Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

10 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Tunashukuru kwa kutupigania cha msingi mjitahidi suala hili mfike nalo mwisho maana wameanza kuwavuruga kwa kuleta skendo ambazo zitawatoa kwenye mstari na malengo mliyokuwa nayo wezi wanafahamika kwenye suala hilo fuateni vifungu vya sheria na hatua stahiki ukweli utajitenga tu dhidi ya hila zao.

  Mzaliwa .B. Bendera

  November 9, 2014 at 1:38 PM

 2. Mzalendo wa kweli

  Bema

  November 9, 2014 at 1:52 PM

 3. Keep doing the good work Zitto. Hizi shutama zinazokuandama wewe kama nazo ni za kweli wanakushutumu wafuate tu taratibu tu za kisheria ili nawe uwajibishwe iwapo kuna ukweli….lakini zewe za kweli au za uongo, haziwezi kuwa sababu ya kunyamazisha kazi nzuri inayofanywa na kamati yenu kwa niaba ya wananchi.

  God bless oyu

  Mwalimu MM

  November 9, 2014 at 3:40 PM

 4. Ukweli Nchi yetu imefika pambaya sana nakuombea Mungu awasimamie sana especially wewe Zitto kwani Namba ya Maadui inazidi kuwa kubwa kutokana na kujali masirahi ya Watanzania tena walala hoi.
  Narudia pambana sana kwani Mungu atakulinda na kukupigania lakini ipo siku uongo utajitenga na ukweli.

  King Bujiku

  November 9, 2014 at 5:59 PM

 5. KAZANA KAKA, NA MZIDI KUSHAWISHIANA KUWA NA MSIMAMO WA UZALENDO WA NCHI KWANZA. WALIKUTWA NA DHAMBI WAKATI UTAFIKA

  NDURU, ERNEST

  November 25, 2014 at 11:45 PM

 6. Haihusiani ila nilidhani labda ungependa kusoma kitabu cha huyu mama: http://marianamazzucato.com/projects/the-entrepreneurial-state/

  aadiljr

  November 28, 2014 at 12:11 AM

 7. […] na kweli hilo tumeliona jana kwa mara nyingine! nasema kwa mara nyingine kwani si mara ya kwanza hilo linajitokeza. Hebu tuanzie scene hii ilipoanzia. Mwenyekiti wa kamati muheshimiwa Zitto alishambuliwa na kamati yake. Huu ndio ukweli na kauli ya Zitto dhidi ya tuhuma zake […]

 8. […] nilipewa fedha na shirika la NSSF. Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema “Hatutetereki” https://zittokabwe.wordpress.com/2014/11/09/nashambuliwa-tunashambu… Maelezo yangu kuhusu kazi za Kigoma AllStars/LEKADUTIGITE kwa NSSF na TANAPA. […]

 9. Bwana Zitto huko vizuri sana nchi yetu ina matundu mengi pesa ya nchi inapotea,propaganda zinapeleka nchi pabaya na vilevile chama husika, nasikitika hali ilivyo ndani ya chama cha Chadema, kinakwenda poteza mvuto sehemu nyingi za nchi tulishajiandaa kwamba dola inakwenda chadema lakini kwasasa naona haipo tena, labda kwa bahati ya mtende. basi tuliza akili yako palipo na mwanzo pana mwisho.
  ahsante


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: