Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

9 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Zitto hivi tunamsikiliza Mzee Muhongo akijibu hoja ya kamati yako ya PAC mi naonba kama uwezekano upo tuwekee report ya CAG na Mkurugenzi wa Takukuru ili tufunge na kuelewa kilichofanyika.

  Shabani

  November 27, 2014 at 11:53 AM

 2. Endeleza uzalendo kaka tutafika pazuri panapo majaariwa.

  ayubu mbuka

  November 27, 2014 at 12:05 PM

 3. mmefanya kazi nzuri sana

  LUTUFYO KYOMO

  November 27, 2014 at 3:13 PM

 4. Asante Kwa info na Kwa jitihada za kupambana kuijenga Jamhuri yetu. Mungu akutangulie.

  John Sagatti

  November 27, 2014 at 5:52 PM

 5. Nianze kwa kutoa pongezi za dhati kwa Kazi nzuri iliyofanywa na kamati ya bunge PAC
  Leo Ni siku nyingine tena na ya muhimu kwa historia ya nchi yetu na kwamstakabari WA baadae kwa taifa. Hoja ndo nguvu itakayotuvusha katika hili swala

  Dominick Kahungu

  November 28, 2014 at 8:22 AM

 6. zito bigup sana na bungeni ulionesha msimamo

  AMAN MWAMLIMA

  November 29, 2014 at 10:21 AM

 7. Hongera sana Mheshimiwa Zitto, kwa uzalendo wa nchi yako Tanzania. pigana na hawa matapeli, na wabadhirifu wa mali za umma wa watanzania. nakupa hongera sana mheshimiwa wangu. nakuomba usiogope vitisho wala masimango yoyote juu yako, we pigana tuu,sisi tuko nyuma yako wewe mbele yetu na Mungu pamoja nasi. E Mungu akuongoze katika hili. Tunasubiri katika maamuzi ya yatakayotolewa na Vyombo husika vilivyopewa majukumu,

  anordtechnician

  December 1, 2014 at 2:56 PM

 8. ZITTO KAKA HIVYO NDO UZALENDO UNAVYO TAKIWA UKIIBA NDANI TU

  HAMISI OMARI

  December 2, 2014 at 3:23 AM

 9. INACHANGANYA KITENDO CHA WAZIRI MKUU KUMWAGIZA CAG KUKAGUA TAASISI BINAFSI,INA MAANISHA FEDHA NI YA UMMA,LAKINI UKIWA MTU MAKINI UTAGUNDUA PROF.MUHONGO HANA TATIZOA HATA CHEMBE.

  JUMA KIBOGA

  March 13, 2015 at 10:36 AM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: