Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

#LekaDutigite – Kigoma All Stars arriving to Kigoma

with 9 comments

Artists arrived yesterday from Dar es Salaam, and were well received in Kigoma Airport. Now preparing for the Leka Dutigite concert on Tuesday.

Photo by Pernille Bærendtsen

Written by zittokabwe

July 16, 2012 at 5:47 AM

Posted in Leka Dutigite

Tagged with

9 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. It is a good challange for all leader,i hope that your aim will be succeeded

  Henry Essau

  July 16, 2012 at 6:35 AM

 2. Big up kamanda, umeonyesha njia kwa wasanii wetu!

  Charles Masanja

  July 16, 2012 at 7:58 AM

 3. Nimekubali Kigoma All Stars mmetisha.Kigoma imetikisa anga za mziki Tanzania. UR No.1

  kazalla

  July 16, 2012 at 8:10 AM

 4. Bravo Mheshimiwa kwa kuunganisha vijana wa kigoma, we must be to our region. pamoja sana bro

  kijana wa Manyovu

  July 16, 2012 at 11:00 AM

 5. Oyowkigoma mko juu au xo

  Alex nkonya

  July 16, 2012 at 11:42 AM

 6. Nautaka uongozi kupitia chama cha chadema ninaweza na2main lazma progress zwepo nina nia maana our nation reigned by CCM which does brought any effect in our nation must 2 b mzalendo in order 2 bring ze liberation in our nation chademaaaaaaaaaaa juuuuuuuuuuuuuuuuu

  Alex nkonya

  July 16, 2012 at 11:55 AM

 7. Bw. Zitto nakupongeza kwa kuwafanya wana Kigoma kuwa wamoja. kwa njia Hii itumie ili uondoe Tofauti zao Ndogo ndogo. Hasa zile ulizoziona wakati wa Uchaguzi wa 2010.

  shabani Msonga

  July 17, 2012 at 12:48 PM

 8. Hi. kabwe, historia huwa haijifichi. Sanaa ya muziki Kigoma ni ya siku nyingi. Kumbuka akina Shemu Kalenga , dada Asha Baraka, kutaja wachache ,ni Kaka na dada kutoka Kigoma ambaao wamekuwa katika mziki, tunaweza kuwaida kaka na dada wa muziki kutoka Kigoma.
  Nikupongeze kwa hatua hiyo; lakini nikuombe vilevie, ujue kuwa muendelezo (sustainability)wa juhudi hizo ndio wenye gharama kubwa na na kusonga mbele au kutosonga mbele kutakuwa na mashiko kulingana na hatua inayofuata baada ya hii. Kawaida ya binadamu hushika pale panapovutika ili waweze kusema kuwa ‘Kiko wapi!’ nakutakia mafanikio mema ya malengo yako ya kuwaendeleza vijana hawa.

  Kigoma itajengwa na sisi wenyewe.

  Filbert N. Ngungo
  Da es Salaam

  ngungofilbert@yahoo.com

  July 20, 2012 at 10:38 AM

 9. Imana Hyigufashe utele ivyimbuka@Zito Ok jamani mm nimeona picha tu wimbo wenyewe sijausikia nisaidieni nitapataje?

  Timokuchaz

  February 4, 2013 at 2:46 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: