Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Posts Tagged ‘Kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu

Picha: Mhe. Nimrod Mkono akiweka sahihi na Kuwasilisha Hoja kwa Spika Anne Makinda

with 9 comments

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono akiweka saini kwenye fomu ya wabunge wasiokuwa na imani na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda

Nikienda kuwasilisha Hoja kwa Ofisi ya Spika Anne Makinda

Written by zittokabwe

April 24, 2012 at 10:38 AM