Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Mkutano na waandishi wa habari: Mhe Zitto Kabwe na Dk Kitila Mkumbo

with 25 comments

Mkutano na waandishi wa habari: Mhe Zitto Kabwe na Dk Kitila Mkumbo

Taarifa inatolewa kuwa Mheshimiwa Zitto Kabwe pamoja na Dk Kitila Mkumbo watakutana na wahariri na waandishi wa habari kesho siku ya Jumapili tarehe 24 Novemba 2013. Watatumia nafasi hii kutoa maoni na msimamo wao kuhusu maamuzi ya Kamati Kuu ya CHADEMA ya hivi karibuni.

Mkutano huu na waandishi wa habari utafanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam kuanzia saa5.00 asubuhi.

Imetolewa na ofisi ya Mbunge Zitto Kabwe, Dar es Salaam.

Jumamosi, 23 Novemba 2013.

Dar es Salaam.

Written by zittokabwe

November 23, 2013 at 5:00 PM

25 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Tunasubiri kwa hamu wapendwa tuko pamoja mwenye macho haambiwi tazama

  khamis maundu

  November 23, 2013 at 5:05 PM

 2. Vizuri kamanda Elezeni Umma Uwajue hawa Wababaishaji,Wanasema Mmevunja Katiba,JE JOSHUA NASSARI alipotoa Tamko Ataunda TAIFA LA KASKAZINI(UHAINI) alichukuliwa Hatua Gani??? Au Ni Sera ya CHADEMA kuivunja Nchi Vipande Vipande? Kuna Double Standards jinsi ya Kudeal na Watu.

  Benedict Felician

  November 23, 2013 at 5:15 PM

  • Yes, I think there is more to it than meets the eye.

   Ludovick S Mwijage

   November 24, 2013 at 7:02 AM

 3. Tupo pamoja mheshimiwa

  Shabani Napinda

  November 23, 2013 at 5:15 PM

 4. mimi sio shabiki wa siasa lakini hapo Chadema wanaipa CCM penati ya wazi

  Liana R.D

  November 23, 2013 at 5:52 PM

 5. Bila shaka tunaweza kusikia mengine yaliyofichwa,tunawasubiri.

  Hamis

  November 23, 2013 at 6:50 PM

 6. Mimi yangu masikio tu nadhani pia ni kaupepo flani hivi kachafu katabita tu jamani eeehh nini tena jamani ninyi ndio tunao wategemea sasa mnatuchanganya kama hamtoelewana wewe Zitto na wenzako elewaneni bana mkivurugana nawasihi vijana wenzangu mnaochangia au mnaopitapita humu kwenye mitandao tuachane na haya masiasa kama ndio hivi wasipoelewana huyu Zitto na wenzake naandika haya inanisikitisha sana chama nilichokuwa nakiona kikotofauti na vyama vingine nako virugu nini jamanieeeeeeeeehhhhhhhhhh.

  Mussa

  November 23, 2013 at 7:40 PM

 7. be frank and objective in your press conference or else you may end tarnishing your image, popularity and political CAREER

  YONAH

  November 23, 2013 at 8:06 PM

 8. Hiyo ni SACCOS ya watu fulani Kuwaingizia Ruzuku Waitafune,wakiona watu Serious kama Zitto wanataka Kukichukua Chama Ndio hivyo

  Benedict Felician

  November 23, 2013 at 8:37 PM

 9. Tulifurahi pamoja, tunahuzunika pamoja.na tutashinda pamoja (Edward Ngoyay Lowasa)! tupo pamoja kaka……..

  mohamed mwabumba!

  November 23, 2013 at 9:07 PM

 10. Duh!! Ukistajabu ya Musa utaona ya filauni——nini CHADEMA kama mnatuacha dilema vile.

  edgar

  November 23, 2013 at 9:20 PM

 11. tuombe Mungu Cdm isimame tena

  gilbert innocent

  November 23, 2013 at 10:13 PM

 12. Udini na ukabila ndiyo unawasumbua tu hapo.kaeni na lichama lenu la kidini na lakikanda

  sulley

  November 23, 2013 at 10:37 PM

 13. mm si mwanacham wa chama chochote, lkn nakili kuwa zzk ni kiongozi makn na mwenye maono hivo naamin ww ni jua na huwezi kuzibwa kwa ungo. mungu akuongozeni vyema ktk kikao hicho.

  garula

  November 24, 2013 at 12:40 AM

 14. Hapo mtakuwa mmefanya jambo la maana kwasababu mpaka sasa watanzania tupo gizan

  EDIMUND

  November 24, 2013 at 3:37 AM

 15. ni migongano ya mawazo tu inayokomaza mapambano ya kuijenga nchi keep calmness for the nation sake

  Emmanuel Ngundami

  November 24, 2013 at 6:29 AM

 16. Mbowe na Slaa wanalinda maslahi yao na ya Mtei,mwasisi wa Chadema. Zitto na wenzake walipinga ubinafsi/ufisadi huo.

  thomas mmoka

  November 24, 2013 at 7:21 AM

 17. WALIOWENGI KWENYE HIVI VYAMA WANAONGOZWA NA MASLAH YAO NA SIO UZALENDO WA NCHI YETU. WAHENGA WALISEMA NABII HAKUBALIK KWAO NDIO HAYA YA CHADEMA

  Kito

  November 24, 2013 at 7:45 AM

 18. We are expecting to get alot of information from you Hon.Kabwe today, dont leave even a single stone unturned.

  SEBASTIAN

  November 24, 2013 at 8:31 AM

 19. Mmm, sijui tutatokaje tulipo! Maana chma na viongozi mliotupa matumain watanzania ndo kwanza kinaanza kuyumba hali inayotukatisha tamaa, tunawategemea katka kututoa tulipo lkn mnaanza kurud nyuma kupgana wenyew badala ya kushkamana kupambana na adui! Zitto kabwe umekomaa kisiasa ukirud nyuma tu, umetuumiza watanzania tuliokutegemea.

  Ziada J

  November 24, 2013 at 1:02 PM

 20. Watanzania tutakoma,maana tuna imani na wewe Zito kama hautakuwa upande wetu utatuangamiza masikini wa mungu huu ni msiba mkubwa sana kwetu na hatutasahau

  Needson

  November 24, 2013 at 7:59 PM

 21. Struggle is our life,keep it up zitto

  Aivin muzaula

  November 25, 2013 at 12:55 AM

 22. Hakika zitto wewe ndo mkombozi wetu. Tuna kila sababu yakukupongeza endelea kuwa na msimamo imara kwan yaha ni mapito tu.naamin 100% ya wanacha wote wa chasema walijiunga kwasababu ya ushupavu wako, usirud nyuma kamanda tuko pamoja nililia sana baada ya kusikia tukio hili

  Kelvin majaliwa

  November 25, 2013 at 9:30 AM

 23. Na Kwel usitoke chaman.msiruhuru kugawanywa makund ndan ya CHADEMA Vingnevyo wote tutakuwa tumeharibikiwa.Rud nyuma kumbka ulipoanguka tusonge na mapambano. DON’T GVE UP

  AMIL mwamlima

  November 26, 2013 at 7:31 AM

 24. In electrical engineering field, even resistance oppose the flowing of current but without resistance no potential drop and current is infinity.In mechanics point of view, even friction force oppose the motion but without friction no motion ie slippery occur

  suleiman barua

  November 26, 2013 at 2:19 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: