HOJA BINAFSI YA MHE KABWE ZUBERI ZITTO (MB) YA KUTAKA BUNGE LIJADILI HALI YA ZAO LA MKONGE NCHINI NA KUAZIMIA KWAMBA MWAKA 2012 NI MWAKA WA KUPANDA MKONGE
MAELEZO YA ZIADA YA HOJA BINAFSI YA MHESHIMIWA KABWE ZUBERI ZITTO(MB) KUHUSU HALI YA ZAO LA MKONGE NCHINI NA BUNGE KUAZIMIA KWAMBA MWAKA 2012 UWE MWAKA WA KUPANDA MKONGE
HOJA BINAFSI YA MHE KABWE ZUBERI ZITTO (MB) YA KUTAKA BUNGE LIJADILI HALI YA ZAO LA MKONGE NCHINI NA KUAZIMIA KWAMBA MWAKA 2012 NI MWAKA WA KUPANDA MKONGE
Kwa kweli nimefurahishwa sanaaa na hoja yako binafsi ambayo kwangu mimi naona kuwa zao la mkonge kulingana na tafiti ulizoonesha ambazo zimekwisha fanywa basi itakuwa mkombozi kwa mtanzania katika azma nzima ya kuinua na kuboresha maisha yetu. Kwa hili maisha bora yatafikiwa iwapo mawazo uliyotoa yatatiliwa maanani.
Hongera sana kwa hoja hii yenye mantiki kwa Taifa
David Bassu
February 14, 2012 at 6:47 AM
Hii hoja inamtazamo chaya sana hasa katika swala la maendeleo yetu lakini kuna kitu kinaendelea
katika baadhi ya maeneo ya mashamba kwani yameuzwa na watu wanaendelea kujenga si makazi bali pia hoteli za kifahari si zani kama hutakubaliana na mimi pia chakushangaza Mbunge mwenye dhamana pia anapata kumili na zinauzwa kwa kujuana siwezi kusema “eyes on hands off”….Mh. kaka Zitto pole na majukumu na hongera kwa kuliona hili la zao la katani
Zachariah Mbugi Jr
February 15, 2012 at 7:18 PM