Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Hotuba ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2011/2012 ina upotoshaji mkubwa

with 4 comments

View this document on Scribd

4 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Kazi nzuri sana mh Zitto, tulijua kuwa hakuna jipya katika bajeti ya serikali, ina hoja na takwimu nyingi zinazokanganya wananchi hata wale wenye uelewa kidogo wanabaki patupu, aksante kwa analysis nzuri ya mapungufu hayo. Simamieni haki na usawa wa raia mpaka kieleweke. Swali langu linabaki kuwa JE, BAJETI KIVULI YA KAMBI YA UPINZANI INA INFLUENCE GANI KATIKA MWAKA HUSIKA WA BAJETI? NAOMBA UFAFANUZI

  Saidi Msonga

  June 9, 2011 at 4:58 PM

 2. SAFI ZITO NAOMBA UENDELEE HIVYO HUU NDO UKOMBOZI WA KIFIKRA

  Eliud Kitime

  June 9, 2011 at 5:29 PM

 3. Well, nimekusoma Mh. Zitto. Nimesikishwa sana na mkakati wa serikali wa kuendeleza kusema uongo kila wakati. Tafadhali naomba kuelewa mambo yafuatayo:-
  1. Hivi si waziri amesema uongo bungeni – hakuna adhabu ya kumpa?
  2. Bajeti yako (Upinzani) inaweza kukubaliwa na Umma hivyo kuilazimisha serikali kuitumia?
  3.Hivi hizi bajeti za akina Mkulo siyo kweli copy and paste with minor modification?

  Mwisho nakupongeza sana kwa uchambuzi makini ulioufanya. Kamanda niko nawe!

  Eng. Dr. Magafu,F.F (Ph.D)

  June 9, 2011 at 6:01 PM

 4. Tunategemea mengi kutoka kwenu Mh Zitto, kinachonisikitisha sheria zetu na taratibu nyingine haziwapi nafasi mnapotoa Bajeti kivuli kupokelewa na kuingizwa mapendekezo yenu kwenye bajeti husika. Wakati umefika wa kupigania marekebisho ya sheria mbalimbali ili kambi za upinzani ziwe na nguvu ya kukubaliwa mapendekezo yake kwa ajili ya manufaa ya taifa hili

  James Marenga

  June 9, 2011 at 6:43 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: