TAMKO LA RASILIMALI NA MADENI-ZITTO ZUBERI KABWE(KIONGOZI WA CHAMA ACT-WAZALENDO) @ACTWazalendo
TAMKO LA RASILIMALI NA MADENI LA NDUGU ZITTO ZUBERI KABWE (KIONGOZI WA CHAMA ACT-WAZALENDO) KWA MUJIBU WA KATIBA YA ACT-WAZALENDO
WEALTH DECLARATION FORMS FOR ZITTO ZUBERI KABWE-PARTY LEADER ACT-WAZALENDO
Assalaam aleykum! Mheshimiwa Mimi natamani kujiunga na chama hiki ila sijui nitajiunga vipi. Niko Iringa . Wasalaam Idria
Zitto na Demokrasia wrote:
> zittokabwe posted: “TAMKO LA RASILIMALI NA MADENI LA NDUGU ZITTO ZUBERI KABWE (KIONGOZI WA CHAMA ACT-WAZALENDO) KWA MUJIBU WA KATIBA YA ACT-WAZALENDO WEALTH DECLARATION FORMS FOR ZITTO ZUBERI KABWE-PARTY LEADER ACT-WAZALENDO “
idris.mkindi
April 3, 2015 at 2:37 PM
You such a genius mr kabwe,wasiokupenda waweke na wao.
SINGANO
April 3, 2015 at 5:51 PM
big up brother we piga kaz wao waendelee kuchonga midomo
kassim msoffe
April 13, 2015 at 9:46 PM
Hi nahitaji kujiunga na ACT-Mzalendo ila sijajua ntajiungaje nipo sinza dar es salaam
Ashura Ramadhan
April 15, 2015 at 8:53 AM
muheshimiwa zitto tunashukuru kwa kutuhonyesha uzalendo wako mungu hakupe nguvu, tunahomba uendele kutuhonyesha njia kwani kumbuka watanzania wengi atuna vyana na mnatupataje ni kwa kutuhonyesha uadilifu wenu na uwajaibikaji.tunakuhamini,tunakupenda sana kwani histtry yako yunahifahamu toka secondary, hadi vyuo nahatimaye kwenye siasa ni mpambanaji jasiri.
endelea tupa bega na wewe hadi kiheleweke najua watu watakubeza sana na kukwita majina mungi we wajibika kwani watakuja kufaham kua wewe ni mtu wahaina gani katuka jamiiasanmte.
ABDALLAH SHAH
May 14, 2015 at 9:53 AM
ok
ntakiluta
July 4, 2015 at 7:08 AM
Reblogged this on Ntakilutandato's Blog.
ntakiluta
July 11, 2015 at 6:43 PM
Nataka kujiaunga na actmzalendo npo pwani
Abdallah s ngo
July 17, 2015 at 10:42 PM