Zitto na Demokrasia
Nikiwatania wabunge wa CCM kufuatia habari za Mawaziri Nane(8) kuwajibika kwa kujiuzulu nafasi zao
Nikiwatania wabunge wa CCM kufuatia habari za Mawaziri Nane(8) kuwajibika kwa kujiuzulu nafasi zao.
Teasing CCM Mps about news of 8 Ministers resigning on accountability grounds.
Written by zittokabwe
April 22, 2012 at 11:34 AM
Posted in BUNGE, CCM, CHADEMA, Zitto Kabwe
Tagged with 8 ministers resigning, Accountability, uwajibikaji, zittokabwe
Subscribe to comments with RSS.
Zitto is MP for KIGOMA URBAN and PARTY LEADER of ACT WAZALENDO Party (@ACTWazalendo)
Twitter: @zittokabwe
Instagram: zittokabwe
No Instagram images were found.
kweli we ni bonge la TREckta
Kandoro
April 22, 2012 at 11:37 AM
Kaka umetisha.Just so u know millions of Tanzanians are behind you bro…Tanzanians wanategemea mabadiliko and bila kuwajibika kwa hao wanaokula pesa za wananchi hatutokuwa na imani…
Mjasiriamali
April 22, 2012 at 12:46 PM
Hatuwezi kuendelea bila uwajibikaji, la sivyo tutajenga tabaka la madikiteta wakati nchi ni ya kidemokrasia.
Pascal
April 22, 2012 at 3:50 PM
Endeleza mapambano vijana tupo nyuma yako mpaka kieleweke
Robert collman
April 23, 2012 at 9:29 AM
You have done a lot and that is real accountability to you. To me you were not teasing to them but you did it and it has never happened in Tzania real. That is the lesson to them, you tested them to show if at all they have any feelind with their country. Not anly that the situation is displaying the reality that they are on power for consuming not for people. They are keeping the swahili say “Tzania italiwa na wenye meno” Plz we will keep on supporting our CDM and you will never walk alone! You’re ours!
mhuli lyehagi
April 23, 2012 at 3:30 PM
Nivema hao mawaziri wafukuzwe wote,mali walizopata wakiwa mawaziri wafilisiwe yote! Watanzania tumechoka kwa kuibiwa.
Elisante L.Naivasha
April 25, 2012 at 1:46 PM