Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Archive for the ‘MV LIEMBA’ Category

MV Liemba, ex Graf von Goetzen

with 2 comments

Meeting with Dr.Martin Schramm from HPC Hamburg the lead consultant  who is carrying out the preliminary study on the future of MV Liemba an initiative that I have been pushing for between Tanzania and Germany.(refer below to mchango wangu bungeni)

Mheshimiwa Mwenyekiti, Ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani ulifanya juhudi za kuanzisha mahusiano maalumu kati ya Tanzania (Kigoma) na Jimbo la Niedersachsen (Lower-Saxon). Mahusiano hayo maalumu yanatokana na historia iliyopo kati ya Mkoa wa Kigoma na Mji wa Papenburg huko Niedersachsen.
Mheshimiwa Mwenyekiti, historia hii inatokana na kwamba meli ya MV Liembe ilitengenezwa na Kampuni kutoka Mji huu (Meyer-weft). Kumekuwa na ziara ya viongozi wa mji huu mnamo mwezi Februari ambapo walitembelea Mkoa wa Kigoma na kutembelea MV Liembe. Ziara hii iliratibiwa na Wizara na Ubalozi wetu huko Ujerumani. Hata hivyo, suala hili halimo kabisa katika hotuba ya Waziri na hii maana yake ni kuwa suala hili halina umuhimu.

Mheshimiwa Mwenyekiti, Serikali ya Ujerumani tayari imeteua Consultant (KFW), kwa ajili ya kuangalia jinsi ya kutunza heritage hii kati ya nchi zetu mbili. Imetengwa bajeti ya Euro 9m kwa ajili ya project hii ya MV Liemba. Naitaka Wizara ya Mambo ya Nje, ihakikishe kuwa mahusiano haya yanaendelezwa na mradi huu unafanikiwa. Naomba Mheshimiwa Waziri alitolee kauli suala hili.

MV Liemba ilivyo sasa

Model ya MV Liemba at a Museum in Germany

A ship that is almost 100 years old and with an amazing history (see below). She’s still around, plying Lake Tanganyika.

Last 2 Pics Courtesy of prondis_in_kenya / Isabelle Prondzynski flickr page

Written by zittokabwe

September 1, 2010 at 10:12 AM

Posted in MV LIEMBA, Zitto Kabwe