Archive for the ‘UCHAGUZITZ’ Category
Kampeni za Udiwani-Songea

Nikihutubia wananchi wa Songea
Picha kwa hisani ya Songea Yetu Blog: http://www.songeayetu.blogspot.com/

Nikiwasili katika viwanja vya mkutano
Picha kwa hisani ya Songea Yetu Blog: http://www.songeayetu.blogspot.com/
Update: Yaliojiri Jana-Risasi za Moto na Mabomu ya Machozi
Update:
Ganda la risasi ya moto limeokotwa ndani ya ofisi ya CHADEMA nilimokuwamo wakati polisi wanapiga mabomu. polisi walitumia risasi za moto!naenda polisi sasa hivi. uchunguzi wa kina unatakiwa

Mdogo wangu Bashiri ndiye aliyenikinga na bomu na hivyo yeye kujeruhiwa. alinivamia alipoona wamenilenga mimi na kurusha mabomu kule nilipo mie.
Mshindi ni Zitto! Namtangaza rasmi Zitto Kabwe Zuberi mbunge wa Kigoma Kaskazini “Ni Zitto Tu” Tarehe:01-11-2010
Mshindi ni Zitto! Ni Zitto Tu!
Namtangaza rasmi Zitto Kabwe Mbunge wa Kigoma Kaskazini
Mkutano wa Nyamhoza-Tarehe:17-10-2010
Mkutano wa Nyamhoza
Kijiji cha Nyamhoza, Kata ya Mkongoro, Jimbo la Kigoma Kaskazini
Tarehe: 17-10-2010
Zitto Mdogo akimnadi Zitto Kabwe
Nyamhoza Oyeee
Mapokezi Nyamhoza
Mkutano wa Nyamhoza-Kundi la Denga