Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

6 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Vizuri sana Mheshimiwa

  Peterclever Kissi

  June 29, 2014 at 6:56 PM

 2. Sasa wewe Mheshimwa, ulikuwa wapi kumuunga mkono mwenzako David Kafulila hadi ikaonekana kama hoja yake binafsi? Unachangia kwa maandishi, tukueleweje, uwoga au? Mawazo yako, hoja zako ni murua kabisa, kulikoni hupazi sauti?

  asungwile

  June 29, 2014 at 8:37 PM

 3. Wewe zito unashangaa kafulila kutoungwa mkono leo wangekuwa kina lema yangeitishwa maandamano nchi nzima nyinyi waha hamjufunzi tu

  Peter john

  June 29, 2014 at 11:39 PM

 4. Kama kawaida yako Mh. Zitto, hii imekaa vizuri sana.

  Ndugu zetu mnaompinga Mh Zitto (kwa kuwa, ama ndio mafidadi wenyewe, ama mnafaidika na fadhila za mafisadi au ni sehemu ya genge linalojiita wapinzani kumbe ni mafisadi watarajiwa) angalau mkubali tu hoja alizotoa zina mashiko.

  Kwangu muhimu ni majibu yanayojitosheleza toka kwa serikali au hatua stahili.

  hans

  August 27, 2014 at 1:39 PM

 5. kama kawaida mweshimiwa kufichua maovu ni kama kuokoa nchi yetu

  melick

  December 16, 2014 at 2:51 PM

 6. hongera mh zitto endelea kufichua maovu kamwe usichoke wala kukata tamaaa

  jairo

  January 12, 2015 at 6:15 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: