Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

HOJA BINAFSI : KUHUSU KULITAKA BUNGE KUCHUNGUZA NA KUILEKEZA SERIKALI KUCHUKUA HATUA DHIDI YA RAIA WA WATANZANIA WALIOFICHA FEDHA NA MALI HARAMU NJE YA NCHI

with 10 comments

HOJA BINAFSI YA KABWE ZUBERI ZITTO (MB) KUHUSU KULITAKA BUNGE  KUCHUNGUZA NA KUILEKEZA SERIKALI KUCHUKUA HATUA DHIDI YA RAIA WA WATANZANIA WALIOFICHA FEDHA NA MALI HARAMU NJE YA NCHI

View this document on Scribd

Written by zittokabwe

November 8, 2012 at 11:53 PM

10 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Mhe:Zitto Zuberi Kabwe kwa Moyo wa dhati kabisa Nikupongeze sana kwa Ujasiri uliotukuka Kupeleka Hoja Mahususi kwa maslahi ya Umma wa watanzania.Pamoja na mapendekezo yako Makani naomba wakati wa majumuisho ya hoja kama mtoa hoja Andaa orodha ya majina wanao husika uwataje ndani ya Bunge ili majina yao yasomeke Ndani ya Hansard za bunge kwa kumbukumbu ya vizazi vijavyo.Kutengeneza kamati pekee haitoshi maana ni kamati ngapi au tume ngapi zinaundwa hazileti tija??? Tukumbuke kamati iliyoundwa kwenye sakata la Jairo mapendekezo yao ya bunge yameishia wapi? Kamati ya Ngwilizi imeishia wapi? Tume ya Proff.Paramagamba Kabudi juu ya bodi ya mikopo imeishia wapi?? Hivyo Kwa heshima na taadhima Naomba uwalipue tu ni Imani yangu majina unayo Mungu atakulinda kabisa hakuna wa kukufanya chochote.CDM tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu.Kila la kheri kwa bunge la leo usihofu wala Kuteteleka Mungu aliyekupa ujasiri wa kufikisha hoja hiyo ndiye atakaye kulinda dhidi ya wabaya wowote watakaojichanganya.Hizi pesa haramu ndo zinapora demokrasia,zinapora haki ya kupiga kura zinapora haki ya raia mahakamani.Wabunge wote wapenda maendeleo leo tutawaona watakavyounga mkono hoja yako wale watakaodhoofisha hoja yako Jamii ya watanzania itawatenga.By Abel Dendwa from Kasulu Kigoma.Mjumbe BAVICHA-TAIFA.

  Abel Dendwa

  November 9, 2012 at 7:18 AM

 2. Bold move..! Good luck!

  Joseph Matimbwi

  November 9, 2012 at 7:18 AM

 3. Hii hoja ni nzuri sana kwa maslahi ya Taifa bila kujali itikadi za chama,dini ama kabila,ni muhimu wabunge wote wakaunga mkono hoja hii ili kamati iundwe kwa ajili ya kufanya uchunguzi.Nakupongeza Mheshimiwa Zitto.

  Erick Machua

  November 9, 2012 at 8:59 AM

 4. hongera zito mswada wako naukubali.endelea kupambana .na hao mafisadi tupo nyuma yako .big up

  msami shabani

  November 9, 2012 at 9:47 AM

 5. Haya ni makadirio ya Zito :

  10,000,000.00 (Kiasi) x (Forex) 1,600.00 =
  (Jumla Ya Mtu Mmoja) 16,000,000,000.00

  16,000,000,000.00 x (Wanaokadiriwa) 240.00 = 3,840,000,000,000.00

  Hivi ni vijihela vinayokadiriwa kuwa nje = 3,840,000,000,000.00

  Its an estimate of giving every Tanzanian a little some of Tsh 100,000 in one day.

  Prince SAB

  November 9, 2012 at 12:34 PM

 6. HONGERA ZITTO KUENDELEA KULITIKISA BUNGE.TUNAKUPENDA SANA KWANI UNAONYESHA UZALENDO WAKO.WALA USITHUBUTU KUTAJA JINA LOLOTE,NA SERIKALI IFANYE KAZI,IONE UZITO ULIOKUMBANA NAO.LAZIMA UENDELEE KUIWAJIBISHA SERIKALI.KWANINI WANAOUNGA MKONA A.G NI MAWAZIRI TU?TUMEISHAONA KUWA WANATAKA KUJIHAMI.HAITAWASAIDIA,MAJI SASA SHINGONI.BIG UP THE PRESIDENT OF 2015!

  KISHA SAMWEL

  November 9, 2012 at 1:47 PM

 7. Wabunge wa CCM wanasumbuliwa na damu ya chama,wote wanaopinga ni sehemu ya watuhumiwa wa fedha hizo,Werema anatakiwa kujiuzulu kwa sababu anashiriki kulinda mafisadi wanaotafuna nchi,inasikitisha kuona mwanasheria wa serikali akijihusha na ushabiki wa kulinda maslahi ya CCM,watambue kuwa kauli ya mbunge yeyote ndio matokeo ya maisha ya mtanzania wa kesho,hukumu yao ni 2015 tu,tumechoshwa na upumbavu unaoendelea kufanywa naviongozi wasiokuwa na uchungu wa maisha ya mtanzania anayeshindia chakula cha kushtia minyoo.wakumbushe chanzo cha makundi ya uasi barani Afrika(mwandishi aliye tayari kufa kwa ajili ya kutetea maslahi ya mtanzania).Mungu akubariki.

  Matandiko

  November 9, 2012 at 6:40 PM

 8. Pigana ndugu yetu tupo nyuma yako kwa lolote tumechoka; uwe na moyo imara ukijua unawakirisha watanzania wote. Tunakupenda sanaaaa

  Dawson Bashaya

  November 10, 2012 at 3:09 AM

 9. kwanini wasiwafungie hzo account zao.

  emirux madaha

  November 10, 2012 at 5:28 PM

 10. Umetsha 2015 kaz ipo lazma wagalele hao ccm.

  Junior John frm mwnza

  November 11, 2012 at 10:41 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: