Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Sehemu ya Tatu:Mahojiano na Mhe. Zitto Kabwe:Mahitaji ya Tanzania.(Courtesy: Mzee wa Changamoto-Mubelwa Bandio)

with one comment

Hii ni sehemu ya tau kati ya mfululizo wa mahojiano na Mhe. Zitto Kabwe.
Katika sehemu hii, anazungumzia mashirika ya umma nchini Tanzania. Je! Yapo kwa faida ya wananchi?
Kama Mwenyekiti wa Tume ya Mahesabu ya Mashirika ya Umma anazungumzia vipi tatizo la TANESCO?
Ni nini kilisababisha TANESCO kufikia lilipo? Vipi wanajizatiti kuondoa hasara iliyokumba?
Ni vipi wana-diaspora wanaweza kushiriki katika kufufua Tanesco?+
Ni wapi pa kuwekeza nchini?
Ukuaji wa miji na suala la mipango miji.
Kufuta vyeo vya wakuu wa mikoa na wilaya.
PIA..KWANINI KILIMO NDIO UTI WA MGONGO JAPO UNAZALISHA ASILIMIA ASILIMIA NDOGO ZAIDI NCHINI? Ni vipi Tanzania inaweza kuondoka katika umaskini kwa muda mfupi?
na
ELIMU YA TANZANIA….INAKUA AMA INAPOROMOKA?

UNGANA NASI

Advertisements

Written by zittokabwe

May 17, 2012 at 10:28 AM

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. Mheshimiwa zito ukweli nimefurahi sana na wacha nikupongeze sana kwa jinsi unavyoweza kuelimisha jamii hadi kuelewa ninaloomba kuusu tanzanite nakuombeni fuatilieni kwa karibu sana maana unajua baathi ya viongozi wasivyo na uzalendo wasije wakachakachua tusaidieni kwa hili nchi inamalizwa kumbuka 1gr ni sawa na us 950 adi 1000 na kwa mara moja wanaweza kutoa salfet zilizojaa kama tatu au kuzid wakati mwingine wanaweza kutoa kilo 90 kwa sku ivyo inauma sana vile wazee wetu wanavyonyanyasika kule vijijini na wageni wanatorosha mali ya watanzania ni bora tuachiwe hilo eneo atatukichimba miaka mia mbili ni bora maa hata baada yetu watoto na wajukuu watainjoi badala kuharibu na kuamua kuyatupatupa hovyo

    G mwanga

    May 28, 2012 at 12:05 AM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: