Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Zitto Kabwe akiongea na wananchi Handeni, Tanga

with one comment

via Bongoline

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema-Bara Mh.Zitto Kabwe (Mb) amewataka Wananchi wa Kata ya Mkata Wilayani Handeni Mkoani Tanga kujiunga na Mageuzi kwa kuchagua vyama vya upinzani ili kuharakisha maendeleo ya Mkoa wa Tanga na kuwa na sauti mbadala. Zitto yuko Mkoani Tanga kwa ziara ya kujenga Chama iliyoanza tarehe 18Feb 2012

Written by zittokabwe

March 2, 2012 at 4:12 PM

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. Habar, nimesikia taarifa zako za kutaka urais nikashangaa sana kwan kwa sasa chadema tunapigania arumeru, pamoja na kukijenga chama hukustahil kutoa kauli kama ile kwa kipindi hiki, umepunguza mvuto sana kwa wanachama, sii kwamba wewe huwezi kuongoza, ila chama bado hakijamkataa slaa na sikio haliwezi kua kubwa kuliko kichwa, kwanza tumalize arumeru, hamna haja ya kukurupuka.

    Ewald mbuya

    March 28, 2012 at 12:23 AM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: