Zitto na Demokrasia

Zitto na Demokrasia

Ziara ya Mkoa wa Tanga kujenga chama

with 5 comments

 Wananchi wa Korogwe wakiwa wamembeba Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe baada ya kumaliza kuwahutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Manundu, mkoani Tanga, jana. Picha na Edwin Mjwahuzi Laurent

Wananchi wa Korogwe wakiwa wamembeba Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe baada ya kumaliza kuwahutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Manundu, mkoani Tanga, jana.

Shamba la Mkonge Mwalya/Usambara

Shamba la Mkonge Mwalya/Usambara.

Advertisements

Written by zittokabwe

February 20, 2012 at 5:26 PM

Posted in Uncategorized

5 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Hongera kwa juhudi za kujenga chama. Fikeni hadi vijijini mjenge mtandao imara

  Rena

  February 20, 2012 at 8:26 PM

 2. Daaaa,,that is good men,,,we will and we can,,,saidia ukombozi Tanga nyumbani!!!!waambie kimenuka!!!

  LUKI=-JEMBE!!!

  February 20, 2012 at 10:00 PM

 3. Tufanye kazi ya kukomboa chama bila kusahau elimu ya uraia na waambieni kabisa kuwa kura ni muhimu kwa ukombozi wa nchi

  Ally lilangela hamis

  February 22, 2012 at 6:33 AM

  • Big up……………!!
   We are waiting for you here in Arumeru for by election compaign.

   benedict

   February 23, 2012 at 7:18 PM

 4. sasa kazi hii ili kuijenga chama na nchi yenye kuwa na watu wenye kuhoji ndio kwanza izidi kwenda vijini na hii itafanya wanasiasa wanaotumia ufahamu mdogo wa watu wa vijijini kujizolea kura za wanavijiji wasio elewa vizuri hali halisi ya nchi yetu; wapate kujua kuwa watanzania yumefumbuka tunataka kujua kwa nini nchi inakuwa maskini na rasilimali hizi zote zilizopo.

  DENNIS WILSON

  February 26, 2012 at 11:41 PM


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: