Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Uzinduzi wa kampeni kata ya Kirumba,Jiji la Mwanza-Jumapili(10-Machi-2012)

with 3 comments

Umati

Nikihutubia uzinduzi wa kampeni kata ya Kirumba, Jiji la Mwanza Leo

Umati: Huu sio uchaguzi wa Rais, ni Udiwani wa Kata ya Kirumba, Mwanza

This slideshow requires JavaScript.

Written by zittokabwe

March 15, 2012 at 4:58 PM

3 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. ni ushahidi kuwa democrasia inakuwa na kukua kwa democrasia ni chachu ya maende leo ya sisi watanzania kwa ujumla wake hakuna ubishi juu ya hilo hongera zito na wanasiasa wote wenye kuitakia nchi hii mema

  tumpale japhet

  March 15, 2012 at 6:02 PM

  • Huu ni ushahidi ya kuwa mabadiriko yapokaribu zaidi,jambo la mingi ni kumtafuta mwanasiasa mwenye maono na nia ya dhati ya kufanya mabadiriko ya kweli, pia awe na uwezo wa kufanya maamuzi mazito.
   Hongera sana zitto kabwe,wewe ni miongoni mwao,umeonyesha ukomavu wa kisiasa tangu 2005 mpaka leo,unamuono,msimamo na upo kwa ajili ya watanzania wote na si kwa watu wa jimbolako tu.kazi yetu ni kuwafikishia taarifa hizi watu wasio na uwezo wa kuingia kwenye website yako,na hasa vijijini.
   Mungu akubariki sana.

   baraka gilagiza

   March 17, 2012 at 11:26 AM

 2. Du as if is the presidential race

  David Bassu

  March 20, 2012 at 12:04 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: