Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Press ya Mwisho ya hoja

with 5 comments

Photo from press conference.

Written by zittokabwe

April 22, 2012 at 8:09 PM

Posted in Uncategorized

Tagged with

5 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Ni wakati mwafaka kuonesha utendaji kwa vitendo na kukerwa na matumizi mabaya ya kodi za watanzania ilihali wako hawana mahitaji ya msingi na wachache wakijinufaisha na raslimali za watanzania. Keep it up Mh. Zitto we support you! We will never let you walk alone bwana…!

  mhuli lyehagi

  April 23, 2012 at 8:04 AM

 2. Hongera ! MP Zitto lakini kwanini kila mara hoja za msingi ambazo ni za kweli zikitolewa hasa na vyama pinzani kuhusu matumizi mabaya ya fedha za umma mawasiliano yanakatika na kwanini katika hoja za kuweleza umma ukweli?

  Sydney

  April 23, 2012 at 4:03 PM

 3. MP Ukweli mnaousema Bungeni kwa wananchi haufiki kikamilifu kwani yatatokea kati ya mambo yafuatayo;Umeme kukatika,mawasiliano kutoka Bungeni kukatika au stesheni za Tv au redio kupoteza connection.Naomba unitumie ukweli wa maelezo uliyoyatoa ya kumkosoa waziri wa nishati na madini uchimbaji wa madini Kiwira kama sijakosea,umeme na mawasiliano kutoka Bungeni yalikatika kama kawaida yao

  Sydney

  April 23, 2012 at 4:20 PM

 4. Kiukweli niwapongeze makamanda kwa kazi nzuri mnayoifanya hapo bungeni. Kwa sasa wanaona aibu. Kwani ufisadi wao utakuwa umefika mwisho. Hawana tena jipya la kutudanganya. Tunawaona tu wanavyojing’atang’ata. Nafikiri hata muheshimiwa nchi imemshinda kama atavunja tena baraza la mawaziri nafikiri hata na yeye sasa aondoke, maana anashindwa kuwaongoza hao watumishi wake.
  ASANTENI

  Tumaini mkwizu

  April 23, 2012 at 10:05 PM

 5. mapinduzi ya uwajibishwaji yaonekane ndani ya chama tawala kwani ndio ishara ya utendaji……
  wasiachwe kueneza sumu ya utendaji uliojawa na dhuluma, rushwa na kujiridhisha nafsi zao, watanzania
  tumechoka…. hamkeni tukemee maovu haya… kila pande ya serikali imeoza?

  Steve Otieno

  April 25, 2012 at 1:51 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: