Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Picha: Mhe. Nimrod Mkono akiweka sahihi na Kuwasilisha Hoja kwa Spika Anne Makinda

with 9 comments

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono akiweka saini kwenye fomu ya wabunge wasiokuwa na imani na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda

Nikienda kuwasilisha Hoja kwa Ofisi ya Spika Anne Makinda

Written by zittokabwe

April 24, 2012 at 10:38 AM

9 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Mategemeo ya watanzania yako mikononi mwako

  Edson Ndyemalila

  April 24, 2012 at 10:49 AM

 2. Good job Zitto ,,we believe on you and your party.

  Hadija Msafiri

  April 24, 2012 at 11:47 AM

 3. Mimi nakukubali zaidi ya unavyofikilia mkuu natamani hata ungekuwa mbunge wa kwetu Bariadi nazani sa hiz 2ngekuwa level zingine God bless U Mh gdtym

  Daniel Nyolobi Mbembela

  April 24, 2012 at 12:20 PM

 4. Pamoja tutaweza,wananchi tupo pamoja nawe kama hao wabunge wa ccm wanaogopa maslah ya chama wanashindwa kutizama hatima ya taifa,(Taifa Kwanza!)

  Mathew Shayo

  April 24, 2012 at 12:40 PM

 5. Kerp it up. We suport you n all who likes our country. Mapambano bado.

  Mahoza

  April 24, 2012 at 4:54 PM

 6. Wewe ni zaidi ya jembe, naweza kukuita trekta linalolima kwenye kianganzi kwani unastahili pongezi,kumbuka kumuhusisha mungu zaidi aendelee kukutetea,jambo jingine naomba unisaidie tofauti>5 za bunge la sasa na lazamani unitumie kwenye E-mail (kmatandiko@yahoo.com) samahani kwa usumbufu huu kaka.

  matandiko

  April 24, 2012 at 5:02 PM

 7. jembe letu (zitoo)mbona jana waziri mkuu ajagusia chochote kuhusu hili sakata au ndo tusubiri cku 14?

  fortunatha

  April 24, 2012 at 7:50 PM

 8. Kaka much respect unatisha kwa kujenga hoja, watatambua tu kwamba tumechoka tukianza kuwakimbiza kama egypt wanafanya mchezo unga bei juu maharage bei juu sugar as same tule nini sasa wanyonge

  Bakari hassan

  April 25, 2012 at 1:17 PM

 9. TUNATAKA VIJANA WENYE MOYO KAMA WEWE AMBAO WAPO TAYARI KUFA KWA AJILI YA NCHI YAO TUPO NAWE SONGA MBELE

  NAMKANDA

  April 27, 2012 at 8:51 AM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: