Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YAH: VIPAUMBELE VYA KAMBI YA UPINZANI KWA MWAKA WA FEDHA 2012/2013

with 25 comments

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
06.06.2012

YAH: VIPAUMBELE VYA KAMBI YA UPINZANI KWA MWAKA WA FEDHA 2012/2013

View this document on Scribd

25 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Kwa mtazamo wangu kama kijana wakitanzani….sehemu muhimu za kipaumbele Bajeti ya mwaka 2012/2013 hasa zote zinazo toa uduma kwa jamii..No 1.wizara ya Kilimo na chakula..kilimo ndio tengemeo la inchi yetu na asimia kubwa ya watanzania wakulima,ili kilimo kiwe natija lazi Selikari iweke mkazo..No 2..Elimu..lazima watanzania wapate elimu kwa usawa bila ya kubanguwa na kuweka matabaka ya aina yeyote..3,Afya…..4,miundombinu….5,usafirishaji na uchukuzi..6,Michezo na sanaaa..7,

  Jafari Mindu

  June 6, 2012 at 12:38 PM

 2. …excellent..nimeipenda!

  Kim

  June 6, 2012 at 12:52 PM

  • nimefurai na vipaumbele ya bajet,lakini umesahau jambo mmoja muhimu nalo ni Ajira kwa vijana.Hili lisipozingatiwa linaweza kuwa janga la Taifa siku za karibu,vijana tumesahaulika.

   Yiaro

   June 6, 2012 at 1:11 PM

 3. Iko vizuri kiongozi wetu! Tunakuamini!

  Geofrey Ndimbo

  June 6, 2012 at 1:18 PM

 4. excellent Mheshimiwa.

  Nathan

  June 6, 2012 at 1:25 PM

 5. Ni sawa lakini kumbuka bajeti ya mwaka jana pesa hazijafika maeneo husika hivyo kubaki na deni la bajeti.

  Daudi

  June 6, 2012 at 1:39 PM

 6. Kichwa cha habari kina neno “Kamba” badala ya “kambi”

  Ndanshau

  June 6, 2012 at 1:44 PM

 7. Siku zote najua ZITTO najuaa nini tunakosaa na kwa sababu ganiii nahisi anakosaa UDHATI tuuu na kuogopa vivuli fulaniii is just the matter of timee akisimama akaaamuaaa aataonaa kuwa TANZANIA ni ya vijanaa na si wazee milioni 3 ANAOWAOGOPAA ATASIAIDIA KUWALINDA NA KUWEKA MAZINGIRA BORA YA VIJANAA kuliko kuwaaa kwenye mark time ya sera na kauli mbuiu kama alivyo sasa MUNGU akupe ujasiri

  E.MWAKYUSA

  June 6, 2012 at 1:59 PM

 8. Serikali imemsahau mwananchi wakipato chachini, ihali wakijua wazi kua maendeleo yake yanategemea vyanzo muhimu ili aweze kujikimu na maisha yake yakila siku… wao hawajali wala hawajaribu kufikiria watamsaidia vipi wanasubiri mpaka waguswe ndo washtuke, huo si UZALENDO kwani mzalendo hakumbushwi majukumu yake.. kuboresha miundo mbinu, mfumo wa elimu ya juu, vyanzo vya mapato ya taifa na sokola ajira kwa vijana. Nani anae taka kusema haya nimambo ya kuikumbusha SERIKALI ili iyaboreshe na kama mpaka wakumbushwe wao kaziyao ni nini hasa? sizani kama kulikua na ulazima kambi ya upinzani bungeni kuwakumbusha kua ndani ya Tanzania kuna vijana… this is really embarrassing.

  Emanuel

  June 6, 2012 at 2:06 PM

 9. haki sawa kwa masikini na matajiri izingatiwe na bajeti zifike kwa walengwa kwa wakati.ufwatiliaji wa matumizi yake uzingatiwe.zaidi ya hapo ipo pouwa.

  James John

  June 6, 2012 at 3:25 PM

 10. mfumuko wa bei na ajira kwa vijana uyape msisitizo zaidi kaka. 2ko pamoja mpaka kieleweke.

  mabula michael

  June 6, 2012 at 5:32 PM

 11. Yes i like it but more stress should be focused to address issues of tax incentives and tax exemptions ,pareto principle as well as descriton of unnecesary govt spending becase this will enhance much of domestic resources mobilization .Again am more pleasure for u’r qn to hold govt anwerable 4 the past budget pendings.”The govent budgets must be made a realistic material questions rather than mere pending promises” NICE PRIORITIES Just materialize them!

  dominic nyalandu

  June 6, 2012 at 7:03 PM

 12. nimeipenda bt suala la elimu wekeni kipaumbele ktk maslahi ya walimu na kuboresha miundombinu ya shule hasa za vijijini angalau zifanane or hata zikaribie za mjini, pia zipewe walimu kama skul za mjini

  edwin bigambo

  June 6, 2012 at 7:57 PM

 13. JAMANI HATA KULE UINGEREZA,USA,NA AFRICA PIA MFANO ZIMBABWE VIONGOZI WA JUU NI WAZEE 90% THEREFORE,VIJANA TUANZISHE ENTERPRISES ZETU BILA KUJALI ITIKADI ZA SIASA ZA MLENGO WA KUSHOTO.

  MKOLO ALBERT

  June 6, 2012 at 9:09 PM

 14. Kiwe ni swala la tozo lina igarimu sana serikali yetu lizingatiwe

  Rogasiani

  June 6, 2012 at 10:09 PM

 15. pamoja na mambo mengi ya msingi bado serikali ndio inakila kitu vi vyema ukapatikana utaratibu mzuri wakuyawasilisha haya kabla ya serikali kupeleka bajeti bungeni

  Mlawa Zahir

  June 6, 2012 at 11:16 PM

 16. Nice work, it gives confidence people are doing well their assignment but i think we need to find answers to a lot of questions sasa kama hayo madini yanachangia almost 40% katika mauzo nje lakini only about 2% ndiyo inaingia ktk pato la taifa huu ni msiba mkubwa. Ningefarijika sana kama bajeti ijayo itajikita kuanzisha Agricultural Special Economic Zone [ASEZ] badala kuiacha sector hii kama mtoto yatima, endapo tutafanikiwa katika hilo maana yake tutakuwa tumepanua wigo wa ajira lakini vilevile kupunguza mfumuko wa bei kwasababu miongoni mwa mambo yanayochangia mfumuko huu ni uzalishaji hafifu katika sector ya kilimo na hli halihitaji mtabiri maarufu kilithibitisha mfano productivity na plantation rate ya chikiki, uvuvi wa mgebuka mkoani kigoma unashuka siku hadi siku na kibaya zaidi mkoa unazidi kufunguka kiasi kwamba demands inaongezeka lakini uzalishaji unapungua siku hadi siku sasa hili tulichukulie kama ringing bell.

  safari

  June 6, 2012 at 11:43 PM

 17. 1.Ukarabati wa reli ya kati ni ukombozi mkubwa kwa wananchi wa mikoa ya Kigoma,Tabora,Singida,Dodoma,Morogoro na Dsm,hivyo kwasisi walalahoi,kipaumbele hiki kipiganiwe kwa nguvu zote kadiri iwezekanavyo kwani umuhimu wake tunaujua, haupo kwenye makabrasha bali upo ktk
  uhalisia wa maisha yetu.

  Pius.M

  June 7, 2012 at 12:43 AM

 18. Imekaa vyema kaka kaza buti tanzania ya leo ni ya vjana siyo wazee’ tunakuamini kaka mungu akupe afya tele.

  jackson kanene

  June 7, 2012 at 10:04 AM

 19. Misamaha ya kodi,matumizi makubwa ya serikali na ukosefu wa serious commitment kwa watawala na serikali yao ktk kuliletea taifa letu UHURU wa kweli ni changamoto kubwa sana inayotukabili.Hii misamaha haiko bule ikichunguzwa ina elements za strategic corruption ambayo hiki chama tawala kinafaidika nazo.chunguzeni hao ndo wafadhili bw.

  david rugemarila

  June 7, 2012 at 4:16 PM

 20. Naunga mkono suala la kupunguza PAYE…au tax brackets za PAYE zibadilishwe kwani mfumuko wa bei umeshatuathiri sana . Mathalani bracket ya juu ya 720000 iliwekwa enzi za mzee ruksa wakati dola ilikuwa chini ya sh 400….serikali imeng’ang’ania hapo tu bil kutoa kwa unafuu. Mfanyakazi anayepata mshahara wa shilingi milioni 7 kwa mwezi atozwa PAYE sawa sawa na mishahara ya miezi 3.5. wakati bracket zingine wanaifanyia serikali kwa muda wa miezi 1.0 hadi 1.9. Napependekeza highest bracket ianzie sh1.5 kwani high earners wanawasaidia ndugu zao wengi mno.

  Sekta ya madini rental fee zipande mpaka USD 100 kwa sqm 1 kwa mwaka kwa leseni iliyotimiza miaka 7, halafu kila baada ya miaka 2 inapanda kwa dola 50…hii itapunguza speculators na kuongeza mapato kwa serikali.

  safi wa safi

  June 7, 2012 at 11:09 PM

  • mimi nafikiri kunahaja ya kujua baadhi ya vipangamizi vya maendeleo moja ni responsibility from all levels,No.2 accountability, good leadership not good governances hii ni terminology mbaya kwangu tunataka uongozi bora sio utawala bora ref. Pro. shifji lakini napenda kusema mimi nahitaji kipaumbele cha kwanza elimu kwa wote 2 miundombinu kwa ujumla wake ikiwepo upatikanaji wa maji safi kwa wote na nishati,viwanda vidogovidogo.

   Kochocho Mgema

   June 9, 2012 at 3:21 PM

 21. Kipaumbele kwa walimu.hatuwezi kuboresha elimu bila kumboreshea mwalimu mazingira ya kazi,hi itachangia maendeleo kielim

  Wilbroad Rupia Grarcian

  June 12, 2012 at 2:33 PM

  • Ninaomba tusiwewaoga kwenye swala la kusema ukweli,mfano tunalalamikia swala ka ajira.Je kungekuwa kuna tatizo la ajira katika nchi yetu je kungekuwa na habari ya wastaafu kurudishwa makazini kwa mkataba huku wakiwa wameshamaliza mikataba yao ya utumishi?au ni jinsi ya kubebana na kwa ajili ya kulinda maslahi ya wachache.Kwa upande wa pili vijana waliomaliza vyuo vikuu wanazunguka na vyeti mitaani wakiwa wamesomea “proffesional hizo hizo wanazorudishana nazo kwa mikataba je hamuoni hilo nalo ni tatizo la kitaifa?

   OMBENI IKOLA

   June 13, 2012 at 3:29 PM

 22. Bajeti yako inaonyesha matumaini makubwa ya kuboresha hali ya uchumi wa nchi na kutoa fursa ya maendeleo ya Taifa.

  Mabula

  June 14, 2012 at 6:15 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: