Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

#1 Say NO to Posho!

with 25 comments

Last week I attended four meetings in Kigoma in my capacity (and as part of my job, which people elected me to do) as MP of Kigoma Kaskazini.

I attended meetings at the Constituency Development Fund Committee, District Council, Road Board and Regional Consultative (RCC). In all of these meetings participants are ‘entitled’ to receive posho (sitting allowance).

This is how to say NO to posho and stand by it:

Say NO to Sitting Allowance
Say NO to Sitting Allowance

In keeping with my stand I said NO to the posho. However, I signed for it and took it – in order then to go round the technicality of returning back the posho to the Government to show that my statement is not just rhetoric but action.

We have to walk the talk.

Above photo illustrates the receipt showing the payment I made back to the Government for the Road Board meeting.

Let’s cut down on unnecessary expenditure and direct this money to our development budget to spur development and growth.

TUNAWEZA!

Please, do also read Policy Forum’s report ‘Why we must abolish ‘sitting allowance’.

Written by zittokabwe

October 10, 2011 at 3:36 PM

25 Responses

Subscribe to comments with RSS.

  1. Umefanya vyema mh. Zitto, haya maposho yashakua kero kwa maendeleo. Yanawanyonya watanzania!

    Suitbert Maro

    October 10, 2011 at 5:14 PM

    • Kaka Zitto, unafanya vizuri kushikilia msimamo. Mi nina wazo/ushauri. Mwaka huu nilipata bahati ya kufika Kigoma, jamani sina la keuelezea. Yaani tangu angani, mpaka ile airport, mpaka njia nzima kwenda Kasulu…roho iliniuma sana sana! Hivi ni Tanzania ile ile kweli?! Jamani sehemu nyingine zi nyuma zaidi. MNO!

      Sasa, kwa sababu serikali (kwa sasa) ni ile ile, sioni kama kurudisha posho serikalini kutaleta maendeleo. Vipi kuhusu ule mfuko wa “Kuendeleza Kigoma”? Mimi naona bora kuchukua posho na kuzipeleka huko, na huo mfuko uwe na malengo ya kila mwaka ya maendeleo na yawe yanafanyiwa kazi. Mimi niko tayari kabisa kuchangia!

      Bado sijafika Mtwara, Pemba, Singida (mume wangu anasema pia mh!) wala Ruvuma lakini hiii mikoa pamoja na Kigoma inahitaji nguvu za ziada.

      Wasalaam,

      Lusajo

      Sajo

      October 10, 2011 at 5:41 PM

      • Acha kudanganya watu Lusajo mimi nimekaa mbeya kuliko kigoma mnatuzidi pale mbeya mjini, lakini kwa suwala la vijiji Bora unyamaze kabisa. Jimbo la Kabwe siyo kwenda kasulu, jimbo la kabwe linaelekea manyovu zaidi na na mwambao wa ziwa. Kwani mbeya kuna uwanja gani wa ndege mpaka sasa wa kujivunia kuacha huu aliolazimisha Mwandosya na umeshindikana na miaka yote hakuna ndege ya Abilia inaenda Mbeya. Kwa upande wa vijij tusidanganyane kwamba zile nyumba zinazojengwa kwa Mianzi kule tukuyu na Kyeala na kupakwa kwa mavi ya ng’ombe kwamba ndo maendeleo. Nakaa mbeya kaka

        Sila

        October 11, 2011 at 10:32 AM

  2. Mhesh.Zitto Kabwe I back up you for that reaction and action against unnecessary allowances.

    Fidelis kulolwa.

    October 10, 2011 at 5:22 PM

  3. Zitto Heko kaka kwa kujaribu kuonyesha mfano

    Mtazamaji

    October 10, 2011 at 5:54 PM

  4. Yaani sipendiiii, ila “time will tell”.

    Digalu

    October 10, 2011 at 5:56 PM

  5. I salute you Mh. Zitto (MP)

    Digalu

    October 10, 2011 at 5:57 PM

  6. i admire such a courageous move u r matching with mr zitto! Am real proud of man! We r behind u 4the sake of of our country’s development!

    sam de joe

    October 10, 2011 at 6:14 PM

  7. Congrats Hon. but i have a doubt if this campaign will succeed simply because you can see these members which you were with no one did as waht you did! People are selfish by nature. All in all congraturation mheshimiwa, we need people like you. I dream one day your campaign will make a way…….

    william Jotham

    October 10, 2011 at 6:15 PM

  8. we have to start some where and you are setting an excellent example kiongozi. your resilience, courage and conviction will one day pay off. Gandi, Nyerere, Martin Luther King, Olof Palme, Nelson Mandela are leaders that commanded great respect and admiration..you are walking in their footsteps..what is there in this world my brother then to see and understand that it is not about you,me or them but about us and being aware that the legacy that we leave behind is another brick and another layer to contributing to the betterment of the human race..every step towards that conviction no matter how small leaves a trail.

    Tengo Kilumanga (@tengo_k)

    October 10, 2011 at 6:56 PM

  9. Big up zitto! you are the man…..! Leaders are born not created.You was born to be a leader.

    Ben

    October 10, 2011 at 7:58 PM

  10. kaka hivyo hivyo mpaka somo litaeleweka tu!
    usiogope ipo siku watajua kwanini unakataa posho.
    go kabwe go

    kabolile

    October 10, 2011 at 8:10 PM

  11. […] and direct this money to our development budget to spur development and growth. TUNAWEZA! https://zittokabwe.wordpress.com/2011…y-no-to-posho/ Last edited by EMT; Today at 21:23. Mkandara, BAK, MTM and 2 others like this. Don't think […]

  12. kaka
    mi huwa sina swali kwako nakukubali mpaka kesho
    napenda msimamo wako

    Ruhazwe jr

    October 10, 2011 at 11:39 PM

  13. Mmmm? Aina mbaya but uwo n mwanzo ngoja tuone mwisho wake utakuwaje {SIASA}

    Martine joseph

    October 11, 2011 at 7:17 AM

  14. tupo pamoja mpambanaji wangu

    hamza

    October 11, 2011 at 11:06 AM

  15. Ni kweli Sila, Vijiji vyote vya Tanzania havipishani sana, bado maisha ni duni.

    william Jotham

    October 11, 2011 at 12:21 PM

    • Unajua kaka mtu kama hujui kwao atakutambia sana, hapa TZ sijafika Lindi na Mtwara tu though naamini next week nitafika huko na NITAKUWA NIMEBAKISHA Pemba tu, sasa watu wanadhani maendeleo ni pale mjini pekee, mi philosophy yangu na imani yangu ni kuwa maisha halisi ya wa TZ ni yale ya kijijini, mjini wengi tunajifunika blanketi na hatuwezi kuonekana halisi tulivyo. Ni jimbo la kabwe lenye Lami kilomita nyingi kiuliko majimbo yote mkoa wa kigoma, ni jimbo la kabwe ambalo angalau wanakijiji wachache wana umeme, na hata hayo mafuta yanayotarajiwa kuchimbwa kigoma yanapatikana jimbo la kabwe.

      Ikiwa kigoma iliachwa na Serikali na watu wakatumia nguvu zao wenyewe bila mkono wa serikali na kufika pale walipo kwa miaka 50 TOFAUTI na mikoa mingine ambapo serikali imeweka nguvu nyingi sana na bado wako sawa na wale walioonekana kusahauliwa, VIPI kama kigoma ingepewa mkono mkubwa kama wao?

      Naamini sasa mambo yanabadilika na mtashuhudia mengi toka kigoma tena mengi toka majimbo ya upinzani.

      Sila

      October 11, 2011 at 2:52 PM

  16. In Uganda, posho is regarded as a good meal for the forces (police, army, prisons officers, prisoners and of course school goers

    meniez

    October 12, 2011 at 6:20 PM

  17. Mh thanks,,,
    nasi ni wakulima Mh mbona hamtulili jinsi tunavyofanyiwa kuhusu,,kuwekewa limitation of market.

    Ally Ally

    October 18, 2011 at 2:39 PM

  18. […] be a simple thing like the Tanzanian MP, Zitto Kabwe, who has started collecting receipts when he says no to sitting allowances, publishing them on his blog. I have to admit that part of my Scandinavian background often makes […]

  19. Ndugu Zitto kwa hili swala nakupongeza sana. Nakumbuka mlivyoliwakilisha bungeni lilionekana kama ni hoja ya Chadema against others parties na mwisho kila mtu anafahamu. Kwakuwa ile approach ya kugomea posho kwa kutosign ilishindwa naomba nitoe ushauri wangu wa jinsi ya kutotumia hizi posho hasa za pale bungeni: KILA MBUNGE WA CHADEMA APOKEE POSHO KISHA ZIWEKWE KWENYE ACCOUNT MOJA THEN HIZO POSHO ZISAIDIE HUDUMA ZA JAMII KAMA AFYA. Mfano kununua vitanda vya Hospitali na mashuka kisha kuyaandika kuwa hizi shuka na vitanda ni kutokana na posho ambazo wabunge wa chadema wameona kuzitumia kwa njii hii. NINA UHAKIKA JAMII ITAWAELEWA VIZURI.

    Brian (kIgoma Sec, Class of 1995)

    November 28, 2011 at 1:48 PM


Leave a comment