Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Mkutano wa hadhara Muheza Mjini

with 4 comments

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe akihutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Muheza mjini, mkoani Tanga juzi. Zitto yupo mkoani humo kwa ziara ya siku tano kufanya miikutano ya kuimarisha chama chake.

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe akihutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Muheza mjini, mkoani Tanga juzi. Zitto yupo mkoani humo kwa ziara ya siku tano kufanya miikutano ya kuimarisha chama chake.

Written by zittokabwe

February 22, 2012 at 10:44 AM

4 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. thats what we like,enendeni vijiji kwa vijiji mkaeneze elimu ya ulaia watu wafahamu wanancho rubuniwa,fungueni na nashina kila kata na kijiji.

  nelson

  February 22, 2012 at 10:51 AM

 2. Hayo ndiyo yanayotakiwa kwa wananchi ili waweze kutambua haki zao za msingi.Tutaendelea kukuunga mkono kwa kazi unayo ifanya.Naamini watu ni waelewa watakiamini kile utakacho kuwa ukiwaeleza.Kaza buti ili watu wa mkoa wa Tanga watambue kazi unayoifanya.
  Asante sana,Nakutakia kazi njema katika ziara yako.

  Juma

  February 22, 2012 at 7:20 PM

 3. Hongera sana Zitto,big up sana,,so what i sugest to du,,watu wa Tanga ninaimani muako wa kisiasa na maendeleo ni mkubwa,,hivyo tuzidi kuawangaza,,na nivema tuwe na strategy,,za mafanikio zaidi,,majimbo yote Tanga ni yetu.Tuweke jitihada tu,,kubwa na mikakati ya kuyachukua 2015.

  LUKI ONE

  February 29, 2012 at 2:38 PM

 4. Tunakukubalisana Sana Mh,zitto

  Mustafa Shia Shirazi

  August 23, 2014 at 7:50 AM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: