Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

List of Members of Parliament who signed forms for a motion of No Confidence #voteofNOconfidence

with 12 comments

This is the list of Members of Parliament who signed forms for a motion of No Confidence on the Prime Minister following the Government in action on embezzlement of public funds from parastatals, central government and local government as reported repeatedly by the CAG:

1.    Mhe. Rashid Ali Abdallah – cuf
2.    Mhe . Chiku Aflah Abwao- chadema
3.    Mhe . Saluim Ali Mbarouk – cuf
4.    Mhe . salum Khalfam Barwany – cuf
5.    Mhe . Deo Haule  Filikuchombe- ccm
6.    Mhe.Pauline Philipo Gekul- chadema
7.    Mhe. Asaa Othman  Hamad-cuf
8.    Mhe. Prof.Kuliyokela Kahigi- Chadema
9.    Mhe.Naomi  Mwakyoma Kaihula – chadema
10.    Mhe . Sylvester Kasulumbayi- chadema
11.    Mhe. Raya Ibrahim Khamis  – chadema
12.    Mhe. Mkiwa Hamad Kiwanga  – cuf
13.    Mhe. Susan  Limbweni Kiwanga- chadema
14.    Mhe. Grace Sindato Kiwelu –chadema
15.    Mhe. Kombo Khamis Kombo – cuf
16.    Mhe. Joshua  Samwel  Nassari – chadema
17.    Mhe. Tundu Antiphas Lissu- chadema
18.    Mhe Aphaxar  Kangi Lugola- ccm
19.    Mhe susan Anselim Lymo- chadema
20.    Mhe. Moses Machali – NCCR Mageuzi
21.    Mhe. John Shibuda Magalle – Chadema
22.    Mhe. Faki  Haji  Makame- Cuf
23.    Mhe . Esther Nicholas Matiko- chadema
24.    Mhe. Joseph Osmund Mbilinyi- Chadema
25.    Mhe. Freman  Aikaeli Mbowe- chadema
26.    Mhe. Kurudhum Jumanne Mchuchuli – chadema
27.    Mhe. Halima James Mdee-chadema
28.    John John Mnyika- Chadema
29.    Mhe. Augustino Lyatonga Mrema- TLP
30.    Mhe . Maryam Salum  Msabaha- chadema
31.    Mhe. Peter Msingwa-chadema
32.    Mhe. Christowaja Gerson Mtinda- chadema
33.    Mhe. Philipa Geofrey Mturano- chadema
34.    Mhe. Christina Lissu Mughwai- chadema
35.    Mhe. Joyce John  Mukya – chadema
36.    Mhe. Mchungaji  Israel  Yohane  Natse – chadema
37.    Mhe. Philemon Ndesamburo- chadema
38.    Mhe. Ahmed  Juma Ngwali- – cuf
39.    Mhe. Vincent  Josephat  Nyerere- chadema
40.    Mhe. Rashid  Ali Omar- cuf
41.    Meshack  Jeremiah Opulukwa- chadema
42.    Mhe. Lucy Philemon Owenya- chadema
43.    Mhe. Rachel Mashishanga- Chadema
44.    Mhe. Mhonga Said Ruhwanya – chadema
45.    Mhe. Conchesta Rwamlaza – Chadema
46.    Mhe. Moza Abedi  Saidy- cuf
47.    Mhe. Joseph  Roman Selasini – Chadema
48.    Mhe. David Ernest  Silinde- chadema
49.    Mhe Rose Kamili Sukum  – chadema
50.    Mhe. Cecilia Daniel Paresso- chadema
51.    Mhe .Kabwe Zuberi Zitto- Kigoma Kaskazini
52.    Mhe. Magdalena Sakaya – Cuf
53.    Mhe Rebecca Mngodo- Cuf
54.    Mhe. Sabreena Sungura -chadema
55.    Mhe. Hamad Rashid Mohammed- CUF
56.    Mhe. Rukia Kassim Ahmed (Cuf)
57.    Mhe. Mustapha Boay Akoonay (Chadema)
58.    Mhe. Abdalla Haji Ali (CUF)
59.    Mhe. Khatibu Said Ali (CUF)
60.    Mhe. Hamad Ali Hamad (CUF)
61.    Mhe. Riziki Omar Juma (CUF)
62.    Mhe  Haji Khatibu  Kai (CUF)
63.    Mhe. Anna Marystella John Malack -Chadema
64.    Mhe. Hamad Rashid Mohamed  (CUF)
65.    Mhe. Rajab Mbarouk Mohamed (CUF)
66.    Mhe. Thuwayba Idrissa Muhamed (CUF)
67.    Mhe. Masoud Abdallah Salum (CUF)
68.    Mhe. Muhamad Ibrahim Sanya (CUF)
69.    Mhe. Ali Khamis Seif (CUF)
70.    Mhe. Haroub Muhammed Shamis (CUF)
71.    Mhe. Amina Amour Nassoro (CUF)

Advertisements

Written by zittokabwe

April 21, 2012 at 6:05 PM

Posted in Uncategorized

12 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. nampongeza sana mh FILIKUNJOIMBE wew ni mzalendo unae ipenda nchi yako, si mnafiki kama makamba,wakikuzingua ccm njoo cdm utapokelewa kwa mikono miwili,

  Bashir

  April 21, 2012 at 6:12 PM

 2. Naomba nitoe shukrani zangu kama Mtanzania wa kawaida kwa chama cha upinzani CUF kwa kujitoa mhanga kwa mala ya kwanza na kuweka SAHIHI kwa wingi hivi, hii imeonekana kuwa ya viama pinzani ukiangalia list ila CCM tumewachoka. Iweje mchangie kwa asila wizi wa mali alafu mkatae kuweka Sahihi zenu, nyie vigeu geu, big up wabunge pekee wa wili wa CCM, NCCR na TLP (nyie ni mashujaa wasio kufa kiulaisi) . Kwa style hii 2015 inawezekana. Maoni yangu naomba list irekebishwe kidogo kwenye jina la mh. Zito iandikwe (Chadema) si kigoma kasikazini tutakua hatujatenda haki.

  Julius lubega

  April 21, 2012 at 6:27 PM

  • Julius LUbega hebu kwanza kuwa na Heshima na CUF kwani marangapi ilisha wahi kufanyika?acha siasa zako uchwara kilichoongelewa kilikuwa hakihusu CHADEMA WALA CCM bali kilikuwa ni cha wananchi .Na alichokisema zitto si kwaniaba ya chama chake bali ni matokeo ya kamati yake ambayo inamchanganyiko wa vyama vingine.Na Pia List hiyo isibadilishwe iachwe kama ilivyo kwani imewakilishwa na Mbunge (Rais wa baadae ) kutoka kigoma ambae huwa haangalii maslahi ya chama bali ya wananchi wake na TAIFA kwa ujumla

   isinda

   April 21, 2012 at 7:15 PM

 3. Indeed, I appreciate your struggles to represent millions of Tanzanians in the house! Your are my my hero in this saga. Qn: why didn’t you put your party CDM instead of K.kask infront of your name as shown in the list above? Once again keep it up the struggles! Alluta continua! Stay blessed always man!

  Peter Marcely

  April 21, 2012 at 7:10 PM

 4. Kwakeli ccm hawana uzalendo, yani ni mbunge mmoja tu ndo amesaini!

  Emmanuel Mtaki

  April 21, 2012 at 7:10 PM

 5. mh. Zitto tafadhali tazama namba 55 na 64 jina la Hamad Rashid Mohamed limejirudia

  ndibohoye

  April 21, 2012 at 7:14 PM

 6. Hapo sawa, hatukubali tz iwe ndani ya madomo ya kifisadi

  Emanuel Yohana

  April 21, 2012 at 8:56 PM

 7. Huo ndo mwanzo wa new era hongera Machali na Filikunjombe mmekoma kisiasa achaneni na hao wafia vyama vyao na sio nchi

  steven nkungu

  April 21, 2012 at 10:08 PM

 8. Walio wengi ccm hawajui wanachokisema mbona wamekimbia kuweka sahihi kumbe ni wanafiki kumbukeni mko na wananchi pamoja na mungu msikate tamaa mpaka uzalimu huo utokomezwe

  Ally lilangela hamis

  April 22, 2012 at 9:03 AM

 9. Zitto na wengine wenye ujasiri na uthubutu tunawategemea sana, we always pray for you muendelee kufichua maovu yanayoendelea maana watanzania sasa tumechoka sana.

  Furaha John

  April 22, 2012 at 11:57 PM

 10. Kamanda usihofu tuko pamoja. Hao wabunge wa ccm waliogoma kusain huwa wanakula pamoja naye. Lakini hata wasipounga mkono haisaidii lolote, tunawajua hao wote ni mafisadi.
  ASANTEN

  Tumaini mkwizu

  April 23, 2012 at 10:39 PM

 11. safiii sana wabunge wote mliotia sign zenu C.C.M lazma wang’ooke 2015……. 2MEWACHOKA 2NAITAJ MAWAZO MAPYA AMBAYO NI WAPNZAN 2 WATAWEZA KUYATOA.

  maina james

  April 24, 2012 at 9:39 AM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: