Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Video Clip: Alichokisema Mhe. Joshua Nassari-Kigoma

with 12 comments

Walichosema wabunge katika Tamasha la Kigoma All Stars-Leka Dutigite, Lake Tanganyika Stadium, Kigoma

Video ya kwanza : Mhe. Joshua Nassari -Mbunge wa Arumeru Mashariki


Written by zittokabwe

July 26, 2012 at 2:46 PM

12 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. kwanza hongera, c kwa kuwainua wasanii tu, ila kuwapelekea burudani vijana wa kigoma maana wamesahaulika, mwaka jana nimefanya field pale Ujiji sekondari, jamaa wanakwambia hakuna burudani iliyowahi kufanyika kule, hope hii ndo imefungua milango.

  pili hawa jamaa wanataka kupotosha ukweli wa mambo, sidhani kama ndo iwe sababu ya kupinga harakati za kuikomboa nchi hii, maana kukomboa wasanii ndo safari ya kuikomboa nchi hii inayozeeka ikiwa maskini huku ikiwa ina utajiri wa rasilimali za asili.

  Endelea kaka hata kama u RAIS tukikupa kwani kuna tatizo?

  KIEZERA ALFRED

  July 26, 2012 at 5:01 PM

 2. wakuache miaka mia moja zitto wetu! tunakupenda,tunakuamini,tunakutegemea.hakuna lolote la ajabu alilosema Joshua.kama kusoma hawajui kuangalia picha hawajui?keep it up

  ngaki

  July 26, 2012 at 5:33 PM

 3. Zitto masifa

  Hans

  July 26, 2012 at 6:37 PM

  • Tunakuombea kw Bwana ili akulinde-ila hili la uraisi,naona subiri kwanza.

   nteghenjwa

   July 26, 2012 at 9:03 PM

 4. Reblogged this on Perspective.

  EJL

  July 26, 2012 at 8:34 PM

 5. Jamani wao siwafanya biashara wasipoandika habari za uongo nani atanunua gazeti na sisi wa Tz tumezoea kudang’anywa, jamani waliohusika na mwaliko mbona sijamuona yule wa ubungo sijui manyika ?

  Ntiruteguza

  July 26, 2012 at 9:18 PM

 6. Mmmmh, Ina maana gazeti la Mwananchi waliamua kujipendekeza kwako Bwana Zitto ndo maana wakaweka chumvi maneno ya Nassari na Mdee au?
  Maana sijasikia Sehem Nassari aliposema kwamba Zitto atakuwa Rais zaidi ya kusema kwamba Kigoma kuna vipaji hivyo hatashangaa Raisi akatokea kigoma, What if anamaanisha Bwana David Kafulila?

  Mtanga

  July 27, 2012 at 11:34 PM

 7. brother kama ni kweli kampeni (wanavyosema watu) umeanza mapema mno matokeo yake ni watu kutafuta mabaya yako na kukuchafua nayo, hukujifunza kwa EL beware1

  ROBERT R SHIWA

  July 28, 2012 at 11:25 PM

 8. Mimi sikushangaa, kusikia kauli, kutoka kwa hao waheshimiwa “kukanusha walichosema” huo ni mtindo wa wanasiasa waoga, tatizo walisahau kuwa teknolojia ya sasa iko juu sana na uongo hujipambanua mara moja. Nachotaka kusema, wapende wasipende ipo siku MISUMARI YA MOTO ITAGEUKA KUWA MBOGA. Kuna msemo kule kwetu Kigoma usemao, “Tinya nkatinya bhandi” yaani tafsiri yake “Ugopa kama wanavyoogopa wengine” sasa hao jamaa wamejikuta nao wanaogopa, lakini sisi tunasema Tuna matarajio makubwa kutoka kwa mh. Zitto Z. Kabwe, kijana toka mwandiga, ni tegemeo la wengi hapa Kigoma.

 9. Heko!

  Zitto,an aside: kuhusu swala la Tanesco, ni muhimu nyie wabunge mupanua swali la kufanya biashara na shirika au wizara mnazosimamia (conflict of interest) kwa kuchunguza je kwenye mashirika mengine je hilo lipo.

  Kama tabia hiyo ipo produrement Tanesco basi ni dhahiri ipo kwingine na umma itanufaika kwa wabunge kuwa wazi.

  Asante kaka,

  Majaliwa

  Majaliwa

  July 29, 2012 at 11:52 PM

 10. Nionavyo mimi,katika matamshi haya ya Mh J.Nassar sioni udhibitisho wa moja kwa moja kwamba anamaanisha ni Mh Zitto Kabwe, yawezekana akawa ni Mh Kafulila, ama mtu mwingingine yeyote “isshue hapa -Kigoma vipaji ni ving”, na hata kama ikiwa atapewa hiyo nafasi Mh Kabwe, sioni tatizo, kwani lipi la kushangaza? kama atapigiwa kura na awatz wote? basi itakuwa ndo changuo lao. Tujenge hoja yenye nguvu sio kulazimisha hoja ya nguvu.

  Josy Lakshy

  July 30, 2012 at 11:35 AM

 11. Wananchi wa Tanzania wanaitaji kiongozi mwenye uwezo wa kudhubutu na mzalendo kwa sababu uzalendo haujengwi kwenye chama chochote cha siasa.Tusikubali akili ndogo itawale akili kubwa.Zitto anautaka urais but hajasema kama 2015 au 2020 au 2025.kwa hiyo woga wa nini?Tupo pamoja mh Zitto but Jenga chama kwanza then fikiria urais

  SIGALIYE,Michael

  August 24, 2012 at 9:14 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: