Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

NEW RELEASE: Kigoma All Stars – Nyumbani 1

with 15 comments

Hands up

15 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Kigoma wanatisha.

  Shaban mahwisa

  February 4, 2013 at 1:44 PM

  • Kgm juu!

   Dunstani koloseni

   February 4, 2013 at 3:24 PM

 2. Big sana Lekadutigite

  Mohammedy Jumaa

  February 4, 2013 at 2:04 PM

 3. safi sana,Mh Endelea kusimima unachokiamini

  engmtolera

  February 4, 2013 at 2:19 PM

 4. kama kawa kigoma all stars ndo habari ya mjini ryt now…..

  selja kigoma

  February 4, 2013 at 4:27 PM

  • nimeipenda kigoma tupo juu, sasa nashauri tusaidiane na mengineyo kama ujasiriamali, elimu, kilimo nk.

   hadija

   February 5, 2013 at 8:51 AM

 5. Simamia miguu yako mwenyewe unafikia unakatomani. Tunapata faraja kusikia mengi kukupitia. Kaza Kamba baba

  Alois komu

  February 4, 2013 at 10:42 PM

 6. Ujumbe murua kabisa, kazi nzuri wanakigoma. Kwa wale wanaodhani bila kuimba nyimbo za mapenzi haiwezekani nadhani ujumbe umewafikia.

  Filbert Mselle (@bosslelo)

  February 5, 2013 at 12:59 AM

 7. Mnatisha

  hassan aka mugheiry

  February 5, 2013 at 1:26 AM

 8. Big up
  Kgm Allstars-u real rock guys!!

  mteule

  February 5, 2013 at 1:04 PM

 9. kigoma mnatisha kama ukoma mpo juuuuuuuuuuuuuuuuu

  zuberi

  February 5, 2013 at 1:44 PM

 10. Big up guys…..

  Elihuruma

  February 5, 2013 at 2:41 PM

 11. Good work Zitto Kabwe n Kigoma all stars. well done dearz.

  Glorie

  February 5, 2013 at 4:05 PM

 12. kigoma nimependa na hasa kujenga utaifa na uzalendo wa taifa letu ambao umepotea kabisa endeleeni we need your talents to develop our nationality

  msemembo bernard

  March 5, 2013 at 4:17 AM

 13. watanzania tunaitaji viongozii waadilifu kama mhzittokabwe ilii demoklasia izidi kutengemaa big up sana mh zitto

  omar hassan

  November 2, 2013 at 9:32 AM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: