Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Zitto kwenye ITV “Kumekucha” Leo Aprili 25, 2012

with 3 comments

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Kigoma Kaskazini ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mahesabu ya Mashirika ya Umma amezungumza na ITV kuzungumzia masuala mbalimbali muhimu hasa masuala ya nishati na hoja ya kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu.

Video courtesy of Mwanakijiji YouTube Account

Advertisements

Written by zittokabwe

April 25, 2012 at 1:36 PM

3 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. If our president paid attention to detail just half as much as you do we’d be doing much much better…

  Milembe

  April 25, 2012 at 2:49 PM

 2. Mkuu big up sana mmefanya makubwa sana kwa nchi hii, ninajiuliza ingekuwa chadema hawapo leo nchi ingekuwa wapi! Nilisikiliza kidogo kipindi hicho and I was impressed by contribution!

  Thomas Macha

  May 4, 2012 at 7:38 PM

 3. vizuri kiongozi fanya kazi

  maco chary

  May 9, 2012 at 7:16 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: