Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Mahojiano na Mhe. Zitto Kabwe. Part 4. Mustakabali wa Tanzania (courtesy Mzee wa Changamoto-Mubelwa Bandio)

with one comment

Hii ni sehemu ya nne na ya mwisho katika mfululizo wa mahojiano na Mhe. Zitto Kabwe.
Katika sehemu hii, anaeleza kwanini anaamini kuwa TANZANIA NI NCHI TAJIRI SANA?

1: Anauonaje MUSTAKABALI WA TANZANIA hasa katika nyanja ya mafuta na gesi?
Je! Tanzania ina gesi kiasi gani? Ni mikataba gani iliyosainiwa na hiyo ina tofauti gani na ile ya zamani? Ni nini serikali inapanga kufanya na pesa za madini?
2: Suala la mipango miji kwa maeneo yanayokua
3: Tatizo la usafiri na miundombinu kwenye miji kama Dar-Es-Salaam
4: Tatizo katika mfumo wa Magereza na haki za wafungwa.
5: NI KIPI AMBACHO CHADEMA WANAJIVUNIA KAMA MATOKEO YA HARAKATI ZAO NCHINI?

Mahojiano na Mhe. Zitto Kabwe. Part 3. Mahitaji ya Tanzania.

Mahojiano na Mhe. Zitto Kabwe. Part 2. Tanzania kuelekea 2015

Mahojiano na Mhe. Zitto Kabwe. Part 1. Siasa za Tanzania.

Advertisements

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. Zitto unasema Muungano iwe ni kupingwa mipaka iliyo wekwa na wakoloni, na sisi Tanzania ndio pekee tulio fanya kwa vitendo kupinga hilo, lakini ni sisi sisi Tanzania tulio kwenda Sudan Kusini kwenye sherehe, kwanini tusisusiye? Hivi sasa tunaanza choko choko kwa Morocco kwa kuwaunga wale wanao taka kujitenga… tusiwe wanafiki. Ni kheri ukasema wewe ungependelea Muungano ubakiye na sababu zako ni hizi na hizi na sio kupotosha mambo

    kassim

    May 21, 2012 at 9:05 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: