Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

BAJETI MBADALA 2012-2013

with 18 comments

HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI NDUGU KABWE ZUBERI ZITTO (MB), WIZARA YA FEDHA NA UCHUMI, KUHUSU MAPENDEKEZO YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2012/2013

View this document on Scribd

18 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Bajeti hii inambana zaidi mwananch wa kawaida

  Amon peter

  June 18, 2012 at 1:56 PM

 2. selikari bado inatukandamiza watanzania wa hari ya chini

  assa prince

  June 18, 2012 at 2:10 PM

 3. bado haijitoshelezi mh zitto kabwe,nilichoona hapo ni bla bla nyingi tu,unakosoa bajeti ila,mipango mbadala uliyonayo ni porojo tu,ni kiongozi mzuri,unahitaji muda+uzoefu,not yet

  sagana

  June 18, 2012 at 2:17 PM

  • mchangiaji sagana, inaonekana hata shuleni ilikuwa shida kumwelewa mwalimu. bajeti ya kambi ya upinzani ipo makini na yenye tija, kwa maendeleo ya walio wengi…asante sana mheshimiwa Zito

   dima

   June 19, 2012 at 7:07 AM

  • That’s politics, nilifikiri kuwa na bajeti mbadala maanayake ni kuja mbinu za namana ya kuboresha na kutekeleza wananchokisema na si wakati wa kufanya kampeni na kubezana. Yaleyale. Thumb up Sagana!

   Sikaji Jikasi

   June 19, 2012 at 9:55 AM

   • That’s politics, nilifikiri kuwa na bajeti mbadala maana yake ni kuja na mbinu za namna ya kuboresha na kutekeleza wanachokisema na si wakati wa kufanya kampeni na kubezana. Yaleyale. Thumb up Sagana!

    Sikaji Jikasi

    June 19, 2012 at 9:58 AM

   • tunaongea ukweli lakini si vinginevyo,yakionekana makosa bajeti ya serikali,kuwe na mbadala wa ambao hata serikali ina uwezo wa ku-opt,vinginevyo??tuache porojo na kufanya kazi.

    sagana

    June 19, 2012 at 11:51 AM

 4. Mh.Zitto bajeti mbadala uliyowasilisha ni nzuri kwani inagusa kwa kiasi kikubwa maslahi wanainchi wa taifa letu

  BUKULU JULIUS

  June 18, 2012 at 2:51 PM

 5. everything has been flipped on its there head and they not going to get any better

  kim abubakar

  June 18, 2012 at 3:32 PM

 6. Bajeti mbadala imekaa vizuri I wish serikari ingeweza kuyajumisha mapendekezo muhimu hasa katika kukuza mapato ya ndani na bajeti ya maendeleo

  Nashon Andrew

  June 18, 2012 at 3:38 PM

 7. Mheshimiwa Zitto yuko sawa kzabisa nampa bg up

  Gasto mushi

  June 18, 2012 at 10:54 PM

 8. nipenda sana BAJETI yenu maana inatija ya kumkomboa mwananchi kuliko BAJETI ya watawala wetu maana bajeti hiyo ninatukandamiza sana wananchi tunaomba ukaze buti maana tunajua ukombozi unakuja.mungu aendelee kukulinda pamoja na wanachadema wote

  marco meshack

  June 19, 2012 at 10:01 AM

 9. Sikaji Jikasi

  June 19, 2012 at 10:02 AM

  • Kiufupi kataa au ukubali Serikali imeshindwa kubuni mpango thabiti na nia ya kumukomboa Mtanzania,hii BAJETI YA KAMBI YA UPINZANI ina mashiko na mwelekeo makini ktk kupunguza matatizo ya Mtanzania,tuwe wakweli na tuache ushabiki usio na tija kwa TAIFA LETU. Nacho weza kusema KIONGOZI WA KWELI NI YULE ANAENGALIA kwa makini matatizo ya wanachi na kuyatafutia ufumbuzi wa kudumu na si blaablaaa kama Tulivyosomewa na Waziri wa FEDHA, Watanzania tunahitaji 70% MAENDELEO. BIG UP OPOSITION.

   HAJI HARUN LUGE

   June 19, 2012 at 4:16 PM

 10. Ni bajeti ambayo kiukweli imelenga kumsaidia na kumkomboa mtanzania wa chini kwani ukitaka kuendelea hata kibiashara ni lazima uwekeze kiasi kikubwa kuliko unavyotumia.Heko mh.Zitto hata kama serikali haitaki kuikubali lakini ujumbe umefika.

  Toshack kibala

  June 19, 2012 at 10:59 AM

 11. Bajeti hailengi maisha halisi ya mtanzania.

  Sarah Mayanja

  June 19, 2012 at 8:22 PM

 12. bajeti safi kaka Zito, ila jaribuni sana kuanagalia asimilia zenu maana inakoaelekea inaweza ikaleta madhara kwa kwa watu wenye kipata cha juu kuadhibiwa na hapo ndipo watu watakapo tumia njia haramu za ukwepaji kodi.

  Mbeya

  June 21, 2012 at 1:31 PM

 13. bajeti ya upinzani ni nzuri coz imelenga kukuza mapato ya ndani

  GOODLUCKY SHAO

  July 17, 2012 at 7:28 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: