Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

PRESS CONFERENCE VIDEOS: SITOKI CHADEMA-ZITTO

with 14 comments

TAARIFA YA ZITTO ZUBERI KABWE (MB) KUHUSU KUVULIWA NAFASI ZA UONGOZI NDANI YA CHAMA CHANGU CHA CHADEMA

URL: http://www.youtube.com/zittokabwe

SITOKI CHADEMA


NITASIMAMA DAIMA MBELE YA DEMOKRASIA


NINAPOZUSHIWA NAUMIA MIMI NI BINADAMU


USAMBAZAJI WA RIPOTI YA SIRI KUHUSU ZITTO KABWE  


KUSHAWISHI WAGOMBEA WA CHADEMA KUJITOA KWENYE UCHAGUZI 2010

POSHO ZA WABUNGE


TAMKO LA PAC HESABU ZA VYAMA HAZIJAKAGULIWA CAG


TUHUMA ZINAZOMKABILI ZITTO ZUBERI KABWE KUTOMKAMPENIA RAIS WA CHADEMA KATIKA UCHAGUZI 2010


UJENZI WA CHADEMA KIGOMA


PRESS CONFERENCE – TUHUMA

 

 

Written by zittokabwe

November 24, 2013 at 9:34 PM

14 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. […] published his statement online, and these video highlights. Some […]

 2. Mengi yata semwa cunajuwa mtiwenye matunda ndio unapingwa mawe kaza mpaka kieleweke!!

  Daniel africa

  November 24, 2013 at 11:01 PM

  • Pole sana mh. Zitto. Hata hivyo naamini hili halitakukatisha tamaa katika harakati zako za kupambana kwa maslahi ya jamii pana kupitia chama chako. Pia, binafsi naamini kila jambo linalotokea maishani mwa mwanadamu lina makusudi yake (anything that happens, do happen for a reason). Jambo hili lina maana yake na tafsiri yake. Wakati ukiendeleza harakati zako, nakushauri ukae chini utafakari na kujiuliza “kwa haya yametokea”? Je nini chanzo chake? Nani anaweza kuwa nyuma ya haya? Je, katika hayo, wewe binafsi umechangia kwa namna yoyote (pengine kupitia msimamo wako, mwenendo wako n.k) hadi haya yakatokea? Je, kuna ukweli wowote kati hayo?

   Baada ya kujiuliza hayo maswali na kuyapatia majibu sahihi, fikiri hatua sahihi utakayopaswa kuchukua. Na wakati unafanya hivyo, BE HONEST TO YOURSELF AND YOUR GOD. Ukifanya hivyo kwa vyovyote vile MUNGU “will make a way”.

   richard

   November 25, 2013 at 3:30 PM

 3. ZITTO,KAMA NINI NA IWE WEWE NI MMBAYA KWANINI MUWE NA AJENDA ZA SIRI NDANI YA CHAMA? UMAARUFU MWINGINE SIO KABISA JIPANGE UPYA HUNAJIPYA KWASASA MMETUBOA HAPA KAHAMA KWAKWELI YALE MATUMAINI YETU KWENU YANAANZA KUPOTEA.PIA NAWAPONGE WALIOKUVUA VYEO HUO NDO UONGOZI TUNAOUTAKA WENYE KUTHUBUTU NA KUTEKELEZA MATAKWA YA KATIKA TOKA HUNA JIPYA CHAMACHETU NI MAKINI NA HATUTAKI VIMEO KAMA WEWE ZITTO KWELI WEWE NI ZITTO NA MAMBO YAKO MAZITO.ENYIVIONGOZI WETU ENDELEENI KUTIMUA NA VISHARUHARA WENGINE HAO NA WENGINE WAMENICHEFUA SANA

  PASCAL KARIRO

  November 25, 2013 at 1:22 PM

 4. YATASEMWA MENGI NDIO SI ULITAKA YASEMWE KAMA ULIKUWA HAUTAKI SI UNGEFUATA TARATIBU ZA KIKATIBA ZA CHAMA? MIE NI MZANAKI TOKA MSOMA LEO UMENIFANYA NIKUMBUKE HOTUBA YA JK NYERERE KUHUSU AINA HII YA WATU NDANI YA CHAMA HUITWA WAHAINI KUMBE HAKUWA NA MAKOSA PALE MIAKA ILE BAAZI YAO ALIPO WAWEKA VIZUIZINI NA HATA KUWAFUNGA WAJINGAWANGA DIZAINI HII DAH! NAMKUBALI BABU.SIE HUKU MUSOMA HATUOGOPI MTU NA HATUNA MDA WA KUJIPENDEKEZA KWA MTU KAMA UMEOZA TUNAKUAMBIA UKWELI KUWA UNANUKA JISAFISHE TENA KWA MARA INGINE

  PASCAL KARIRO

  November 25, 2013 at 1:43 PM

 5. ILA JAMBO MOJA NI USIKATE TAMAA JISAFISHE KISHA ENDELEA NA KILEUNACHOTAKA KIWE NDANI NA NNJE YA CHAMA.ILA KUMBUKA MANENO ALIYO SEMA MWALIMU NYERERE KUWAHUSU WACHAGA JUU YA KULIONGOZA TAIFA ILA SI KILAKISEMWACHO CHAFAA BALI MENGINE HUWA NI MAONI YA MTU.KAMA NI UKABIRA HATA MWALIMU NAE ALIKUWA NA UKABIRA HATA MIMI ILA CHADEMA NI CHAMA CHA MTU SASA HATAKAMA ATAAMUA WATOTO WAKD NDO WAWE WAKUU MPAKA MWISHO WA DUNIA NI SAWA SI CHAKE WE UNATAKA NINI SUBIRI WATAKAPO CHOKA NDO WAKUPENDEKEZE WE VIPI? UNAKAA KWANGU HARAFU UNATAKA UWE UNAKULA KAMA MZEE MWENYENYUMBA INAWEZEKANA KWELI? JAMANI MATATIZO MENGINE HUWA TUNAJITAKIA AU WEWE ULIKUWA HAUJUI KUWA CHAMA NI CHA MTU? MTEI NI NANI NDANI YA CHAMA NA ANAMAMLAKA GANI WE VIP? USIJIFANYE HAUJUI SASA HAYO MABAWA YANAYOKUOTA KWAFUJO YANATOKA WAPI? HEBU CHEKA KIDOGO NA UACHE KUJISIKIA VIBAYA JAPO INAUMA KUVULIWA VYEO NAMNA HII.HIVI MLEMA NA NCCR YAKE UNAMKUMBUKA KAISHIA WAPI? HII TANZANIA BWANA WE UKOJE BWANA ZITTO UKIWASHINDA GIZANI WAO WATAKUSHINDA KIANGAZI AU KWENYE MAVUNO.

  PASCAL KARIRO

  November 25, 2013 at 2:51 PM

 6. Siasa za kuchafuana ndani ya Chadema ni kama chama kinaendeshwa ki CCM sasa havina tofauti, Zitto simama imara huo ni udikteta katika madaraka kwani wao hawataki kutoka ni kina nani kama chama ni chafamilia ya kilimanjaro si waseme, na kuhusu kigoma kutoka mgombea mmoja wachadema waambie sisi ndio wanakigoma hatuchagui chama tunachagua mtu wakazi hao tuliowaagiza mbungeni ndio tunao waamini watuletee watu imara kura tutawapigia

  Bilal Moshi

  November 26, 2013 at 10:14 AM

 7. dah pole xana mh!

  Kuba Deus

  November 26, 2013 at 4:12 PM

 8. Nakipenda Chadema hata iweje ctokata tamaaa

  Rugabray

  November 26, 2013 at 5:54 PM

 9. Pole xna kaka Zitto ktk siasa kuna mitihani mingi kinachotakiwa ni uvumilivu na ujipange upya Mungu akupe uvumilivu ktk kipindi hk kigumu na uzdishe ibada

  Abdul

  November 26, 2013 at 6:56 PM

 10. Zito hiyo ni noma katika chama

  Kayuni

  November 29, 2013 at 9:47 PM

 11. Nakutia moyo mh kabwe.ila kumbuka palipo na nia pana njia,hivyo kamaMUNGUkayaruhusu hayayoooteyakupate!jua kuna kitu.

  BY GEOFREY MASATU

  December 3, 2013 at 12:53 PM

 12. zito ulchokfanya kzur watu tulkuwa tunakutegea kwa hali mali sasa huna tena mpango ushapewa mihela ya uswizi kmyaa unalolote ww kiongoz gani muoga!! by choro wa tbt.

  nasor omary

  December 13, 2013 at 11:59 AM

 13. we kama unataka kufukuzwa CDM tangazania kugombea uenyekiti wa chama au tofautiana k mawazo viongozi wa j

  ayubu

  June 12, 2014 at 6:51 AM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: