Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Kigoma All Stars-Leka Dutigite (Pics Slideshow)

with 9 comments

Kigoma All Stars-Leka Dutigite -Abdu kiba, Baba Levo, Banana Zorro, Chege, Diamond plantimuz, kigoma all stars, Leka Dutigite, Linex, Makomando, Mwasiti, Ommy dimpoz, Queen Darling, Rachel, Zitto Kabwe

Photos by: Pernille Bærendtsen

This slideshow requires JavaScript.

9 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Nimependa harakat zako had kwny mziki. Mimi naifahamu kigoma hasa kigoma mjini kwa kias kidogo, mwaka 2011 nimefanya field UJIJI SECONDARY. Nashauri video ya kgm allstars nayo iwe kal sana! Ifanyke kwenye mazngra halis ya kgma. Mfano mwandiga, sido, ujiji, centre, mwanga, sokon, stesheni, beach kule, kasulu, kibondo hata manyovu mpakan pale ikiwezekana kwenye mashamba ya ndizi. Apelekwe mpga picha mzuri na wa kisasa. Hongera mheshimiwa.

  Kiezera Alfred

  July 10, 2012 at 6:13 PM

 2. good job n’ also am from kigoma …kitu cha video naomba ning’ae kichupani

  hood

  July 10, 2012 at 6:26 PM

 3. My name is Dr. Abdu from Kasulu. Bigup Zitto, nimefurahi sana kwa kuwaonyesha watanzania kuwa Kigoma ni Taifa Kubwa na ina vipaji vya hatari and you deserve to be the president of this country, naona Bizziman hajashirikishwa inakuwaje?. Ningeomba siku ya uzinduzi iwe historia kwa mkoa wetu na washirikishwe na non musician kama Juma Kaseja e.t.c

  Abdu Juma

  July 11, 2012 at 1:31 PM

 4. harakati zako mkubwa nazikubali sana……..kgm tuko juu

  innicent rusomyo

  July 12, 2012 at 2:18 AM

 5. hiyo ni murua sana tuone

  Ally Mambo

  July 12, 2012 at 1:41 PM

 6. damn! i like the idea it makes me alive.

  bitter vedastus fundi

  July 13, 2012 at 3:23 PM

 7. kwanza napenda kukupongeza,kwa juhud zako zote unazozifanya ww kma kijana,na mzawa n mtt wa nyumban,also ww nadhan miongon mwa marol modo wako n Dr.kabourour,but kma ww ulivyo,nac 2nataka kufata nyayo zako,ww kma modo wangu utanisaidia kwa njia gani,kuweza kucmama,kg mjin 2015 or 2020

  ally

  July 13, 2012 at 11:27 PM

 8. mimi pia Ninakupongeza kwa juhudi zako za kuwaweka wanaKigoma pamoja kama hivi. Tunataraji video itafanyika Kigoma.

  shabani Msonga

  July 14, 2012 at 2:20 PM

 9. although sijatoka kgm nakupongeza kwa idea ya kuleta watu pa1,nisaidie kuhoji sisi watz wenye asili ya kisomali ni 3rd class citizens?uliona yaliyompata bashe,uhamiaji moshi hatupewi pp imeandikwa ukutani,why us?naamini utatusaidia wewe mtu wa watu.

  ali bonge

  July 17, 2012 at 11:30 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: