Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

TAARIFA YA KUWASILISHA MUSWADA BINAFSI WA SHERIA BUNGENI

with 14 comments

Nimetoa taarifa rasmi kwa katibu wa Bunge kwa mujibu wa kanuni za Bunge kwamba katika mkutano ujao wa Bunge nitawasilisha muswada binafsi wa sheria kufanya marekebisho ya sheria ya magazeti kwa lengo la kuifuta kabisa sheria hiyo.
Madhumuni ya muswada huo ni;   

“kufuta sheria ya magazeti ya mwaka 1976 kwa sababu inakizana na Katiba ya Nchi kuhusu haki za Raia kupata habari na kwamba iliorodheshwa na tume ya Nyalali ni sheria kandamizi’

Muswada wenyewe nitauwalisilisha siku ya ijumaa ili uchapwe kwenye gazeti la Serikali uweze kuingia kwenye shughuli za Bunge zitakazoanza tarehe 15 Oktoba 2013 kwa ngazi ya kamati.

Written by zittokabwe

September 30, 2013 at 3:06 PM

14 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. […] Zitto Kabwe announces a private members bill calling for the Newspaper Act of 1976 to be repealed. […]

 2. Hakika kaka tupo Myrna yako. Songa mbele.

  fredy chomete

  September 30, 2013 at 3:57 PM

 3. […] opposition parties and politicians get angry, call for “undemocratic” laws to be repealed and the ban to be suspended. And there will be some condemnation from local and international media […]

 4. Mh. Tunashukuru kwufuatiliaji wa katika suala Zima la haki ya raia kupata habari za nadani ya nchi. Ni jukumu lako kuwasaidi raia wa Tanzania kupata habari. Ninaomba ututumie huo muswada baada ya kusomwa bungeni.

  Joshua lulonga

  October 1, 2013 at 8:15 AM

 5. Tafadhali Bwana Zitto okoa taifa hili kwani linazama kufuatana na sheria kandamizi.
  Jambo la pili tuko wengi nyuma yako mimi bila shida nitakuwa campigning manager wako Mkoa wa Mara. Nina maana utakapo simama kuomba lidhaa ya Watanzania kuwa raisi wao.
  Nakutakia kila la heri katika kutafuta haki za Watanzania.

  Julius Kerenge

  October 1, 2013 at 11:17 AM

 6. Zito Kabwe,unaonyesha uzalendo,na jinsi unavyoipenda nchi yako,tupo pamoja

  Namgambwa

  October 2, 2013 at 9:27 PM

 7. Mimi binafsi naunga hoja hiyo mkono wa kuume.

  imani ernest kamasho

  October 3, 2013 at 8:45 PM

 8. NI JAMBO LA MSINGI.

  SALUM SANDE

  October 4, 2013 at 4:29 AM

 9. Zitto, I fully support your move. We need a tolerant State that allows a hundred flowers to bloom in ideas and dialogue. Did Mwananchi and Mtanzania preach revolution? No. Our country can only achieve a social compact by allowing opposing ideas, however vicious to contend. As informed citizens we cannot wait for five yearly elections to make choices about what best works for our country. It is a continuous process and we need the media to help in making this possible. Make it happen.

  Juma V. Mwapachu

  October 4, 2013 at 5:49 PM

 10. Tuko nyuma yako kaka kaza buti.

  Issamkuvasa

  October 5, 2013 at 11:50 AM

 11. Tuko wote kaka

  Issamkuvasa

  October 5, 2013 at 11:57 AM

 12. Thank you for a such courageous move.

  Binamungu Elizeus

  October 13, 2013 at 9:31 PM

 13. Kwel ni kwamba serikali Yetu ni ya wchache,ni wahafidhina wasiotaka mabadiliko na pia wnotaka kupata tonge kubwa wkti hta mwenzake hjui atakula nini.wambie ukweli hao hununa na Kenya lolote wshawauwa wngapi bdo ksemwa ubaya wao unaseemw kwel itabakia inhuman kwa mafisadi na wahafidhina.a

  Yussuffadhil

  November 16, 2013 at 3:26 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: