Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

ZITTO KABWE AKITOA RIPOTI YA HESABU ZA SERIKALI BUNGENI YA MWAKA 2013

with 4 comments

Courtesy : MICHUZI BLOG

Written by zittokabwe

December 9, 2013 at 9:36 AM

4 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Mh.Zitto habari…. Kwa jina naitwa Albert ni mwanachama mdogo sana ndani ya chadema..kutoka tawi la chuo kikuu cha Tumaini iringa…naomba unisaidie email yako, mh.mbowe, Tundu lissu na Dr. SLaa. Hiyo ni kwa ajili tu ya kuwatumia kile nachoweza kuwapa nikiwa kama mwanachama mchanga ndani ya Chadema. On 9 Dec 2013 09:36, “Zitto na Demokrasia” wrote: > > zittokabwe posted: ” Courtesy : MICHUZI BLOG” >

  Albert Hilary

  December 25, 2013 at 4:57 PM

 2. mie kwa jina naitwa zahoro mshadawa naishi dar maeneo ya mbezi mwisho najitokeza leo kutoa maoni yangu kwenye chama changu cha chadema kuhusu kitendo cha wanachama kutokubari maamuzi ya chama maana chama kimetoa huamizi wake kwa wanachama wake lakini watu wanapinga ninayo meng lakin naomba kuitimisha hapo na pia nawapongeze nawapongeza viongozi wachama hote kwa maamuzi yenu

  zahoro mshadawa

  January 14, 2014 at 10:41 AM

 3. chadema hoyooh kama kawaida wana chama wenzangu tusiwe na wasisi na chama chetu tukikubari chama chetu na pia tuwakubari viongozi wetu – naitwa zahoro mshadawa nipo mbezi dar

  zahoro mshadawa

  January 14, 2014 at 10:57 AM

 4. vipi kuhusu uchaguzi ujao ndani ya chadema

  christostom christantus

  January 17, 2014 at 11:01 AM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: