Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

MWANASHERIA ALBERT MSANDO – UTARATIBU WA KUMUONDOA ZITTO KABWE NA DR KITILA MKUMBO NYADHIFA ZAO

with 10 comments

MWANASHERIA ALBERT MSANDO – UTARATIBU WA KUMUONDOA ZITTO KABWE NA DR KITILA MKUMBO NYADHIFA ZAO

Written by zittokabwe

November 25, 2013 at 7:14 PM

10 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Hawa wachaga hiko ni chama cha baba yao mzee mtei we kaka angu tafuta chama chenye muelekeo unaoona unafaa ujiunge we ni kichwa popote utafit tu ndugu

  seifu_bulushi

  November 25, 2013 at 10:42 PM

 2. Chama chawenyewe hicho kaka tafuta chama chengine ujiunge

  seifu_bulushi

  November 25, 2013 at 11:27 PM

 3. ebwana hebu busala nakukubari sana mweshimiwa

  paul ndasi

  November 26, 2013 at 9:54 AM

 4. kaka zito hamia ccm mapema wakpitishe ugombee urais 2015

  ndety

  November 26, 2013 at 11:30 PM

 5. ZITO BADO TUNAMPENDA,TUNAHIC HIO NI NJIA YA KUKANDAMIZA WAKAZ WA KIGOMA KUTOKUWA NA HISTORIA MHAA KUGOMBEA URAIS

  MARIDADI ROBERT

  November 27, 2013 at 2:57 PM

 6. Hakuna sababu ya kuvutana, kaeni pamoja muondoe tofauti zenu,lasivyo mpasuko mkubwa ndani ya chama. Na mtakosa wote

  Renatus chamtepa

  November 28, 2013 at 11:08 AM

 7. jaman hakuna mwanadam mkamilfu naomba suala la Zitto na wenzie lisipelekwe kwa pupa bali busara na hekima ziwaongoze viongoz wakat wa kufanya maamuz

  LINUS PETER

  December 3, 2013 at 8:31 AM

 8. tumia busara kaka

  LINUS PETER

  December 3, 2013 at 8:33 AM

 9. namshangaa sana, mheshimiwa zito kunga’nga’nia chama cha wachaga, kwani nini usiamie tadea ugombee uenyekiti, na uraisi 2015

  mfaume mayengo

  December 3, 2013 at 11:15 AM

 10. Kosoana Bila Kufukuzana Chama Ni Cha Watanzania, Mnapofukuzana Mnanufaisha Maadui.

  Janken Mjwanga

  December 11, 2013 at 1:27 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: