kaka na ni changamoto kwa serikali na viongozi wote maana kila mara kuna nyimbo za kubana matumizi halafu hakuna utekelezaji.

    Rashid

    June 10, 2011 at 5:16 PM

  8. huu ndio uzalendo wa kweli,laiti kama wabunge wote wakifuata nyayo zako basi ni imani yangu mabadailiko ya kweli yako karibu sana kufika.

    Goodluck

    June 10, 2011 at 5:29 PM

  9. Pongezi nyingi Mh. Zitto kwa hizo initiative na kuonyesha ukomavu wa kisiasa katka kutetea maslahi ya umma. Posho hizo ambazo kimsingi hazipaswi kulipwa kwa watendaji wa serikali au watumishi wa umma wanapotekeleza wajibu wao, ni kiasi kikubwa sana tukitafuta aggregates zake, fedha ambazo zinaweza kufanya kitu kwa maendeleo ya watu wetu. Haya sasa upo wapi uwakilishi wa wananchi (Wabunge) iwapo hatuwezi kuungana katka hili? Natoa rai kwa wananchi wote, ifike mahali ambapo tunapaswa kupima na kutambua ni kina nani wapo kwa maslahi ya umma na walio kwa maslahi ya matumbo yao.
    Bravo Mh. Zitto, kwa hilo naungana nawe kwa 100%

    Elias Kasoma

    June 10, 2011 at 5:42 PM

  10. Aisee this is a good move kwa kweli. Tupate watatu kama wewe wenye nia ya kumkomboa mtanzania kwa kweli nchi yetu itabadilika. Mie nakuombea kila la heri kaka katika kupigania maslahi ya wananchi.

    fancy face

    June 10, 2011 at 10:22 PM

  11. Mhe Zitto,
    This is the kind of leadership we seek in our poverty stricken country . If there are others from any party who have the same principals and values, they will follow your steps , for these are the steps of a good leader who asks not what their country can do for them but rather what they can do for their country (JFK)

    sauda simba

    June 11, 2011 at 12:11 AM

    • Truth will triumph! You have moved a further step ahead of the crowd. That is true leadership, to show the way where there seems to be no way. R.M

      Raph

      June 11, 2011 at 1:12 PM

  12. Wewe ni mfano pekee wa kuigwa ktk Taifa hili,kwa kuwa na uchungu na mtizamo chanya kwa maendeleo yetu kama mkoa na Taifa kwa ujumla,wewe si kama wengine wanaodhani wapo bungeni kutafuta pesa,la hasha wewe upo hapo kumtetea mnyonge wa taifa hili na kuhakikisha anainuka.
    Wito wangu kwa vijana wenzangu hususani wa Kigoma ni kuwa Mh.Zitto Z.Kabwe amezimdua mbio rasmi za kujikwamua na lindi kubwa la umasikini ktk mkoa wetu,tumuunge mkono kwa vitendo na si kwa maneno tu.
    Mh.Zitto Z.Kabwe hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Long live Zitto.

    Fredie Mayeye

    June 11, 2011 at 9:03 AM

  13. Huu ni mfano. Kama huwezi kuandika ya kusomwa na watu, fanya ya kuandikwa na watu. Zitto amefanya ya kuandikwa. Inatosha.

    Arnold Teemba

    June 11, 2011 at 1:07 PM

  14. km ningekuwa na uwezo basi serikali hii isingekuwa inaendelea kutawala. Nashukuru kaka kwa kuonesha mfano km huu najua ni uamzi mgumu sn lakn inabid kufanya hv kwan watanzania wengi wanahitaji misaada km hii.Big up man

    Willy

    June 11, 2011 at 11:50 PM

  15. […] week Hon. Zitto Kabwe (MP Kigoma North) requested the parliament to cancel all future payments of his sitting allowances as he believes they are a waste of Government of Tanzania’s (GOT) […]

  16. Kaka your the real example to others ninapo amini CCM wapo kwa maslahi yao ni sasa,watu hawana uchungu hata kidogo na wananchi.Shida yao ni kuonekana miungu watu.MUNGU WABARIKI VIONGOZI WOTE WLIO ZIKATA POSHO NA KUELEZA ZIENDE KWA WANANCHI WAO.

    Cosmas Willbard

    June 12, 2011 at 11:06 PM

  17. Mkubwa hata mim kwa sasa nimerudisha moyo wangu na iman yangu kwa upinzan hususan wew maana ulikuwa unaonekana kama CCM ‘B’. Aluta continua!!!

    Cosmas Bukoke

    June 14, 2011 at 2:39 PM

  18. unajua kwanini ssm tunapinga hii posho kuondolewa jamani mkumbuke tumetumia pesa nyingi kwenye kuhonga kwa hiyo ni ngumu kuzirudisha pesa zetu kwa kutumia tu mishahara yetu so ni ZITTO
    (CHADEMA) tu ndo aliweza kutumia chini ya milioni kUmi kujinadi kwenye KAMPENI ndo mahana wao hawana hofu kuondolewa kwa posho niulizie hawawa chama changu kila mbunge katunia sio chini ya nilioni 80 kwa kampeni tu kwa hiyo nilazima tugomee huu mpango wa kutuondolea posho zetu ZITTO UPO JUU SANA KIFIKRA HATA KIUTENDA HUKURUPUKI NATAKA TUWE NA WANACHADEMA KAMA WEWE 1000 TU TAYARI NCHI YETU ITAPATA MAENDELEO

    bertold

    June 14, 2011 at 11:25 PM

  19. […] tarehe 8 juni mwaka 2011 nilikataa kupokea posho za vikao. Popote ninapohudhuria vikao huomba Risiti ya fedha ninazokataa. Baadhi ya Wabunge Kama Januari […]

  20. OMG! It reminds me on lectures of organizational management theories…difference btn leaders & managers. Leader seeks equality to community while manager seeks profit to his/her organization. Zitto anahangaikia wananchi, wabunge wengine wanajali familia zao na biashara.

    Man, big up you will last long,money will last in few moment. Watanzania tuwaulizeni wanastahilije posho wakati walimu,manesi hata nyumba za kulala hawana?????????

    banga

    November 29, 2011 at 12:47 AM

  21. […] kuitisha kikao maalumu cha Kamati Kuu ya chama kujadili suala hili. Toka tarehe 8 juni mwaka 2011 nilikataa kupokea posho za vikao. Popote ninapohudhuria vikao huomba Risiti ya fedha ninazokataa. Baadhi ya Wabunge Kama Januari […]

  22. Shibuda anawashindia wapi kumfukuza? Angalieni msijeonekana nanyi ni wanafiki. Huyo mheshimiwa anatuchefua saana tu.

    Simon mwangoka

    December 10, 2011 at 9:10 PM

  23. Hongera sana kwa uzalendo wa kwel bwana Zitto.Ukweli mtaani kumeharibika,maisha magumu na yamepanda mara dufu.lakini swali wote tujiulize je, ni wabnge peke yao wanao guswa na mabadiliko haya au?lakini pia tujiulize je,kama hali ya uchumi imebadilika kiasi cha hata mbunge aka sence kua life is now tough,iatakuaje kwa mwananchi wa kawaida?

    Kama mbunge anahitaji kungezewa posho hiyo wanaotaka wao je Mtanzania wa hali ya chini anaongzewa ngap nae au wanamfikiriaje?

    Kuna hatari ya kua na bunge la matajiri miaka michache ijayo na kuna wakati usawa juu ya sheria utafunjika kabisakabisa hasa kwa baadh kuonekana watu na wengine sio.Naipenda sana sana nchi yangu ya Tanzania, na najivunia kua Mtanzania,ila nasikitika kuona unyonyaji na unyanyasaji kama huu ndan ya Tanzania.

    Enyi vijana mliopo Bungeni tunawaomba na kuwasihi,msimame imara kutetea nchi yetu huku iendako.
    Hongera sana Zitto na songa mbele

    John Joshua

    January 29, 2012 at 3:40 AM

  24. Hongera MH Zitto kwa hilo.

    John Joshua

    January 29, 2012 at 3:44 AM


Leave a comment