Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

About Me: Zitto Kabwe

with 92 comments

Zitto(@zittokabwe) is the Party Leader of Alliance for Change & Transparency Party(ACT-Wazalendo ) and MP for Kigoma Urban

Written by zittokabwe

March 18, 2010 at 6:56 AM

92 Responses

Subscribe to comments with RSS.

  1. Hon.Zitto,first and foremost,I would like to congratulate you for superb work you did in the last parliament.Indeed you are a true testament of the hopes and aspirations that the future holds.Am almost certain that you will lead this nation in the very near future.

    I enjoy following national,regional and global politics and am sure you will win this coming elections with a land slide.

    Count on my support as a citizen and I look forward to getting more invoilved in Chadema politics in the near future.

    Thank you and God bless you!

    Aziz

    aziz chacha

    August 19, 2010 at 3:53 PM

  2. Hon. Z.Kabwe!. I real appriate you all the time since I came to know you in politics issues! What thing makes me all the time to appriciate you is just all the time to be a man of facts! Go,go on mr! Am still looking on the possibility of supporting you financially!

    Stephene

    August 25, 2010 at 2:53 PM

    • Nashukuru sana Stephene

      zittokabwe

      August 25, 2010 at 3:00 PM

      • Hi Zitto,
        I have one brilliant question as we move towards Uchaguzi Mkuu. I have been informed by reliable sources that one of the weakest point of you guys (vyama vya upinzani) is a lack of faithful MAWAKALA during counting of votes. Most of your MAWAKALA are not trained and are not enabled(financially) such that your counter part (the Chichiem)takes advantage by giving them some stake promise (including houses and cars) and they end up being blackmailed. Are you prepared for this mess up this time???

        Zablon

        October 18, 2010 at 5:00 PM

  3. Hello Zitto,
    I would like to congratulate you for your endeavour to making and keeping our Tanzania’s hope alive.

    Zitto, in the absence of any doubt you have shown your real commitment towards the prosperity of our dear nation. please keep it up and to be honest you have inspired me and probably the rest of youth who can stand for change and who believe in people’s power. Am at your back.

    I wish you all the best in every move you make and may God bless you.
    Chris.

    Chris

    September 20, 2010 at 8:13 AM

  4. […] kweli jk ni kimbilio la wanyonge,kila anapopita jk tu Zitto na Demokrasia Zitto na Demokrasia About Me: Zitto Kabwe with 3 comments My name is Zitto Zuberi Kabwe a Tanzanian politician currently representing Kigoma […]

  5. hey zitto vp mambo ww mwanasiasa makini ,mbn upo kmy.kiasi chote humpigi debe dk slaa vp? Na ww kiongozi 2nae kuamini sn .m2 wangu nakupenda kuliko anavyokupenda sitta ikiwezekana ni2mie 4n no yako.

    Abdulrasoul

    September 25, 2010 at 1:31 AM

  6. Hii link ina habari za Tarime uchaguzi mdogo. Mimi nimeiona leo na
    imenifurahisha sana. Sasa wazo langi ni kuwa *Tuzalishe kanda hizi kwa wingi
    ziwafikie watu wengi Tanzania. Vijana watauza sana na ujumbe utafika kwa
    watanzania wengi sana nchi hii. Kama ni shida, tuteneneze wimbo uliomo
    katika “UJASIRI WA KIDEMOKRASIA TARIME -Part 3 at 14:00 recorded time wimbo
    unhamashisha watanzania kwa kuzingatia ari mpya, kasi mpya… ambapo maneno
    yanayoimbwa ni MAZURI SANA KWA UHAMASISHAJI WA WATANZANIA. *
    http://phillipmogendi.com/index.php?option=com_content&view=article&id=49&Itemid=63

    Naomba nijibiwe tuone namna ya kulifanya haraka sana,

    Ahsante sana

    Quality

    October 2, 2010 at 9:10 PM

  7. Öngera sa na comrade zitto.what makes me happy is the way ccm was defeated in kgma region.5 seats went to opposition out of 8.in kgma if u greet any person u simply say “mwaraye” then u reply “mwaraye”. The waha have made step now because the mwaraye means “how was the nite!or how did u sleep?today we are singing the Word “mwavyutse” means “wake-up”if somebody greets u mwakeye then reply twavyutse because no any muha is sleepng instead all are wake up for develpment for their country.the 2nd revolution of ths country will start in kgma and not in kagera or mwanza.i can tell when i speak 2 people in my region kagera they wonder how the waha have made it.wamechilia ccm out lakin nshomire the can not practise.keep it up zito. Majura- kasulu

    Mwombeki

    November 6, 2010 at 9:40 PM

  8. Mkuu Zito, Kazi umeifanya. Ninachotaka ni msaada wako twende tukawaamshe wananchi kwetu ambao ni jirani yako (Ngara. Ni suala la Muda tutawasiliana na kazi tutaifanya. namba yangu ni 0784 481191

    Malanilo J. Simon

    November 8, 2010 at 7:27 AM

  9. hi zitto
    congratulation yako na chadema woteeeeee

    ZENA

    November 8, 2010 at 5:31 PM

  10. am proud of you jaman!!i wsh viongozi wote wangekua kama ww..tanzania 2ngekua mbali sana

    hellen maxon

    November 17, 2010 at 6:58 PM

  11. nahuzunika sana ninaposikia habari zako za kutokubaliana na uongozi wa chama hazarani,hakuna namna ya kumaliza mambo yenu kwenye vikao?

    shabani pazi

    December 1, 2010 at 1:10 PM

  12. Tunachokitaka maendereo yakweri si rongorongo mnguawazidishie hekima

    nyondoloja

    December 7, 2010 at 10:56 PM

  13. Acheni ugomvi binafsi fanyeni kazi zenye tija kwa watanzania wote hususani sisi wananchi wa kawaida.

    HAMTUSAIDII

    Hamtusaidii

    December 14, 2010 at 1:33 PM

    • pole ndugu kwa yanayo kusibu,usife moyo,watakusingizia mengi,na hii ni kwakuwa wanakuogopa,una uwezo kuliko wao hapo.niko tayari kukusaidia kwa hali na mali.wanaeneza propaganda ili uonekane haufai katika jamii.tunajua hizo ni mbinu za mbowe na slaaa,

      juma

      December 19, 2010 at 12:06 AM

  14. Hello Zitto,
    You are among few people in my country who inspires me a lot….I am 18 years old and I am a Tanzania students at AFrican Leadership Academy in South Africa..I have been dreaming of becoming a leader and change my society and my country Tanzania in general,that is why I came here(www.africanleadershipacademy.org)…I just need a mentor and I hope to apply to you..I hope you will help me throught my journey….We are always with you and we know you are among very few with real passion for Tanzania and Africa in genaral..my email..lnkuwi10@alastudents.org,Thank you.

    Lusekelo J Nkuwi

    February 5, 2011 at 12:22 PM

  15. hey kwanza kabisa vijana wa kigoma huwa tunajivunia uwepo wako bungeni pamoja na mawazo kwa taifa bila kubagua mkoa na huwa nafuatilia mienendo yako hasa kwenye blog yako ninashangazwa sana na gazeti la mwanahalisi juu yako wewe umebezi hasa kitaifa wao wanakushambulia wewe je swali ni hili una business conflict interest na kubenea pamoja na gazeti lake?
    naomba majibu

    ally lilangela hamis

    March 26, 2011 at 1:08 PM

  16. Waheshimiwa wetu, Poleni na majukumu ya kuijenga nchi!
    Mimi niko mbali ila huwa nafuatilia kwa makini sana yanayoendelea nyumbani kupitia vyombo vya habari. Naandika ili kuzungumzia incidence ya jana kati ya Mh. Wenje and Spika Anna Makinda. Nimeangalia video na huu ni uchambuzi wangu juu ya tukio hilo.
    Wabunge wanapokuwa bungeni maana yake ni kwamba muda wote waoneshe utii na busara katika matendo na kauli zao huku kanuni za bunge zikizingatiwa na kuheshimiwa ipasavyo. Tafrani ile imetokea baada ya kanuni za bunge kukiukwa hali iliyoamsha jazba kwa wabunge wa vyama vyote. Spika wetu alijitahidi ila naye ni mwepesi wa hasira na wakati kanuni anazivunja mwenyewe huku wajibu wake mkuu ikiwa ni kusimamia kanuni za bunge. Hapa naye ana kosa kabisa. Wabunge wa chadema wamesikika wakitoa kauli zisizopendeza na za kuvunja heshima na utu wao walionao kwa jamii, hivyo nao wamepitiwa, tunaomba pia muombe radhi kwa umma wa Tanzania. CCM nao wamepitiwa pia, wanajua wazi kuwa kauli zimekiukwa na hakukuwa na haja ya kuzomea zomea na kukejeli kwa maneno ya english “out out” Nao pia tunawaombeni wakiri mbele ya umma wa mtanzania. Tumewatuma bungeni kutafuta maendeleo ya watu na si itikadi za vyama vyenu. Think twice!

    Joshua Bukuru

    April 14, 2011 at 8:14 PM

  17. Waheshimiwa wetu, Poleni na majukumu ya kuijenga nchi!
    Mimi niko mbali ila huwa nafuatilia kwa makini sana yanayoendelea nyumbani kupitia vyombo vya habari. Naandika ili kuzungumzia incidence ya jana kati ya Mh. Wenje and Spika Anna Makinda. Nimeangalia video na huu ni uchambuzi wangu juu ya tukio hilo.
    Wabunge wanapokuwa bungeni maana yake ni kwamba muda wote waoneshe utii na busara katika matendo na kauli zao huku kanuni za bunge zikizingatiwa na kuheshimiwa ipasavyo. Tafrani ile imetokea baada ya kanuni za bunge kukiukwa hali iliyoamsha jazba kwa wabunge wa vyama vyote. Spika wetu alijitahidi ila naye ni mwepesi wa hasira na wakati kanuni anazivunja mwenyewe huku wajibu wake mkuu ikiwa ni kusimamia kanuni za bunge. Hapa naye ana kosa kabisa. Wabunge wa chadema wamesikika wakitoa kauli zisizopendeza na za kuvunja heshima na utu wao walionao kwa jamii, hivyo nao wamepitiwa, tunaomba pia muombe radhi kwa umma wa Tanzania. CCM nao wamepitiwa pia, wanajua wazi kuwa kanuni zimekiukwa na hakukuwa na haja ya kuzomea zomea na kukejeli kwa maneno ya english “out out” Nao pia tunawaombeni wakiri mbele ya umma wa mtanzania. Tumewatuma bungeni kutafuta maendeleo ya watu na si itikadi za vyama vyenu. Think twice!

    Joshua Bukuru

    April 14, 2011 at 8:19 PM

  18. Mh zitto kwamnza salaam alaykum, mie pia sipo tofauti na mwenzangu hapo juu, kwanza naomba nikupe pongezi zakutosha, mh nilicho kiona juzi nikwamba kumbe una heshimika sana bungeni na waheshimiwa wabunge wote pamoja na w,mkuu, ushauri wangu ni kwamba nakuomba uendelee kutunza heshima yako na uilinde kwa nguvu zote, ila cha ajabu mlicho kifanya juzi kwa kweli kwenye nchi yenye maadili kama tanzania hamkutufanyia fare kabisa, mlituivua nguo watanzania, kweli kama kaimu kiongozi wa kambi ya upinzani naomba ulifanyie kazi swala hilo kabla ya bunge lijalo, jingine mh zitto, mie huwa nawapa shavu sana upinzani, kiukweli huwa mnatupa raha hasa pale mnapo wachachafia mawaziri, lakini jambo moja tu mnacho niuzi ni maandamano yasio na tija hivi mbona awam ilio pita mlikuwa mnawaka nawala hamkuwa na hayo maandamano? maono yangu kwenu hasa chadema mkiendelea na maandamano chama kita shuka maana hata kama mtakuwa na jambo mhimu ambalo mnahitaji liende kwa maandamano kwakuwa watu wamewazoea watawadharau, hebu jitahidini kuchana na vitu vivyo vya msingi pigeni kazi achaneni na wabunge vichaa ka mbonge wa arusha, kazoea fujo za uswahilini ELIM NI MUHIM SANA KWA BINADAM KAMA ANGEKUWA AMESOMA HAYA YOTE YANGE MUEPUKA, MTU KASOMA ENGLISHI COZ NA TOUR GAIDE ANATAKA AWE MBUNGE AENDESHE UBUNGE WAKATI MWINGINE NA NAWASHANGAA SANA WATU WA ARUSHA KUMCHAGUA KICHAA AWE MBUNGE,

    Bashir

    April 18, 2011 at 10:00 AM

  19. mh. Zitto habari yako.napenda kukujulisha kuwa natambua na kuthamini sana mchango wako katika mandeleo ya nchi hii.mfano mmojawapo wa idea niliyoifurahia ni msimamo wako kuhusu dowans.tungepaswa kununua ile mitambo then kuibana serikali iwashtaki wale wote walioingiza nchi katika mkataba wa richmond.for that, tungepunguza mgawo wa umeme uliolisumbua taifa na pia kuepusha fidia ya dowans.but ninasikitika kusema kuwa nchi hii imejaaliwa wanasiasa wanaotanguliza zaidi maslahi yao badala ya taifa.wanaishi kwa kutafuta sifa kwa watu wasiojitambua(hawajiulizi outcomes ya vitu wanavyotenda leo).Hope 1 day tutapata raia wengi zaidi wenye mapenzi mema na nchi hii.
    Regards.
    Prosper

    chesco

    April 21, 2011 at 12:05 PM

  20. zitto ur so good guy,jiepushe na Rostam

    alphonce

    May 4, 2011 at 10:06 PM

  21. watu wanaropoka kwenye hii page kwa kujifanya wastaarabu.chadema wasingepuuzwa bungeni hizo kelele na adabu mnayohubiri isingekuwepo.hata mh.zitto alishawahi kufukuzwa bungeni kwa kusimamia na kutetea maslahi ya umma.wabunge wanaongea mambo ya msingi huku ccm wanazomea nani wahuni?kabla hamjacoment humu fikirieni vizuri na msijaribu kuchafua mbunge kama wa jimbo la arusha mjini kwa kumuita mhuni,hayo maoni nenda kayatoe arusha mjini.

    ndevu

    May 24, 2011 at 12:55 PM

  22. kitu kikubwa ni kukuombea tu bt jiepushe sana na kashfa zozote zile ziwe za kisiasa au za kijamii ili nyota yako izidi kun’gara.

    sania sezzy

    June 10, 2011 at 12:33 PM

  23. ur real M.P!!ningependa kukutemblea kwako unipe siri ya ujasiri wako!!

    fassotn

    June 10, 2011 at 1:04 PM

  24. Hongera sana mh, ZITTO, kwakuonesha jinsi gani unaguswa na maisha ya Watanzania,hasa ulivozungumzia suala la posho zisizo za msingi wowote! pia nakupongeza jinsi ulivolifafanua suala hilo!
    wabunge wanao pigia upatu suala la posho kuendelea kutolewa, MUNGU atusaidie tufike 2015,ili tuwatoe kwasanduku la kula! make ndonjia pekee!
    hongera sana! na MUNGU akusaidie kwenye kazi zako za kutetea watanzania maskini.

    ANDREW MTUNDA.

    June 19, 2011 at 1:30 PM

    • An African adject goes: You have two hands for a reason, one for yourself and the second for others. And the hand that gives, Jehovah (God)rewards it in many enumerable ways. Now, when you follow most of the Tanzanian leaders, very easily you recognize they have only one hand; and that is the hand for themselves! They are very good at pretending; in that they are for the people. You can easily bluff few of us; but how about Mr. God? Remember, He is the one who matters.

      Remember, at the end of the day greedy people always lose more than they gain. And, no matter how green their uniforms are, CCM will always produce greedy leaders. They dont have trueth, love, honest let alone peace they claim to be their brain child!

      Solution: they deserve a hard kick on their asses come twenty 15; and find thier positions out of Jumba la “Siasa-Dodoma”. There they will learn in the hard way. However, catch 22 is to push and manage “New Constitution” for the people. We have to fight tooth & nail. But we should not chase them all; we need few honest ones, who have harts for other human beings. Those with twisted hearts, should find their way into the dustbins! The few good ones, shall be the backbenchers, in order to argitate the government in power.

      How on earth one can support someone who stole “mchana machana”?. Tanzanians, need to stop this monster before it is too late before the hero. Look up north (Arabs); we should not go that far.Footing people at black range, hacking off heads, hitting people with rubber bullets. No. “Katiba ya watu” will sail us through. So wakeup, stop snooring and lets us start the process in a sivilized manner, and God of all people and all planets will help us.The dust will then settle and we will have happy ending.

      You know what, “If someone is being pick pocketed and laughs at the thief, then he himself is a thief”. Let them suport eact other now. But when, in the doc, they will tell us; and when behind the bars “watasaga meno”

      Dr. Boa, M.E.

      Dr. Boa, M.E.

      June 26, 2011 at 10:52 AM

  25. Mimi ninaomba unisaidie kufuatilia hili suala la kulipa mara mbili utoaji wa magari bandarini. Mimi nilitoa gari langu aina ya chaser, lakini cha ajabu nikalipia port charges Tshs 154,000 na pia yard ya “TALL” nikalipia Tshs 259,000 ili niweze kutoa gari langu pale kwani ndipo lilipopelekwa kama bandari ya ndani. Je, huu sio ulaji wa watu kweli?

    Kanimba

    July 4, 2011 at 12:54 PM

  26. salam alykum, zitto wew ni my favorite politician in tanzania n i would like kuwa lyk you but plz try 2 do somethng kwa ajil ya field kwa coz zilizobak out of 48 ambapo coz 13 2 ndo zina field social sciences bigup n plz 2shee political issues. nusrat

    nusrat hanje

    July 23, 2011 at 11:51 PM

  27. hi,pia mi sipo kwenye mtandao wowote wekijamii nahitj your address 2wasiliane.

    nusrat hanje

    July 23, 2011 at 11:57 PM

  28. Kaka Zito najitokeza kwa mara ya kwanza kukupongeza na hata kukutakia maisha marefu hapa duniani ili mzidi kutufumbua mengi ambayo kwa kweli tulikuwa hatuyafaham,hakika kazi yako ni nzuri na endelea Mwenyez Mungu akuongoze daima kila la kheri
    Saul

    saul mpock

    August 27, 2011 at 2:12 AM

  29. Hongereni sana chadema hasa wewe chondechonde simamieni hiyo igunga kwa makini wizi wa ccm munaujua tulinde kura ushindi ni wetu

    Ally lilangela hamis

    September 29, 2011 at 7:21 PM

  30. Hon ZItto Kabwe,

    I am a PhD Student specializing in Public Sector Audit. I am researching on the audit and accountability in the public sector. My research subjects are auditors of the National Audit Office (Tanzania) and users of financial statements especially POAC, PAC and LAAC. I have been trying to get in touch with you, and I am requesting for an appointment to meet you.

    Kind regards
    Fred Matola Msemwa-EWURA (0754 304 833)

    fred msemwa

    October 11, 2011 at 11:41 AM

  31. tunakuombea kwa Mungu afya yako itengamae ili uendelee vema katika shughuli zako.

    gabriel

    October 27, 2011 at 9:54 PM

  32. 2gether we can create a great Tanzania

    Joshua gideon

    November 10, 2011 at 10:06 AM

  33. Am suport u accord to ur contr in the parliament so my brother keep fighting the war just yet so dont give up.

    Sunday mlugu

    November 10, 2011 at 10:26 PM

  34. you always inspire people since you are not a leader with a single agenda,i always make follow up to our leaders,am proud of you as a young activits/leader i heard about your new progamme which you introduced last months in your constituency,may God made you prosper:stay blessed

    Nice Munissy

    November 28, 2011 at 10:32 AM

  35. I strongly Believe you have something Important for our country.. I hope one day we build a new tanzania together…

    Amen

    Tawab Yahya

    November 28, 2011 at 11:02 PM

  36. Dear sir,thank for all about you position and responsubilities for our nation.we nguruka development agency non profit organization,we looking advice and financial assistance to build daycare center,school and hospital in itebula village nguruka kigoma region.curantly nda is taking care 477 orphan chidren,we looking advice and fincial assistance to help them.please sir for more about us visit/www.ngurukadevelopmentagency.org

    Maisha salum

    December 8, 2011 at 3:01 AM

  37. mh.zitto nyie kama watetezi wetu makinda anasema ghalama zimepanda kwa wabunge hivyo posho mpandishiwe, je kupanda huko kumebagua wabunge tu? Au hata watumishi idara zote na waakazi wote wa dodoma? (ni sie wapambanaji-majembe wa musoma)

    charles masirori

    December 11, 2011 at 7:58 AM

  38. Taifa hili linamilikiwa na wachache wenye pesa nyingi na walalahoi wengi hawana kitu,lipi la kufanya?
    tufanyeni mambo 2015.

    JOSIAH I KAYENZEMALE

    December 24, 2011 at 2:18 PM

  39. Oky kabwe but i heared that you need to run away from your political part(chadema) whats the reason be hind?au ni uchu wa madaraka as the have said?

    Josephmatiko11@gmail.com

    January 9, 2012 at 6:48 PM

  40. Tumempoteza Mbunge mahiri wa CHADEMA Regia Mtema, iweni na busara ya hali ya juu namna ya kujaza pengo hilo na pia Kule Arumeru kuna kazi pevu ya uchaguzi mdogo, najua tuna mtaji wa kura za 2010 kwa mgombea aliyekuwepo ni kazi kwetu CHADEMA KUZIONGEZA zile za 2010 ili zijae na Mbunge wa kule Arumeru awe CHADEMA

    G.Mdenye

    January 21, 2012 at 9:24 PM

  41. Your so right my brother,but let we gether our hands 2 build our nation

    Able Joseph

    February 13, 2012 at 3:36 PM

  42. Hi Mhe Zitto Kabwe,
    I am grateful to have time to send you this short missive. I am a young man living in Dar. I have a project that I know will help many Tanzanians at large but I need your advice on how I can manage to accomplish it. I would like to meet you face to face so that I can share it with you for I know you will help me. Thanks. Let me know when you will be free and available. My telephone number is 0716 21 44 00.
    God bless you.
    Tuko pamoja! Songa mbele

    Abel Chibona

    March 9, 2012 at 7:18 PM

  43. Dear Sir thanks for your message,im interested to meet you so that we can make change for our communities.about us please visit /www.ngurukadevelopmentagency.org

    Maisha Salum

    March 10, 2012 at 2:57 PM

  44. Zitto tafadhali usicheze 2015 ni mwaka wako tunaitaji raisi kijana kama wewe

    Iss hassan

    March 24, 2012 at 8:49 PM

  45. Msisahau wa piga kura wenu,ushauri wangu njooni tu ungane tubuni miradi endelevu kupitia asasi za kiraiya.

    Maisha Salum

    March 26, 2012 at 2:53 PM

  46. NAOMBA NIKUSHAURI JAMBO MHESHIMIWA,UMEPATA NAFASI YA KUTUMIKIA JAMII NA MUNGU AMETOA KIBALI JUU YAKO,HAKIKISHA UNALINDA STATAS ULIYONAYO KWENYE JAMII KWANI WENGI TULIHITAJI NAFASI KAMA HIYO LAKINI HATUKUIPATA,KAZI NI MOJA KUSIMAMIA UKWELI MPAKA KIFO.

    matandiko

    April 15, 2012 at 6:02 PM

  47. Ki ukweli nimejisikia vibaya sana kutoka na huyo bwana kuwatukana watu wa arusha, kwa kweli hizo kauli zake ziishie hukohuko. Kama anasema mbunge wa arusha ni kichaa inamaana watu wa arusha wote ni vichaa. Au yeye ndio anaakili sana. Yaani asilimia tisini na nane ya watu wa arusha hawana akili mpaka wamchague kichaa. Hapa ninafikiri yeye ndio kichwa chake hakiko sawa. Jamani tunamuomba huyo bwana aombew rathi watu wa arusha pia tunamwambia huu sio uwanja wa kukashifu watu ila ni kwa ajili ya maoni na ushauri.
    ASANTENI

    Tumaini mkwizu

    April 23, 2012 at 9:27 PM

  48. Kaka zitto pole na kazi,naomba uchukue kilio chetu,bei ya umeme imependa sana hivyo kutulazimu kuhamia kwenye gas kwa ajila ya kupikia nayo bei iko juu kwanini huyu waziri mpya asiishushe bei gas au umeme ili misitu inusurike.maisha ni magumu vitu bei juu

    H.swai

    May 23, 2012 at 5:59 PM

  49. Zitto well done for your best work keep it up .am a student at CBE at mwanza.

  50. Good work kabwe

  51. Big up bro kwa kazi nzuri ya kutukomboa wananchi wa hali ya chini again big up bro

    Hassani twaha

    June 18, 2012 at 5:20 PM

  52. Hello Zito we really appreciate your good work, please keep it up and we are behind you.

    bernard mapunda

    June 20, 2012 at 8:53 PM

  53. Hi Zitto
    We Tanzaniaan we appreciate what you are doing with your political part(chadema) in fighting against mafisadi.We belive CCM is the part which caused the life of people of Tanzania to be tough.Mipango hawaitekelezi kama wanavyo ipangilia.Keepup 2015 tuko makini kuhakikisha tunawaondosha hata wao wanajua.Jackson-Kasulu

    Jackson

    June 26, 2012 at 3:56 PM

  54. hai zitto
    mbona suala la walimu mmelinyamazia mjengoni hamliongelei basi ikifika bajeti ya utumishi wa umma
    mtufikilie walim maana walimu atamkisema walishago mda mrefu
    sifuri zinazotokea sekondari nakutoujua kusoma na kuandika
    nimigomo baridi hivyo ishawishi serikari . kingine ni watendaji kazi walimu hashuliki madai ya walimu ndo wanaosababishia serikar madeni kama vile kulekebisha mishara kwa wakati kupandisha madaraja kwa wakati

    shamsi shabani

    June 27, 2012 at 4:27 PM

  55. Tunashukurusana ,kaka zitto z kabwe kwa kuwaambia ukweli wananyanyasawatuhuku,hawajui historia ya huumji,nashauri hata mkuu wa mkowa angetoka mkoawetu.

    Msewa nyaoza

    July 8, 2012 at 7:33 AM

  56. Hon:congratulation kwa uwajibikaj wako katika jamii na jitihada zako za kufuta choz na kunyamazisha vilio vya wanyonge GOD yupamoja nawe

    Khatib shekhe

    July 31, 2012 at 10:06 PM

  57. Nakukubal sn bro endelea kukaza mzaz,vp khs lushoto mbona hamji huku 2nawakubal sn kama vp m2tembelee bana

    Muddy abdi

    August 13, 2012 at 3:46 PM

  58. Nawapongeza sana wana CHADEMA wote kwa ushirikiano wa kumng’oa mbunge wa Igunga aliyeingia kwa kupitia mgongo wa wenzake kumbe siye chaguo la MUNGU.Kazi njema mheshimiwa

    CHRISTIAN V. KANYIKA

    August 22, 2012 at 3:05 PM

  59. MAMBO VP UNCLE MI NAKUKUBARI SN NA UNANIVUTIA NAMI NIINGIE KWENYE POLITICS ENDELEA KUWALIPUA MAFISADI

    ALLY BAKARI

    August 22, 2012 at 3:18 PM

  60. Hi, Zitto>
    Salaam sana! najua uko busy na shughuli za ujenzi wa taifa kwa sasa, ninachokuomba ni kuhakikisha kuwa nguvu ya pamoja inatumika ikiwa ni pamoja na hekima uliyonayo ili kuhakikisha kuwa mwako muliouanzisha hauishii njiani kwani sisi wakesha hai tumesjaamua kujitoa kwa ajili yenu na ukombozi wa Taifa letu hili lililowekwa rehani na wale watu 30 waliojitenga na lundo la watu M30.
    Big up,

    Simon Wamiwa

    September 16, 2012 at 3:43 PM

  61. may our alimighty GOD bless your positive thought about our beloved country,i blv GOD will bless CHADEMA Towards state house in 2015.

    yohana bwire

    September 19, 2012 at 1:26 PM

  62. SAFARI NJEMA-IKULU NI YA KIGOMA KASKAZINI 2015. WALA USIWE NA WASIWASI YOUR OUR ECCELENCY PRESIDENT TO BE. By anyway hata kupitia mgombea binafsi(2gether as 1) kigoma na watanzania wote tumekula kiapo ili wewe uende ikulu. Safari njema-IKULU YA KIGOMA2015. Mimi nipo home LEKA DUTIGITE

    ELINAZI ELIAKIMU

    November 9, 2012 at 8:26 PM

  63. Mh. ZZ Kabwe,
    nakuunga mkono kwa kuonyesha nia hadharani ya kugombea Urais.

    Na wengine basi wajitokeze ili tukupimeni

    Mayenga Mabula Mbuzah

    November 30, 2012 at 7:46 AM

  64. Zitto nakukubari sana kwa kazi zako

    Manyambo manyambo

    December 8, 2012 at 11:20 AM

  65. how about your expectation for the coming Tanzania and Africa

    MIGILIMO KAPONTA

    December 29, 2012 at 10:28 AM

  66. Mheshimiwa samahani sana ila mimi ni mtanzania nina wazo moja tu hizo benki pamoja na mifuko ya vijana nilichokuwa nakiwaza kama raisi atatoahiyo bilioni 1 kwa kila mkoa kama alivyofanya mwaka 2006 ni bora hizo pesa angezielekeza kwenye kuinua viwanda vyote ambavyo vimekufa kila mkoa vilevile kuna open areas ambayo unaweza ukaanzisha irrigation scheme ya mazao tofauti pamoja kuwasongezea viwanda kwa ajiri ya wenyewe kuuza law material walizodhalisha hii itasaidia kuajiri vijana wengi ni hayo …

    Gabriel bundala

    February 2, 2013 at 10:59 AM

  67. kaka,,salama?mm ni kijana mwenzako na ninakubali harakati zako za kisiasa kwa 100%,,,lakini kaka ni kweli upo tayari kuachiwa kijiti na jk na hivyo ukawa wa kwanza kwa maana ya umri kuingia ikulu?

    hamidu

    February 2, 2013 at 10:13 PM

  68. Mh.zitto ,siri ya kuendelea ni kukubali kukabiliana na kile kinachokukuta.mmejitahidi sana kuichallange serikali kupitia umakini wenu ndani ya bunge na nje ya bunge,lakini lazima muelewe kwamba mmeiweka ccm sehemu pabaya usoni kwa watanzania .

    Emmanuel asenga

    March 27, 2013 at 8:13 PM

  69. habari kaka, pole na majukumu, hongera kwa kuchaguliwa tena na kuwa kiongozi wa kamati ya bunge, pambana mkuu tupo pamoja.

    moluna bombwe

    March 30, 2013 at 1:29 PM

  70. Mh zitto!
    Ongera sana kwa juhudi nyingi unazozifanya kuhakikisha demokrasia inakua ktka nchi yetu ila pia nakuponeza sana kwa juhudi zaidi yakusimamia na kuyasukuma mambo yaliyolala na kufichwa na baadhi ya viongozi wasio wazalendo na nchi yao.lkini kuna jambo ambalo linanisumbua kidogo ningependa kuliongea.mh ni juu ya maneno ya yanayosikika masikioni mwa watu yakua unataka kugombea uraisi 2015 mh!kwa maoni yangu mimi kama kijana ambaye bado naitaji kujifunza kutoka kwako ninakushuri usubiri kwanza maana naamini watu wa kigoma bado hawajawa tayari kukupoteza kwa sasa kama mbunge wao imara na bia hata sisi tunaosoma kupitia wewe bado tunapenda kukuona bungeni ukiendelea kuisukuma serikali na kuisimamia ipasavyo!!!

    charles kiwesi

    April 14, 2013 at 12:46 PM

  71. Zito I like you so much because unapo ongea jambo unajiamini na unauhakika na unacho ongonge kwa hilo ongela sana tunakutakia baraka Tele katika kuikomboa Tanzania huwezi ukawa mwizi alafu ukajiamini katika kuongoza watu lazima watakuzarau na kukucheka

    subiraga

    June 3, 2013 at 1:30 AM

  72. Big up commander zitto, keep the fight despite the challenges, we ate the ground are making a serious follow of what is happening in the house, we know maize and sorghum, we shall do it inthe next election. Keep the fight and never go back till better is best….tchao

    Lesian ole makuria mollel

    June 27, 2013 at 12:44 AM

  73. Hi .Hn Zitto,thanks 4 wake up many poeple of Tanzania even some of Mp which they were on sleeping ,i know your present in Mp you see far in front for all people of Tanzania,i will like to join with you in politician soon as possible next year because we tired to hear Ccm ccm which hav no developmnt and future plan &how peope there are get profit from it

    please send me your contact

    sai kihanda

    July 10, 2013 at 10:52 PM

  74. big up zitto kabwe najifunza mengi kutoka kwako.

    filbert nyinge

    January 3, 2014 at 5:11 PM

  75. Kaka tunaomba utusaidie sisi wafanyakazi wa kampuni ya(ATTT-Association of tanzania tobacco traders)sisi ma bw.shamba, Kwani tunalipwa mshahara mdogo ambao Ahuendani na kazi tunazofanya
    Tusaidie

    rasheed ahoumud

    April 12, 2014 at 6:54 PM

  76. Talking about future I will always refer to zitto Kabwe! I always admire you and your activities! Your my favorite person that i always look forward to meet you! Your the leader of everything no matter how people don’t like saying the truth but Allah will be with you!
    God bless you
    Remain bless!

    Tena

    June 11, 2014 at 3:15 PM

  77. Helow! Your the only person that I always look forward to meet you even to see you from far I wil be happy you political facts are so delightful to out society Even if people don’t like saying the truth but your the person that stands and say all what is hidden God bless you

    Tena

    June 11, 2014 at 3:18 PM

  78. Nashukuru kwa kazi nzito na kubwa unayoifanya kwa jamii yako mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha iringa tukiwa na wakereketwa wengine tunaosoma education arts mwaka wa pili na wa tatu tumekatwa au tumepunguziwa fedha ya ada tunayolipiwa na bodi 300000 na 150000 kwa kila mwanafunzi anayelipiwa na bodi ya mikopo bila kuwepo na maa. ndishi yoyote kutoka bodi kwa kutuvunjia mkataba hivyo tunakuomba utusaidie kupata ukweli wa jambo hili kwani chuo hawatupi majibu ya kuridhisha

    dainess

    November 27, 2014 at 10:16 AM

  79. hellow zitto actually i am to joim your blog.

    haji luvanga

    December 18, 2014 at 1:54 PM

  80. Plz mr zitto ninapenda utendaji wako wa kazi pia huwa ninajifunza mengi kupitia kwako. Niakuomba unaeleweshe jambo moja. Je tanzania yetu unajitosheleza kwa % ngapi ktk bagjeti yetu. Na wahisani wanatusaidia kwa % ngapi. Nihilo tu by Steven Aliko

    Steven Aliko

    January 18, 2015 at 11:55 AM

  81. Nilikuwa nikitafuta chama cha kukata kiu yangu ya kisiasa, sikuwahi kushabikia wala kujiunga na chama chochote cha siasa, lakini sasa kwa ACT yenye Policy za “Ujamaa, Uzalendo-Unyerere” tafadhali nipeni kadi nakerwa sana na ufisadi ndani ya Serikali yetu japokuwa mimi ni mtumishi wake. Kadhalika viongozi wangu wa kiroho mtanisamehe, najua hamtapenda but mniache nigeukie siasa, ACT mmenikosha kwa Ujamaa!

    Richardson Mwakibinga

    March 24, 2015 at 4:46 AM

  82. Some people do things to make people happy but I believe you always follow your heart and mind to be happy for your people as your fighting for your people Allah will grant you more In your life.. Ur in my prayers

    Riri

    March 27, 2015 at 7:57 AM

  83. Habari ya kazi muheshimiwa.
    Naandika ujumbe huu kuwakilisha vijana wenzangu zaidi ya 200 kutoka Makambako,Njombe tunahitaji tawi la ACT Makambako.
    Naomba tuwasiliane kupitia namba 0716998833.

    Christopher Dyegula

    March 30, 2015 at 8:15 PM

  84. nimependa sana sera Za ACT_Wazalendo, hii imenihamasisha kufungua page instagram inayo fahamika kama @act_tanzania_fan_page tatizo nikwamba mara nyingi naulizwa namna ya upatikanaji wa kadi hasa mkoani,
    kwa bahati mbaya mm sina taarifa kamili kuhusiana na upatikanaji wa kadi mkoani tafadhali naomba muongozo wako

    William Ngonyani

    March 31, 2015 at 10:30 AM

  85. Waiting you soon at Kinazi village, for several people are waiting to join ACT (Wazalendo) as you come by yourself! Kindly, adhere to the call and schedule for this!

    Joseph Edward Sibanganya

    June 15, 2015 at 9:27 PM

  86. Kaza buti kaka tuikomboe nchi yetu tukopamoja Mungu akipenda tutaonana ktk chama chetu ACT

    Denny Yahya Rashd

    July 15, 2015 at 5:47 PM

  87. Nampongeza sana mh.zitto kwa jitihada za kisiasa,kuthubutu na kuweza hasa mambo makubwa na mazito yanayoigusa nchi na kwafaida ya wananch.Naomba asome biblia Kutoka 14.14

    evarist runigangwe

    April 2, 2017 at 11:01 AM


Leave a reply to Joshua Bukuru Cancel reply