Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Mkutano na Rais Mstaafu wa Zambia Mzee Kenneth Kaunda, Lusaka, Zambia

with 5 comments

Nimekutana na Mzee Kaunda leo ofisini kwake Lusaka,Zambia

Kicheko baada ya kumkumbusha uamuzi wao na Nyerere kuhusu Biafra. Heshima kwa Waasisi wa bara la Afrika.

Written by zittokabwe

March 15, 2012 at 3:45 PM

5 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Safi sana mheshimiwa, imetulia sana.

  shadrack mbuki feleshi

  March 15, 2012 at 3:51 PM

 2. Nilidhani ungetuambia contents za mkutano, au ni confidential?
  keep it up!

  Colly

  March 15, 2012 at 4:11 PM

 3. kaka hongera sana kwa kuonana na mkogwe kati ya wakogwe waliobaki Afrika.ni juzi tu mzee huyo ametoka kupokea kombe la afrika toka kwa vijana wake wa chipolopolo hivyo mmemkuta angali anafuraha.jitaidi kuchota ujuzi toka kwake uje uisaidie cdm yako.kila la kheri kaka

  todo

  March 15, 2012 at 9:16 PM

 4. Hiyo powa sanaa Mzee Kaunda ni mtu wa watu, tunamkubali sana sisi watanzania na africa kwa ujumla. Anasemaje mzee

  David Bassu

  March 20, 2012 at 12:08 PM

 5. kaka zito hongera sana kaka ujuzi nimuhimu kuwanao kutoka kwa wakongwe wa Africa.ila nawewe usitunyime ujuzi wako pindi tutakapo uhitaji.pipozzz….Powaaa.

  emmanuel martin

  April 6, 2012 at 4:58 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: