Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

5 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Mh. Unatakiwa kufuatilia kiundani zaidi ili wasije #wakazungusha km ilivyo kawaida yao!!!

  Ahmad Buliba

  March 18, 2014 at 7:08 PM

 2. zaidi #zitto kwa hapo tu nishaanza kuona kabisa kuna mkanganyiko ten amkubwa na harufu ya rushwa! kwan nin hasa kiulimfanya mwanasheria mkuukusamehe kodi kubwa kiasi hicho? plez tupate na kipindi ambacho haya mambo yalikuwa yanafanyika by citing date and years?

  emanuel kombe

  March 19, 2014 at 12:51 PM

 3. Yes Mheshimiwa…uko deep.

  Metta

  May 8, 2014 at 9:09 PM

 4. Mh.ZITO tunafurahi na kuwaunga mkono na haswa kwa kwa mambo muhimu ambayo wananchi bila ninyi wasingeweza kuona ubaya na udhaifu wa serikali yetu.Naamini watanzania wameanza kuelewa na kuthamini mchango wa wabunge vijana na haswa wa upinzani mnafanya nzuri sanaa. katika hilo watanzania wanatakiwa kufanya tafakuri juu ya maendeleo yanayosiwa kufikiwa hv sasa je tukifanya utafiti kile tunachohudumiwa kama jamii pesa kama hizi nyingi zinapotea kupitia watanzania wachache je, tunahaja ya kuendelea kusifia utendaji huu bila kuukemea? HAIPENDEZI TUAMKE TUSEME BILA WOGA HAPANA PANAPO STAHILI HIVYO NA BILA UNAFIKI PATAKAPOKUWA VIZURI MMEFANYA VIZURI ILI WAENDELEE KUFANYA VIZURI KWA AJILI YA JAMII NA SIYO MIFUKO YAO BINAFSI OTHERWISE TUTACHELEWA KUYAFIKIA MAZURI TUNAYOYATAMANI TUYAONAYO KWA WENZETU.

 5. INASIKITISHA KUONA CAG BEHAVES LIKE AN INTERNAL AUDITOR PILI BOT NI BANKER WA BANKS NA SERIKALI TU SASA INAKUWAJE PESA ZA WATU WENGINE ZINAWEKWA HUKO KWELI WATANZANIA TUKO USINGIZINI TENA WA PONO

  wabhukabha

  July 8, 2014 at 3:14 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: