Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

VIDEO: Mhe. Zitto Kabwe aiomba serikali kuangalia upya muswaada wa sheria ya kazi baada ya kubainisha mapungufu ya muswada huo.

with 2 comments

Mbunge wa Kigoma Mhe. Zitto Kabwe aiomba serikali kuangalia upya muswaada wa sheria ya kazi baada ya kubainisha mapungufu ya muswada huo.

Advertisements

Written by zittokabwe

March 19, 2015 at 3:09 PM

Posted in Uncategorized

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Mh. Zitto Kabwe nakubali sana kazi zako (keep it up), nimekua nikifatilia kazi zako na hoja zako bungeni kwa muda mrefu hakika Tanzania inahitaji viongozi kama wewe wenye weledi na uelewa mpana wa mambo.
  kwenye masuala ya kazi especially kwenye makampuni ya madini na petroleum tumekua tukiyumbishwa sana kazi hilo naomba mlitizame kwa umakini si vizuri kuharakisha muswada huo alafu after few days mnaanza kufanya amendment.

  mdathiru sukari

  March 20, 2015 at 8:23 AM

 2. Tunashukuru sana muheshimiwa Zitto kwa kugusia sheria ya kazi hususani kwa watanzania wanaofanya kazi kwenye makampuni ya kigeni, kampuni ya Statoil kuleta wapelelezi kutoka Norway kuwachunguza watanzania bila kufuata taratibu za kazi za Tanzania is unacceptable na ni aibu kwa nchi yetu kuruhusu mambo haya kutokea na kuyaachia, kwa mtazamo wangu hili jambo lisiachiwe na hii kampuni iwajibishwe. Lasivyo Tanzania itaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu ma wageni wataendelea kufanya wanavyotaka.

  New diplomat

  March 20, 2015 at 5:28 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: