Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Picha kutoka kampeni za Udiwani Kata ya kirumba-Mwanza

with 8 comments

Kirumba oyeeeeeee

Mgombea wetu wa kata ya Kirumba (sasa Diwani Danny Kahungu)

Umati

This slideshow requires JavaScript.

Written by zittokabwe

April 2, 2012 at 4:41 PM

8 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Nilikuwepo pale eneo la tukio kwa kweli kazi ilikuwa nzuri sana, nadhani sasa ni muda muafaka wa kuendana na huu upepo wa mabadiriko badala ya kungoja utuangushe….naarange kuludisha kadi very soon.

  shadrack mbuki feleshi

  April 2, 2012 at 4:48 PM

 2. jaman kazen buti ccm hawana tena pa kutokea wananchi tumechoka,endeleeni kufanya vizuri.

  violeth

  April 2, 2012 at 4:54 PM

 3. Napenda chadema napenda maedeleo ushauri kwa viongozi wetu wa chedema mjitahidi tuwe na chombo cha habari kwani inakuwa ni tabu kupata habari zenu kwa kina hasa kukiwa na uchaguzi.

  H.swai

  April 2, 2012 at 4:55 PM

 4. Zitto for President , need leaders like him for the future of Tanzania!

  venuvakeel

  April 2, 2012 at 4:58 PM

 5. Inapendeza sana jamani,hope will happen in 2015

  simkonda

  April 2, 2012 at 5:48 PM

 6. Watu wameyakubali MABADILIKO hatua kubwa kabisa katika Siasa za Tanzania. Big up, tusonge mbele hadi kieleweke.

  Njamayo

  April 2, 2012 at 6:35 PM

 7. Furaha yangu ni kubwa sana, naendelea kusema “TUTAFIKA TU”. Kazi nzuri makamanda………….

  Colly

  April 2, 2012 at 6:59 PM

 8. Songa mbele waziri mkuu.

  Anatory Amosi Ng'wigulu

  April 5, 2012 at 1:07 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: