Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Ifahamu ACT

with 16 comments

Written by TeamZitto

March 23, 2015 at 10:24 AM

16 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Nitalinda na kutetea dhamira yako popote. kwa kuwa nipo nje kimasomo, naendelea kuwapongeza kwa hatua mlizofikia.
  Tuendelee kuombeana heri mtafanikiwa katika kulijenga Taifa katika misingi ya uadilifu.

  Leo

  March 23, 2015 at 10:34 AM

 2. Kwa pamoja tunaweza…

  Dominick James Kahungu

  March 23, 2015 at 11:32 AM

 3. Nia tunayo

  paul

  March 23, 2015 at 11:38 AM

 4. Yaani mimi nilikuwa mfuasi wa Zitto, sasa na mimi najiunga na ACT.

  Ushindi Baraka Emmanuel

  March 23, 2015 at 1:33 PM

 5. there is no way to success but success is the way

  kudra abas

  March 23, 2015 at 2:38 PM

 6. Reblogged this on madoler.

  madoler

  March 23, 2015 at 3:06 PM

 7. Mungu aibariki tanzania amina

  Josephu mwema

  March 23, 2015 at 3:26 PM

 8. for sure if Tanzanians need a real credible president zitto kabwe is the right choice

  mohamed mwinjuma

  March 23, 2015 at 5:24 PM

 9. morogoro Office za ACT ziko wapi.aseee nataka nikachukue kadi mapemaaa On Mar 23, 2015 10:24 AM, “Zitto na Demokrasia” wrote: > > TeamZitto posted: “” >

  erick lusoli

  March 23, 2015 at 8:54 PM

 10. Lengu letu kwa pamoja ni kuijenga nchi yetu katika misingi ya uadilifu,uwajibikaji na utawala bora.

  haymsham

  March 24, 2015 at 1:04 AM

 11. Lengo letu kwa pamoja ni kuijenga nchi yetu katika misingi ya uadilifu,uwajibikaji na utawala bora.

  haymsham

  March 24, 2015 at 1:06 AM

 12. Kaka nafurahi kuona kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa napata na kufatilia nakala zako zote unazozitoa because we real appriciate you mkubwa…
  Now umetoa IFAHAMU ACT tunashukuru kuona hivyo pia tunakuomba uingie kwenye chama hicho couse naimani kuwa bado watanzania wanahitaji uwepo wako bungeni na hata ikulu miaka ya mbele ijayo….

  sebastian bahati

  March 24, 2015 at 5:31 AM

 13. Pamoja Mm nakuunga mkono, heri dhamira ya kweli pekeyako kuliko dhamira ya unafiki kwenye wengi.
  ACT tunaweza Matumaini mapya, turudi kwenye Ujamaa wa kweli

  Marunda

  March 25, 2015 at 5:08 PM

 14. ACT NDIO TUMAINI LETU, KWA PAMOJA TUJIUNGE NA CHAMA CHA ACT KWA SABABU CHAMA NI WANACHAMA. HII ITASAIDIA KUKIJUA CHAMA NA KUWA NA UJUMBE MMOJA KITAIFA. KUPITIA ACT WAZALENDO TUTALETA MABADILIKO MAKUBWA KATIKA NCHI HII. KAMANDA TUNAE (ZITTO) ASKARI TUNAOGIPA NINI. KUWA NA CHAMA CHA SIASA NI HAKI YAKO JIUNGE SASA NA WAZALENDO

  ALOYCE AMBOKILE

  March 26, 2015 at 3:54 PM

 15. Habari ndugu: Pole na majukum ya kimapinduzi. kuna mambo yamekuwa yakiendelea mitandaoni hasa muendelezo wa siasa zetu zilizo-zoeleka katika taifa letu, siasa za propadanda badala ya uenezaji wa sera husika. kumekuwa na propaganda nyingi zidi ya chama cha ACT WAZALENDO. mimi najikita juu ya hii kuwa chama kimekuja kuharibu/kupambana na upinzani. kama ACT WAZALENDO ina amini juu ya Democrasia, uwazi, sera ya ujamaa, haki n.k na kama chama kinajibanua kupinga ufisadi na aina yoyote ya unyonyaji.

  1: adui mkubwa wa ACT Wazalendo siyo CCM, NCCR, CHADEMA wala chama chochote kile ila ni mfumo wa unyonyaji usiojali usawa na ukandamizaji katika democrasia hivyo basi iwe ni chama au mtu anaekwenda kinyume na kile ACT WAZALENDO inaamini anakuwa/kinakuwa ni adui kimkakati, kisera na kimtazamo. swala la kusema kwa ACT WAZALENDO haipingani na chadema ni woga usio na maana nzuri. nimeona ni vema kulisema hili kutokana na hoja/andiko lako kwenye mtandao wa kijamii JF kuwa ACT WAZALENDO haipambani na chadema binafsi niliona woga fulani na muendelezo wa kuleana kwa sababu zisizo za msingi.

  2:Kama kiongozi mkuu wa chama kusema chama hakibambani na chadema huku sera, mtazamo wa wana-ACT wanapingana na chadema ni woga. minaamini siasa ni mapambano na mapambano hayakosi wapinzani pasipokuwepo wapinzani/wapingaji hakuna mapambano hivyo chama kinapingana na mfumo mbovu, sera mbovu, ukandamizaji wa demokrasia popote haijalishi mambo hayo yapo chama gani. (wakati fulani KUKAA KIMYA NAKO NI BUSARA ili kuupa nafasi ukweli ujiweke wazi)

  3:Ziara za kutangaza chama; hapa napenda niambatanishe swala hili pia. mwanzoni ratiba ilionesha kuanza mikoa ya kasikazini lakini kumetokea mabadiliko wasiwasi wangu siyo kubadilika kwa ratiba bali sababu ya kubadilika kwa ratiba. kama sababu ni kuwa eneo husika tayari lina upinzani yani chadema na siyo CCM ni kosa kubwa sana viongozi mnafanya ”watu wanaojiunga ACT wanafahamu chadema ipo na wengine wanatoka hukohuko chadema”

  hili ni kama angalizo kwani lisemwalo lipo kama halipo linakuja ingawa linaweza kuja kwa njia na mtazamo tofauti. leo kwenye mitandao nimesoma habari kuwa kuna mgogoro ndani ya chama na mwenyekiti kutishia ‘kuondoka’ binafsi wakati nasoma habari ile sikuona uhalisia wake na siamini kama kwa sasa chama kichanga kinachoitaji kutangazwa na kuenezwa nchi nzia viongozi wanaweza kupigania na anapaswa kufanya kazi hiyo au kuwepo mawazo ya kumwachia mtu mmjo ndo afanye kazi hiyo. ila wasiwasi wangu ni sababu niliyotangulia kuisema hapo juu point number tatu, kuwa mtu anaweza kuzuiliwa kukieneza chama mahali fulani kwa sababu zisizo za msingi na za kipuuzi kuwa kule kuna chama fulani au yupo mtu fulan.

  ”wananchi wameichoka/hawaitaki CCM, vyama vya upinzani haviaminiki na vimeshindwa kutengeneza imani kwa wanachi”

  Naamini katika mabadiliko ya kweli. Ahsante

  On Mon, Mar 23, 2015 at 11:31 AM, Dominick James Kahungu wrote:

  > Kwa pamoja tunaweza… > ——————————

  Dominick Kahungu

  April 7, 2015 at 11:41 PM

 16. Reblogged this on Ntakilutandato's Blog.

  ntakiluta

  July 15, 2015 at 10:45 AM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: