Zitto na Demokrasia
Written by zittokabwe
June 20, 2012 at 4:14 PM
Posted in TRA PAYE, Zitto Kabwe
Tagged with bajeti kivuli, mapendekezo ya upinzani, PAYE, TRA
Subscribe to comments with RSS.
Zitto is MP for KIGOMA URBAN and PARTY LEADER of ACT WAZALENDO Party (@ACTWazalendo)
Twitter: @zittokabwe
Instagram: zittokabwe
No Instagram images were found.
its true for current Tanzanian life big up
James Masanyiwa
June 20, 2012 at 4:35 PM
Ukweli daima utasalia ukweli
saidimsongaidi Msonga
June 20, 2012 at 4:57 PM
Ukwel daima waelimishe hawajui wana ccm kaz kufuata mkumbo
Peter Alfred
June 20, 2012 at 5:39 PM
Tanzanians need to understand that without paying taxes then it is difficult for government to offer any public goods, such as roads, water and sewerage systems, security, security education and health. I support the opposition taxes proposals. The current tax rates are unbalanced and low earner pay proportionally more tax. The tax returns forms proposal will ensure compliance. The challenge we have now is to get more people to declare their income and become eligible to pay tax. Another challenge to to ensure full compliance in paying taxes by constantly monitoring and closing loopholes. Finally taking concrete and continuous measures to ensure that whatever is collected to not embezzled will encourage more people to comply because then there will be something to show for the taxes they have contributed. Thank you Zitto for a critical analysis of the government budget proposals and the bold proposals from the opposition camp.
Stephen
June 20, 2012 at 7:35 PM
HII NDIYO BAJETI TUNAYOHITAJI WA TANZANIA YENYE USAWA,HAWA CCM NDUGU ZITTO HAWATAKI MAAENDELEO VIJIJINI KAMA VILE UMEME MAANA WANAJUA KUWA WATU WAVIJIJINI WATAANZA KUPATA TAARIFA ZA UOZO WAO KUPITIA TV PINDI WAPATAPO UMEME,NAUKIZINGATIA WAMEZOEA KUSEMA WAMEPATA KURA NYINGI VIJIJI NI KWASABABU WATU HAWA HAWAPATI TAARIFA ZA UOZO WAO.KAZENI BUTI MAKAMANDA WETU
DICKSON MINDE
June 21, 2012 at 9:11 AM
Mh. ni bora kutafuta vyanzo vingine vya mapato kuliko kuongeza rate ktk mishahara, Rate zimekuwa juu sana na bado SDL hapo labda kama itaondolewa SDL ni sawa otherwise haitakuwa sawa hapo.
Kaimu Ahmada
June 21, 2012 at 10:58 AM
Hatuwezi tukawa na bajeti ya asilimia sabinin (70%) wanasema eti ni shughuli za kila siku yaani maanayake ni kula kupitia vikao,semina,kununua mashangingi,warsha,makongamano na kulipana posho kama mishahara.Hi yote inatokana na hali ya kisiasa ilivyo nchini kwa sasa hawa CCM wataiba sana hata vile visivyo ibika kwa sababu wameshasoma alama za nyakati muda haupo upande wao tena,so before handle over power to CHADEMA wataiacha nchi katika coma stage!
Evance Komu
June 21, 2012 at 11:12 AM
Nchi yetu itaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu mpaka lini?? Hivi kweli vyanzo vingine vya kodi hakuna mpaka leo tunakimbilia boda boda na bajaji. Mimi ninachoona tusipobadilisha mfumo wa uongozi mzima wa nchi basi hakuna maendeleo tutakayo yaona labda kuyasikia tu. Kwa sababu inaonekana wataalam wanapotoa ushauri MAFISADI hayataki ila yanataka maslai yao tu. Lakini 2015 itafahamika tu.
BARAKA MWANSASU
June 21, 2012 at 6:07 PM
Naomba unisaidie nini maana ya kuunga mkono budget na kutounga mkono?
Nauliza hivo nikiwa na maana hii wabunge wa ccm wanasema naunga mkono 100 asilimia kisha wanaiponda budget sasa mie huwa si waelewi
kwani kwani kwenye auditing huwa kuna unqulified report=hati safi na qualified report=hati chafu je ni kama hivo
naomba majibu
Ally lilangela hamis
June 22, 2012 at 12:36 AM
Mh. Zitto naomba kujua kwanza, je jeduali la mwisho ni mapendekezo ya serikali kwa bajeti hii ya 2012/13 au ni mchanganua/mfano wa mapendekezo ya bajeti kivuli uliyowakilisha?
George S.
June 26, 2012 at 1:52 PM
Mh Jedwali la kwanza na la pili yafanana, please check
Ald
June 27, 2012 at 4:57 PM
Its a good budget for peoples government power other than budget for leaders government. congr Mr Zitto
david
June 29, 2012 at 4:06 PM