Zitto na Demokrasia
Nilipata fursa ya kumtembelea Rais Mstaafu wa Afrika Kusini ndugu Thabo Mbeki nyumbani kwake Midrand, Afrika Kusini-Tulizungumza masuala mbalimbali kuhusu Bara la Afrika, masuala ya Uongozi katika AU, mgogoro wa Sudan na Libya na nafsi yake katika siasa za Ulimwengu
Written by zittokabwe
July 3, 2012 at 4:35 PM
Posted in Uncategorized
Tagged with President Thabo Mbeki, South Africa, Zitto Kabwe
Subscribe to comments with RSS.
Zitto is MP for KIGOMA URBAN and PARTY LEADER of ACT WAZALENDO Party (@ACTWazalendo)
Twitter: @zittokabwe
Instagram: zittokabwe
No Instagram images were found.
ni safi,tunashukuru kwa kutujuza
Ally Mambo
July 3, 2012 at 4:55 PM
Kufanya hivyo ni vizur kwan inakufanya kukomaa kisiasa,keep it!
Mollel Raphael
July 3, 2012 at 8:16 PM
Good stuff!
Victor
July 3, 2012 at 9:26 PM
I like Mbeki, he is business minded and leaded South Africa through a difficult time. I recommend him to be in a panel advising our leaders as we need not only the panel to constitute the old presidents but also leaders with implimentable solutions like the Great Thabo Mbeki
Ernest Chiwenda
July 4, 2012 at 8:57 AM
Ni kweli Mbeki alikuwa na nafasi kubwa katika kubadilisha siasa za Africa na hata International perception on Africa toward having accountable leaders for full time pindi alipokuwa Raisi wa Taifa hilo kubwa Africa.WE STILL RECOGNIZE THE CAPE TOWN GOVERNMENT with her politics on Africa. MBEKI STILL HAVE CHANCE TO ADVOCATE THE AFRICA’S UNITY what centers for Africa’s Development
nubi-justin
July 4, 2012 at 6:42 PM
Good ,ukipata nafasi ungea na MZEE MANDELA pia anaweza kukupa mawazo ya tofauti.
AZIZ
July 5, 2012 at 11:16 AM
Thabo Mbeki ni hazina ya Afrika katika masuala ya uongozi. Anaonekana kuwa makini katika utendaji wake na hapendi sifa za haraka haraka. Kwa kweli ni kiongozi wa kuigwa na ni mfano bora kwa viongozi wengine Afrika.
Ambrose Nshala
July 19, 2012 at 8:14 AM