Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

TAMKO LA NDUGU ZITTO KABWE & DR. KITILA MKUMBO

with 29 comments

Taarifa ya Zitto Kabwe Kuhusu Kuvuliwa Nafasi za Uongozi Ndani ya Chama Changu Cha CHADEMA

View this document on Scribd

 

Taarifa ya Dk. Kitila Mkumbo kwa Umma kuhusu Kuvuliwa nafasi za mamlaka ndani ya CHADEMA

View this document on Scribd

Written by zittokabwe

November 24, 2013 at 1:19 PM

Posted in Uncategorized

Tagged with , , , ,

29 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. a victory person

  peter mwininga

  November 24, 2013 at 1:50 PM

 2. Umeshinda kwa mara nyingine tena.Wasio na akili hawataelewa kwa sasa.Wewe ni miongoni wa ma genius wachache tulionao Tz. May our Creator protect you from all evil doers.

  Kabamba

  November 24, 2013 at 2:30 PM

 3. Nimependa kwakweli tamko lako my brother Zitto, huko ndo kuiva kisiasa bado tunakukubali.

  abdi

  November 24, 2013 at 2:32 PM

 4. i real appreciate your effort in this nation, nilikuwa tanga kipindi ulikuja kutembelea mashirika ya mkonge ambayo ziara yako baadhi ya majengo yalifufuliwa ghafla na kuwekwa mafeni.
  na c jimbo lako ila watu wanajua country wide your a hero.
  …mwalimu nyerere mpya plz stay on the right way usiyumbishwe ww ni mwanamapinduzi iwe ndani au nje ya chama…watanzania werevu wasiofuata ushabiki wanakuelewa.

  Becca Mudy

  November 24, 2013 at 3:42 PM

 5. Pamoja 2po nyuma yako dhidi ya wahafidhina!

  Francis Runyota

  November 24, 2013 at 3:49 PM

 6. Hakuna asiye tambua mchango wako kwa taifa hili, ukweli usiopingika ww ni mbunge makini hilo halina ubishi. yote hayo yanafanywa ili kutaka kukuvuruga kisiasa tu, ACHANA NA WANAFIKI.

  Gibuyi lambo

  November 24, 2013 at 5:30 PM

 7. Ndio siasa za Tz. lakini penye nia pana njia na Mti wenye matunda mazuri ndio hutupiwa mawe saana bado nakumbuka saana walichocomment ulipoandika facebook haujala tangu jana. Huku hata Newton ndio ilikuwa njia ya kuusaidia ulimwengu kujua gravitation force na kuweza kutengeneza vifaa mbalimbali vya kurahisisha maisha. BRO, NEVER EVER GIVE UP!!!!!!!!!!!!!!!

  Alfred Augustino

  November 24, 2013 at 8:22 PM

 8. Tunashukuru kwa ufafanuzi, ni busara kwa sisi ambao hatukuwa kwenye kikao sasa kuangalia taarifa iliyotolewa na chadema na majibu ya Ndugu yetu Mh. Zuberi Kabwe Zitto na Dr. ili tuweze kupima pia. Changamoto zipo Kisiasa aidha kwa malengo binafsi au kukivuruga chama kwa mtazamo mfupi wa baadhi ya watu. Lakini muda umefika kuangalia kiundani swala hili ili tuimarishe chama chetu na sio kukibomoa.

  Deogratius Mbano

  November 24, 2013 at 8:45 PM

 9. poa zito tupo nyuma yako masela

  KLUVET

  November 24, 2013 at 8:54 PM

 10. […] Zitto published his statement online, and these video highlights. Some extracts: […]

 11. HA AAAA HAAAAAAAA THANKS MR KABWE YOU ARE THE HERO AND ALWAYZ YOU WILL BE THE HERO WELCOME HOME AND TAKE REST NO ONE LIKE YOU CHADEMA IS TRIABAL PART AND IS NOT FOR ALL TANZANIAN EXCEPT THEY ARE FOR THEIR OWN INTEREST.. YOU ARE EDUCATED MAN YOU CAN DO ANYTHING YOU WANT AND TRUST YOUR SELF YOU ARE A HEEEEEEERO

  OTHMAN

  November 24, 2013 at 9:59 PM

 12. Dear zitto
  I am a very big fan of you and big fan of Tanzania.
  I hope to see you lead Tanzania as it’s president. Remember one thing, good and bad are never together. They can never be mixed. They will not stay as one. They are two different, separate aspects. This has been said numerous times in bibble, Quran , all major faiths. This has been its proof.

  You see I will not take sides here. I have no favourism in ccm nor chadema nor nccr. All are the same to me. To a parent, all children. Are the same. But between ccm n chadema, ccm is the lesser evil for sure.

  Yes, I agree corruption is rampant. But where is corruption not present,? We have corruption from Adams time and it is still there in USA, uk, France. Prooof: us intelligence tapped phone of Angela merkel. How ?

  But look at the things ccm have done. Tell me whether the good outweighs the bad.

  — the road network since Ali Hassan Minho times. Tz has better roads then most African countries
  — tz recently overtook Kenya in year 2012 interns of tourism? How? Tz doesn’t have a big airline that flies to Europe? How can tz without any infrastructure still win over Kenya? Kenya is known for so many years, has experience, was a capitalist state? Still tz won? How? Tz has much more hotels then Kenya… How? Kenya is so advanced?
  — electricity,, yes this has been a problem. But will soon be history. Remember we were faced in so much poverty during tanu and babu Nyerere time that he didn’t invest in electricity projects. This started changing after mkapa. My fellow, it takes years to overcome electricity problems. I think in 2 to 3 years we will be Africa’s only surplus exporter of electricity.
  – inflation has gone down from Nyerere time
  – luxuries are cheap. Ask a Malawian or Kenyan or Ugandan when they are surprised and envy to see lower middle class Tanzanian owning a smartphone or Car?
  – Tanzania has 35 banks. Not branches, but different banks. Barclay, twb, NBC, nmb, crdb, stanbic, standard chartered, dcb, boi, bob, fbme, habib bank, dtb, nic, fnb, kcb, equity, . Google n ull see all 30 banks names. Which African country has 30 banks, ? Just 10 years ago we didn’t have Barclays. 30 banks means 30 managing directors, 30 marketing manager, 30 head of credits control, 30 personal assistant or secretary. Check if Nyerere time how many banks we had.
  – Tanzania has 5 cell phone companies, artel, tigo, voda, salsa tell, zantel. Kenya being a big advanced country now has 3 or 4 . All this time they had 2. It is so cheap to call in tz. Go elsewhere in Africa ull see how expensive it is to call
  – Internet – liberalized internet makes it affordable. More internet companies here then Kenya. A friend owns a corporate business in kena and pays used 300 per month for internet. It’s the cheapest in Nairobi.
  – compare domestic flights in Tanzania then elsewhere in Africa. People are traveling in Tanzania dar mwanza for 80000 thshs, can u travel a 1 hour domestic flight for 80000 elsewhere in Africa?
  – busses. Scandinavia in the past, dar express at present and the others charge 20000 Tshs for 000km journey. U can’t get that anywhere in the world. Why? Becoz mwinyi n mkapa liberalized trade.
  – I remember azam ice lollies were for 200 shs. I don’t know the current price. Where on earth good quality ice lolly will be for that price?
  -a friend started a pay toilets project for Nairobi slums. Basically it is a plastic toilet and he gives to women in Nairobi slum to come and use it. Then the women make a profit by charging slum residents some little money. The toilets are clean and cheap to use. Same guy came to Tanzania, and visited dar es aalaam slums. He said the dar project will not work coz dar slums living conditions are far better. Nairobi is worst. People living in slums allready have good toilets at their homes
  -see if u can leave ur car windows open in other African cities without being mugged
  – peace. I will not say a word on peace except we all know opposition political leaders are fueling religious hatred.
  – education: ohh dear. How many graduates do we now have?
  – villages? It’s getting there. Slowly but surely.
  – food- our food situation is better then neighbors
  -public transport in cities sucks. I agree. But dart phase 1 is almost ready. Problems will be history soon. We will overtake most emerging countries interms of public transport.
  – courts: believe it or not. Ask the insiders. Court cases in tz are handled much more quicker and less corruption then most emerging countries.

  What else man?

  Utrecht

  November 24, 2013 at 10:33 PM

  • ARE YOU OUT OF YOUR MIND? DON’T TAKE THIS AS THE CHANCE OF APPRECIATING CCM. APPRECIATING CCM IS A BIG SIN BEFORE OUR CREATOR. WATCH OUT!

   Rwegasila

   November 25, 2013 at 9:46 AM

 13. Umeonyesha hekima ya hali ya juu Bro, Kibinadamu naweza sema numekusoma kama mtu mwenye busara nyingi na asiye na papara, tena mpenda amani. Jambo moja nikuwa aonaye moyoni ni mmoja tu yaani muumba.So its difficult to justfy! Nakama ndivyo unamaanisha then stay blessed!

  neema

  November 25, 2013 at 1:28 AM

 14. Kila siku ukweli wa jambo huwa unabaki moyoni mwa anaejua ukweli huyo so sisi kama wananchi tuchanganue kwa mapana na marefu na kufanya maamuzi sahihi tusipende kuishi kwa mazoea eti vita ya panzi furaha ya kunguru na nilichosikia mm ni kwamba amevuliwa madaraka ndani ya chama na wala si uanachama vyombo vya habari msipindishe taarifa

  Peter

  November 25, 2013 at 2:26 AM

  • Mti unaopigwa mawe ni ule unaozaa matunda, Zitto aluta continua

   Edwin Agola

   November 25, 2013 at 3:26 PM

 15. Ndo changamoto za kisiasa brother komaa, jipe moyo na usikate tamaa Mungu yup
  o nawe

  peter etanga

  November 25, 2013 at 10:12 AM

 16. Kaka hicho ndo kipimo chako, kazana uipiganie nchi kuwa mfano wa kuigwa japo utachukiwa simama tu.

  dastan

  November 25, 2013 at 9:42 PM

 17. […] responded in typically forthright fashion (video here). Passionate, determined and undeterred, he denied many of the key accusations against him, declared his continued allegiance to the party, and […]

 18. Haohao tu waanaijifanya chadema yao wanazitaka izo nafasi ulizojaliwa na mungu wazitumie wao hatawao ukiwachunguza kwa undani ni wafuasi wa chama tawala wanatupaka sisi mafuta kwa mgongo wa chupa zito komaa ukiona wanaendelea kuku fatafata anzisha chama kingine sisi tuko nyuma yako waache ukabila wao
  a
  chu

  zawadi

  November 26, 2013 at 11:58 AM

 19. Chadema, chadema, !!!!!!!!!!!! MUNGU kweli anaipenda TANZANIA watanzania tulidhani chadema ndio chama kitakacho leta UKOMBOZI, DEMKRASIA YAKWELI, NA MAENDELEO NCHINI SASA MUNGU ASANTE SAANA UMETUONYESHA VIONGOZI WA CHADEMA NI KINA NANI, ASANTE MUNGU UMEWAFANYA WANAFIKI WAONYESHE MAKUCHA YAO KABLA HAWAJATUTAWALA , YAANI UKIWA NA MAWAZO TU TAFAUTI NAWAO UMEKUWA ADUI !!! HII KALI ! HAWA KINA MBOWE NA SLAA KWA UTARATIBU HUU WAKITUTAWA SITUTAISHIA JELA , UNAMVUWA UONGOZI ZITTO KWA AJILI TU YA MAWAZO YAKE WALA HAMKUWA HATA NA MUDA WAKUKAA NAE MKA JADILI, WATANZANIA…. MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA, WAMETUONYESHA CHADEMA NI CHAMA CHA WATU FULANI NINIGUSE, UKIWAGUSA TUU WANAKUONDOWA , HIKI SIO CHAMA CHA WATANZANIA, WAMETUDHIHIRISHIA HILO, POLE SAANA MHESHIMIWA ZITTO USIVUNJIKE MOYO TUPO NYUMA YAKO.

  Noorkaemdin

  November 26, 2013 at 6:00 PM

 20. zitto amin unaweza m sina meng coz nmeumia sana, chadema umeirudisha wewe baada ya dr kaduru.

  juma

  November 26, 2013 at 8:49 PM

 21. MUNGU NDIYE AENDESHAE ULIMWENGU,SIMAMA KTK UKWELI NA MUNGU ATAKUONGOZA.BWANA WA WATU NI MTUMISHI,WATUMIKIE WATU KWA MOYO THABITI HAPO MSADA WA MUNGU UTAKUWA UPANDE WAKO.TUKO PAMOJA BROTHER.

  A,mbambwa

  November 27, 2013 at 10:57 AM

 22. We ni mwanasiasa mahiri usiyumbe katika kusimamia ukweli kama vipi rudi ccm.

  Gaston

  November 27, 2013 at 9:50 PM

 23. Rudi ccm

  Gaston

  November 27, 2013 at 9:52 PM

 24. We will die with you on your real democracy.

  Agape

  December 1, 2013 at 3:36 PM

 25. we ni balaa siku zote tunataka kiongozi mwenye msimamo kama wewe

  Ramadhani Abdul

  December 1, 2013 at 11:00 PM

 26. Kijana Zito Kabwe,kwanza ,hongera sana kwa uvumilivu wako. Mimi sio mwanachama wa Chadema lakini huwa napenda kusoma sera karibu za kila chama cha siasa maana mimi ni mtanzani niliye huru.Kama ulikua hujielewi msimamo wako sasa niwakati wako muafaka wa kujijua na kujua hata wale uliokua unadhani ni wema kwako.shikilia msimamo wako nasi tunazidi kukuombea Mungu atakujalia na yote haya yatakwisha .Mungu akuwezeshe na akupe moyo wa subira usiwe na papara .ASANTE.

  S M MRAMBAS.

  December 2, 2013 at 11:29 AM

 27. kwa kweli tatizo ni viongozi wa juu ambao hawapendi mabadiliko yeyote.jamani kama mnaitaka demokrasia ya kweli,tatizo la Zitto liangaliwe kama changamoto tu na sio uhaini kwani si kosa kisheria kujiandaa kugombea nafasi ktkt chama.vyama vyote Duniani vimepitia mikingamo mingi sana kuliko hata hili ninyi mlionalo ni tatizo.ina maana mheshimiwa Mboye na Doct slaa mtaendelea kuwa vinara wa chama milele?.wananchi nao jamani wanaona mapungufu yenu jama kijengeni chama acheni malumbano.

  mome zambery

  December 5, 2013 at 10:12 AM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: