Zitto na Demokrasia
Written by zittokabwe
June 13, 2016 at 4:05 PM
Subscribe to comments with RSS.
Zitto is MP for KIGOMA URBAN and PARTY LEADER of ACT WAZALENDO Party (@ACTWazalendo)
Twitter: @zittokabwe
Instagram: zittokabwe
No Instagram images were found.
Tunaipenda Tanzania Na tuta ilinda kwa Moyo wote. Tukiimba wimbo wa uzalendo #Tanzania Tanzania nakupenda kwa Moyo wote
kyomolutufyo
June 13, 2016 at 5:53 PM
HIZI NI CHANGAMOTO ZA KISIASA KWANI DEMOKRASIA YA KISIASA KATIKA NCHI HII NI NGUMU SANA JAPO TUNAHIADA DUNIA KUA SIASA NCHINI NI SHWARI.
KAZINI BUTI KUFIKIA MALENGO. RAISI ALICHAGULIWA NA KUSEMA WANASIASA WAMSAHIDIE LAKINI KINYUME.
abdallah shah
June 14, 2016 at 7:47 AM
Hii inatufundisha kuma tunahitaji kuwa imara maradufu kuhakikisha tunaipigania nchi yetu kuwa na element zote za democracy kwa mujibu wa katiba ya nchi hii. Na hii ni ndani ya vyama pinzani na chama tawala kwa ujumla.
Maryam
June 14, 2016 at 1:26 PM
Endelea kutupigania mwami wetu kwani mungu yuko nawe.
Nashon yusuph
July 7, 2016 at 11:05 PM
Nimeipenda Hii Mh Zitto Siasa Kipaji Chako Komaa Na Kupinga UDIKTETA
Thobias Nyati
September 15, 2016 at 4:52 PM
[…] Read More […]
Aliyoyazungumza Zitto kuhusu kongamano la bajeti na yeye kusakwa na polisi @millardayo
January 23, 2018 at 1:12 PM