Zitto na Demokrasia
Written by TeamZitto
March 20, 2015 at 9:42 PM
Posted in Uncategorized
Subscribe to comments with RSS.
Zitto is MP for KIGOMA URBAN and PARTY LEADER of ACT WAZALENDO Party (@ACTWazalendo)
Twitter: @zittokabwe
Instagram: zittokabwe
No Instagram images were found.
Binafsi nimeumia sana, uwakilishi wako si tu wana Kigoma Kaskazini bali ni pigo kwetu sisi baadhi ya Vijana. mwenyezi Mungu azidi kukupigania, na kukulinda, hakika Mungu ameona uliyoyafanya katika Taifa letu la Tanzania. kamwe hawezi kukuacha.
Date: Fri, 20 Mar 2015 18:43:08 +0000 To: alungahyoma@hotmail.com
alu ngahyoma
March 20, 2015 at 10:31 PM
nop brother #zito bado twakuitaji
adamhassanjr
March 20, 2015 at 11:11 PM
you have done well brother! we will always remember you for the contributions you made to build this Nation..for those who think deeply..we understand well what happened..but you made your history.. i wish you all the best in your next steps…it is my hope that this will not be the end of you to fight for Tanzanians! thanks very much for what you did brothe
Mohamed Mwabumba
March 20, 2015 at 11:27 PM
Kila jambo hutokea kwa makusudi, Huenda watu walikuwa wanatamani sana kipawa ulichojaliwa na Mwenyezi mungu, Huenda kwa wivu huo wangeweza kukudharirisha na kukutenda maovu makubwa.
Huo si mwisho wa maisha bali ni mwanzo tu. Mafanikio yako katika kubadili mfumo wa maendeleo tumeuona na tunajua wewe ni mpiganaji wa kweli.
Utashinda nasi tupo pamoja katika harakati za kimaendeleo.
Leo
March 21, 2015 at 2:52 AM
binafsi nina imani kubwa sana na wewe kwa uchapakazi wako, hivyo basi watu wa leo hawaangalii chama bali wanamwangalia mtu anae wajali lakini pia anawajibikaje juu ya taifa lake, kupitia wewe tumejifunza mengi ama kwa hakika unastahili kuigwa. mwisho uendako nasi tutaenda huko huko
David Mwaipasi
March 21, 2015 at 11:18 AM
Brother Hui kwanza n ukomavu Wa kisiasa, always don’t argue with full people bcoz they can drag u to their level, we n muhimu kwa taifa hili kila MTU anajua na anaelewa, niliwai kukwambia cku mmoja watu hao co wema kwako, chain ilianza mbali sn kuanzia Dr labour,kafulila,machali na wengineo, mbunge Wa kwanza Wa chadema ktk historia c alitoka kigoma ujiji? Nakuhakikishia utarudi Bingen kwa kishindo, muhimu kwa watu Wa magaribi in Muda Wa kujipanga, kuimarisha na kujenga miundo mbinu ya siasa yetu ya badae nadhani unanielewa, watu Wa magarib ndio walioleta vuguvugu la Uhuru Wa Tanganyika, ndio waliojenga na kuendeleza mini na majiji ya Tanzania, waliotangaza na kupeperusha bendera ya Tanzania katika nyanja mbali mbali, michezo,muziki,siasa n mengine mengi, hapa namaanisha cc tumepewa dhamana n mungu kusaidia taifa hili,kupitia vipaji tulivyopewa, hakuna kurudi nyuma hats Sikh mmoja,rudi kigoma ujiji nyumbani kwenu tutakupokea kwa mikono miwili, nani Muda Wa kuifuta chadema kigoma umefika, wametunyanyasa sana,watuchafua sn,we n mjiji,n mgoma,n mmanyema, hatuwezi kumdhamini mbon au Huyo Dr. Kalaa wao tukuache MTT Wa nyumban, but n Muda Wa kuandika historia kwao, n Muda Wa kufuta chama chao huku kwetu magaribi,god bless u
sadallah
March 21, 2015 at 1:35 PM
All da best broda huu si mwisho ndo mwanzo wa maisha ya siasa nyota yako bado inang’aa
James
March 21, 2015 at 3:02 PM
Hata ukisoma historia utaona kuwa viongozi walio pigania haki za wananchi walikutana na vikwazo vingi wapo waliopoteza maisha na wapo waliofungwa! Hivyo basi Mungu ashukuliwe kwani yeye ndiye anayekulinda na kuhakikisha harakati zako hazisimamishwi na kelele za binadam yeyote! Watanzania tuliowengi tuko pamoja na wewe
peter samora Leba
March 21, 2015 at 8:58 PM
Pole Sana Mheshimiwa Kwa Kukutwa Na Ajali Ya Kisiasa
Tuko Pamoja Na Wananchi Wa Mbeya Mjini Tunakuombea Mafanikio Mema Huko Uendako
exavery mlonganile
March 21, 2015 at 9:06 PM
Reblogged this on Ntakilutandato's Blog.
ntakiluta
July 15, 2015 at 10:43 AM
good
Mussa R. Ruhamba
November 5, 2017 at 2:04 AM