Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Maoni Katiba: MUUNDO WA MUUNGANO NA TAWALA ZA MIKOA

with 5 comments

25% ya Mrahaba kwa Mikoa

View this document on Scribd

Written by zittokabwe

July 22, 2013 at 8:22 AM

5 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Dear Hon. Kabwe,

  I have read your proposals for the new law. You have touched on very crucial issues that need to be addressed in the new constitution. I highly respect your views. I just have some few observations to make. First, the issue of either having a two or three tier government system. Your proposal of a two tier system is good and very commendable. We dont need to have a three tier system of which the constituent entities claim sovereignty which is confusing. A two tier system as proposed will appease the people of Zanzibar, and will be more cost effective. Secondly, the issue of having provincial administration as well as MPs, senators and governors is beyond our capacity. This brings us to the issue of the mode of government we aspire for. It must be clear, do we need a pure unitary state or a federal type (as proposed) or a hybrid version? Again, in the two tier system you propose that we have Prime Ministers who shall be from the leader of majority in either parliaments. Hon. Zitto this then will be a parliamentary system. We need to decide on what form of government that will best suit the Tanzanian political dynamics. My view is that we as the people of Tanzania haven’t decided on what we want and the CRC which was tasked with that issue has not aided that. I as an individual that is passionate about the constitution and Tanzania welfare in general as well haven’t found what is desirable. But thank you for starting the debate. I hope we unpack the issues and engage.

  Cheers,

  Nico

 2. Mheshimiwa Zitto

  Asante kwa maoni mazuri ambayo yamekuja na mapendekezo makuu mawili:
  1. Muundo wa serikali tatu (ya Tanganyika, ya Zanzibar na ile ya Muungano) pamoja na namna wakuu/ viongozi wake watakavyopatikana
  2. Vyanzo vya mapato ya washirika wa muungano pamoja na serikali ya muungano.

  Ni dhahiri kuwa kama Tume ya kuunda katiba chini ya jaji Warioba ingekuja na mapendekezo ya muundo wa serikali hizi 3, zinapatikanaje na zitaendeshwaje hizi kelele tunazozisikia leo kuwa “serikali tatu zitakuwa ni mzigo zisingepata nafasi”. Umekuja na hoja madhubuti kama mwanasiasa mwerevu na mwenye moyo wa kujenga na kulinda Taifa. Hukuja kama viongozi wa CCM ambao wamekuja na hoja dhaifu kuwa “Serikali tatu ni mzigo kuziendesha”. Hata kama tume ya jaji Warioba ingekuja na mapendekezo tofauti na yako lakini tu ikagusia nini kinachoweza kufanyika CCM wasingelisha umma sumu hii mbaya.

  Kila mtanzania (hata viongozi wa CCM) anajua kuwa muundo wa sasa wa muungano -serikali 2 una migogoro mingi na kila siku zinavyokwenda unahatarisha uhai wa muungano wenyewe. Nimefuatilia maoni toka katika mabaraza ya katiba ya wilaya nyingi- (hasa kwa kuwa vyombo vya habari vinatoa promo kubwa juu ya kipengele cha muundo wa katiba kuliko vipengele vingine) tayari watu wamelishwa maneno kuwa serikali tatu ni mzigo. Nina ujsiri wa kusema “wamelishwa maneno” kwani hakuna sababu tofauti inayozunguzwa kukataa pendekezo ya tume ya Warioba la muungano wa serikali tatu.

  Edna

  Edna J. Lugano

  August 4, 2013 at 7:55 PM

 3. Kwanza, naomba niulize; serikali ya sasa yani muundo wake una shida gani mpaka tutake serikali tatu?

  Kwa nilivyo soma historia ya muundo wenyewe kutoka kitabu cha Mwl. Nyerere ‘ Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania” muundo huu uliwekwa kwa nia njema na kwa kuzingatia vigezo vya msingi; na kama shida ni kero, kwanini tusitafute namna ya kuuboresha muundo huu kwa kuunda serikali moja au kuunda majimbo badala ya mikoa kama Mheshimiwa ulivyopendekeza hapo juu kwa nia ya kupunguza mzigo wa serikali kuu kujiendesha ili ipewe uwezo zaidi wakuimarisha muungano!

  zestreamingnews

  August 8, 2013 at 1:27 AM

 4. Nakukubali zito kabwe,hakika wewe nikiongozi muhim katika taifa letu.

  Jamal yoyota

  August 8, 2013 at 10:42 PM

 5. katiba

  ISACK

  November 12, 2014 at 9:05 AM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: