Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

TANZANIA GO!-Ushindi ni wetu

with 5 comments

Advertisements

Written by zittokabwe

June 11, 2013 at 5:05 PM

Posted in Uncategorized

Tagged with ,

5 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Tuiyombe na kuisapoti siku ya mechi wala tusiwazome na tuutenge usimba na uyanga ktk kushangilia

  Ian

  June 12, 2013 at 10:34 AM

 2. Mh zito, K kwanza nashkuru sana kwa ww kutu Apdate mara kwa mara. Tunaombi letu kubwa kwako pamoja na Chama chetu cha CHADEMA:- +Tunaomba chama kitoe WARAKA/TAMKO kali sana kwa SERIKALI kkuitaka iweke wazi mikataba yote iliyo andaliwa au atakayo takiwa kui Sign Mh BARACK OBAMA. Tuijue kabla hajaja isijekua kama vile juzi hapa amekuja Raisi wa China baada yakuondoka tunaambiwa ali Sign mikataba 17 ambayo tulikua hatuna taarifa nayo. Tunaomba ushirikiano wako Mh/Mb.

  Nawasilisha Mkuu.

  Gasto Lazary

  June 12, 2013 at 12:11 PM

 3. hii inapendeza sana, tutajitahidi kuiunga mkono. stars ooooooouyeh!

  alexkinyamagoha

  June 13, 2013 at 11:02 AM

 4. Ushindi ni wetu Zitto bila shaka. Tukutane taifa kesho tuwashangilie kwa nguvu zooote

  Zakia Salum

  June 15, 2013 at 6:39 PM

 5. TUNAOMBA CHAMA CHETU CHADEMA KITOE MSIMAMO MKALI KUHUSU VITENDO VYA UGAIDI, UTEKAJI NYARA NA MAUAJI YA WATU WASIOKUWA NA HATIA YANAYOENDELEA KUTOA HAPA NCHINI NA KUICHAFULIA JINA NCHI YETU YA TANZANIA MUNGI IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI CHADEMA

  yudatade mbowe

  June 18, 2013 at 2:43 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: