New Release: THE OFFICIAL VIDEO-for LEKA DUTIGITE -KIGOMA ALL STARS
New Release: THE OFFICIAL VIDEO-for LEKA DUTIGITE -KIGOMA ALL STARS
Zitto na Demokrasia
New Release: THE OFFICIAL VIDEO-for LEKA DUTIGITE -KIGOMA ALL STARS
Written by zittokabwe
July 31, 2012 at 8:11 PM
Subscribe to comments with RSS.
Zitto is MP for KIGOMA URBAN and PARTY LEADER of ACT WAZALENDO Party (@ACTWazalendo)
Twitter: @zittokabwe
Instagram: zittokabwe
No Instagram images were found.
Jamani Zitto hongereni sana jamani kumbe kigoma yetu ndo nzuri hivyo umenitoa ushamba nilikuwa kila nikija nafikia Tanganyika hotel niliamini hakuna sehem nyingine ya matembezi basi tuambie hata hizo picha zilipochukuliwa jamani kigoma tamuuu usife moyo kaka yangu na majaribu songa mbeleeee
Ntiruteguza
July 31, 2012 at 9:50 PM
Big up Jembe u ve dne smthng +ve 2 ppo. utakumbukwa daima. Miaaa
KIEZERA ALFRED
August 1, 2012 at 1:22 AM
Big up,washiriki w0te wa hii vide0
Isinda
August 1, 2012 at 1:32 AM
LEKA DUTIGITE WISHAVU AMENEKE (ACHENI TUCHEZE/TULINGE MWENYE WIVU APASUKE). Hii ndo kigoma yetu, wenye negativity altutudes waache wapasuke na mawazo mabaya. Hii ndo kigoma yetu.
Silas
August 1, 2012 at 8:49 AM
Sijaona michikichi guys
liz
August 1, 2012 at 9:19 AM
what a nice shooting big up
safina
August 1, 2012 at 9:51 AM
Kumbe na Wema sepetu Kazaliwa kigoma?
Jasmini
August 1, 2012 at 3:48 PM
sio wa kigoma ni wa singida kashiriki tunimesoma leo kwenye jarada la fema.
joshua(jay clever) THE DON(joshua julian)
September 17, 2012 at 7:47 PM
si video tu, naupenda sana pia wimbo huu…hongereni
mpagaze
August 1, 2012 at 5:21 PM
Walimt walipwe kiasi chao wancho dai ili kupunguza musongamano wa watoto mitaani
Juma
August 2, 2012 at 8:49 PM
Mmetisha kigoma line, acha mjidahi
Tony Sambuka
August 2, 2012 at 9:36 PM
Mmetisha Kigoma Line, acha mjidai
Tony Sambuka
August 2, 2012 at 9:37 PM
cna commet kwakwel ,bt big up sana
tina
August 3, 2012 at 1:52 PM
SAFI SANA KIONGOZI UNAEJIELEWA
NASORO
August 3, 2012 at 6:10 PM
Kigoma ni ya ukweli sana basi tu jamaa walitenga kwa muda mrefu saa hizi tungekuwa kama mtoni
Kalekwa
August 4, 2012 at 7:08 PM
kigoma is naturally high zitto rise it to the top.
adam lutta
August 6, 2012 at 4:32 PM
Kweli kwa mtu ambaye unaitakia tanzania mema kitendo ulichofanya mh zitto ni cha kishujaa,kiungwana,na kinajenga msikamano kwa wanainchi pia kinaleta ustaw mzuri wa taifa letu binafsi mm nimefalijika vita ya ukombozi unayoifanya mm kama kijana mwenzako na mtanzania mzalendo anayelenga kuinua maisha ya watanzania hakika ni mwanzo mzuri wa mapinduzi ya kifkira ya watanzania.nachekea kusema hii kazi uliyoifanya ungalipita na mikoa mingine pamoja na gharama unazotumia lakin inajenga picha nzuri kwa watanzania pia inakujengea iman kubwa kwa watanzania.nimeandika haya kwa kuguswa na unavyotetea watu wa kigoma mh zitto usivunjike moyo maana kila jambo unalolifanya watu hawawezi kukukubali wote.ni hayo kaka.
Lucas paschal
August 6, 2012 at 5:47 PM
kigoma is the best city of Tz
simon mwassa
August 10, 2012 at 5:47 AM
Nimependa sana huo wimbo coz mm mwenyewe wa kigoma xo nimependa sana.
Peter kulwa gobanya
August 11, 2012 at 11:36 PM
dooooooooooooooooooo, kaka zito uko juu lakini waeleze vija kuwa mkataa kwao ni mtumwa
malilo shabani
August 13, 2012 at 5:59 PM
Kwel mkataa kwao mtumwa,chege umetisha baba. No one like Zitto,never luz hope@All Kgm starz
Selemani Dodomwa
August 16, 2012 at 1:51 PM
Nmependa kla k2 klchomo ndan ya video hii jaman kgoma nzur..
Isaac hamis
September 9, 2012 at 4:25 PM
Yaani ile kuwa tu naidea ya kufanya kitu kama hiki ni ushjaa tosha, haihitaji kujua kuwa mtu anatambuliwa kwa matendo zaidi kuliko maneno. Hongereni sana wana Kigoma, Now i have more positive attitudes towards Kigoma.
Sultan
September 16, 2012 at 11:12 AM
wana wa kigoma mmetisha aisee.inabid stars wengine waige kutoka kwenu.alafu kuna mtu aliuliza about wema,huyo sio wa kigoma ni wa singida ameshiriki tu kutoa support kwwnye wimbo wa kigoma.
joshua(jay clever) THE DON
September 17, 2012 at 7:42 PM
Naitwa ivan wa.bugaga kasulu kigoma.maoni yangu nashukulu sana mh zitto kwa kuwaunganisha wasanii pamoja kwa kgm all star.kiukwel imeturetea heshima kwe2 maana unajua mkoa we2 ulikuwa unazalaulika lakn kwa sasa umepata heshima.endelelea kuupigania mkoa we2 tukishilikiana 2taweza.kwa sasa niko mwanza.
Ivan f kamangu
October 10, 2012 at 3:31 PM
Kigoma ni bonge moja colabo ambaye haikubali huyo cyo. Aksante sana zitto kwa kuwashauri wasanii ku collaborate na kuto booooooooooooooooooooooonge la kolabo.
adam lutta
October 17, 2012 at 3:03 PM
4 sure brother ZITTO,Kgm bila wewe haiwezekani.We loved,we still lv and we will continue 2 lv ù.Taifa bado linakuhitaji.Be blessed.
hussein raymond
March 9, 2013 at 10:05 PM
Kigoma region of talents
Enock Ndaba
March 29, 2013 at 10:21 AM
me lav tha song mad love guy ur tha bomb…like ommy dimpos linesssssssssssss……Bigup [pips]
sharon heri (@SharonHeri)
April 1, 2013 at 10:55 AM