Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Mahojiano na Mhe. Zitto Kabwe.Tanzania kuelekea 2015(Courtesy: Mzee wa Changamoto-Mubelwa Bandio)

with 6 comments

Written by zittokabwe

May 15, 2012 at 7:11 PM

6 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Yeah,let we whats against our resources

  Valoroussic

  May 15, 2012 at 7:28 PM

 2. Mh Zitto sheria ya kuhamisha mke wa mtu kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine inakuwaje? Je kunakipengele kinachozuia? Mtu anatolewa mf Arusha anapelekwa Mtwara inakuwaje? Maana standing order iko kimya? Msaada tafadhali.

  ANOY

  May 15, 2012 at 8:19 PM

 3. yes u can,napenda unavyojieleza

  hassan habibu

  May 15, 2012 at 9:51 PM

 4. Salaam.
  Napenda kuweka maelezo kidogo juu ya video hii.
  Hii ni moja ya mfululizo wa mahojiano na Mhe. Zitto Kabwe yatakayokuwa kwenye sehemu nne.
  Katika sehemu hii, anazungumzia kuhusu NIA YAKE YA KUWA RAIS, Msimamo wa Chama na wake kuhusu Muungano, suala la CHADEMA kuondoa kinga ya kikatiba kwa Rais, anaeleza kwanini anaamini ni vema uchaguzi wa Rais na Wabunge vitenganishwe, haki na wajibu wa raia katika katiba, kilichotokea Mwanza kwenye vurugu zilizosababisha wabunge kushambuliwa na kujeruhiwa na mengine mengi.

  Karibu

  Mzee wa Changamoto

  May 16, 2012 at 4:54 PM

 5. Kwanini umeiondoa hii video?

  Hans

  May 17, 2012 at 1:36 AM

 6. Why wawahamishe viongozi kutoka sehemu moja kwenda nyingine na hawajabase huko?hebu Tanzania igeni mfano wa nchi za wenzenu.Mfano Uk kila mkoa ni Center ya uongozi wa hiyo sehemu.Ww Zitto ulitakiwa uwe mfano,lkn umehama kwenu Kigoma unaishi Dar.Hivi kwa mtindo huu utajuaje yanayowakwaza wananchi wako au kwa kuwa unapanda ndege kila kukicha,hujui kero za abiria waenda kwa mabus au train.Km uliweza kushikilia kidedea suala la mawaziri kushindwa kufanya kazi yao vizuri hata suala la kutengeneza reli ya kigoma linawezekana,pia na usafiri wa mabus ni kero,Usibase kwenye kuikosoa CCm muda wote then unasahau kwenu,hata km umejitahidi jimboni mwako hiyo cyo enough,wakilisha mkoa wote.
  Hata km kuna wabunge toka vyama tofauti Kigoma,when it come to wananchi you have to work as a team

  Dida UK

  May 21, 2012 at 5:16 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: